Kenya 2022 Raila Odinga afungua kesi Mahakama ya Juu Kupinga matokeo ya Urais

Kenya 2022 General Election

666 chata

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
1,700
Reaction score
3,921
Akiongea na vituo vya KTN na Al Jazeera, mwanasheria wa kambi ya Odinga, Wakili Daniel Maanzo, amesema tayari leo asubuhi wamekwisha fungua kesi ktk Mahakama ya Juu 'Supreme Court' kwa njia ya ki electronic, na wapinzani wao, tume ya uchaguzi pamoja na bw. Ruto mwenyewe wana siku 4 za kujibu.

Babu kalianzisha tena upya huko. Kwa mujibu wa sheria zao ni kwamba Mahakama hio itakua na maamuzi ya aina tatu tu yaani, kuthibitisha matokeo yaliotolewa yalikua halali, kuyafutilia mbali matokeo hayo au kuomba uchaguzi urudiwe upya.

Kenya anaendelea kua baba wa demokrasia africa nzima🙌🏾, tunalo kubwa sana la kujifunza toka kwa hawa jamaa.
 
Hii ndio inadaiwa kua petition iliyowasilishwa mahakamani. Imesheeni nondo kweli kweli.
 

Attachments

  • 9B492B9A-92EE-4BB8-ABC8-BBE781ABC9DB.png
    125.4 KB · Views: 8
Fo shuaa
 
Akili ya na utashi wa kujifunza upo ndugu yangu?
Hii yetu ni #KONDOO COUNTRY# mkuu
 
NEC NDIO UOZO ULIOJAA UVUNDO AFADHALI YA IEBC ina wenye Akili kama wale MAKIMISHA 4 na leo Makamishna wawili wamemkana Jecha wa Kenya CHEMUGATI
 
Hajasema kashinda kasema hakukuwa na mshindi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…