Kenya 2022 Raila Odinga afungua kesi Mahakama ya Juu Kupinga matokeo ya Urais

Kenya 2022 General Election
Kanuni za uwizi ukiba na ukaiba kidogo au kusahau kitu hurudi tena kuiba maana ukifanya hivyo utakamatwa tu au utafanya kosa litakao saidia wewe kukamatwa ata baadae.
kwenye huu uchaguzi waliiba wave ya kwanza na kura hazikutosha na wakaamua kwenda kwenye wave ya pili maana lengo lilikuwa kuiba kidogo ili kushinda kwa asilimia ndogo. Wave ya kwanza baado Odinga alikuwa mbele ikabidi warudi mara ya pili kwa watu laki tano kumpigia ruto kura bila kuwapigia wabunge,madiwani,wanawake senator na gavana na hao wot walipiga kura zao jioni kati ya kumi na moja na kumi na mbili
 
Wabongo tunayajua ya jirani kuliko hata ya majumbani kwetu [emoji3]
Ndio maana ya kuekimika na ndio faida ya nitandao,dunia ni kijiji,leo media zote duniani wachambuzi wa soka wanachambua mechi ya liverpool na manchester utadhani wanaishi england
 
Kanuni za uwizi ukiba na ukaiba kidogo au kusahau kitu hurudi tena kuiba maana ukifanya hivyo utakamatwa tu au utafanya kosa litakao saidia wewe kukamatwa ata baadae.
kwenye huu uchaguzi waliiba wave ya kwanza na kura hazikutosha na wakaamua kwenda kwenye wave ya pili maana lengo lilikuwa kuiba kidogo ili kushinda kwa asilimia ndogo. Wave ya kwanza baado Odinga alikuwa mbele ikabidi warudi mara ya pili kwa watu laki tano kumpigia ruto kura bila kuwapigia wabunge,madiwani,wanawake senator na gavana na hao wot walipiga kura zao jioni kati ya kumi na moja na kumi na mbili
IEBC: Polling stations will open at 6.00 am and close at 5.00 pm.
 
Nashangaa watu wana comment bila hata kusoma hoja za RAO alizopeleka mahakama ya juu.

Sasa nimemuelewa RAO ana hoja tusibiri uamuzi wa mahakama tuache blah blah ambazo zimekuwa sehemu ya maisha yetu waTanganyika.
 
Back
Top Bottom