Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,076
- 14,775
Hajasema kashinda kasema hakukuwa na mshindi,
Salama kwema?Rafiki habari
Anatafuta namna ya kupoozwa nyuma ya pazia ili aendelee kula mema ya nchi na kuzeekea pazuri zaidiJamani baba anahekaheka huyuu hajawahi kukubali matokeo
Huyu si alikubali matokeo na akampongeza Ruto leo kageuka tena? anapoteza hela japo najua Kenyatta yupo nyuma ya hii SAGA
KenyaAlikubali lini na wapi?
Kenya
Itakua aiseeAnatafuta namna ya kupoozwa nyuma ya pazia ili aendelee kula mema ya nchi na kuzeekea pazuri zaidi
Nadhani sheria yao haiwalazimishi AG kuwa joined kama necessary partHii ndio inadaiwa kua petition iliyowasilishwa mahakamani. Imesheeni nondo kweli kweli.
Wabongo tunayajua ya jirani kuliko hata ya majumbani kwetu [emoji3]Raila deep system haimtaki atafute kazi nyingine
Hajawahi kukubali matokeo ya kushindwaHuyu si alikubali matokeo na akampongeza Ruto leo kageuka tena? anapoteza hela japo najua Kenyatta yupo nyuma ya hii SAGA
Deep system imejaa wezi na hawamwini kabisa huyo mzee.Raila deep system haimtaki atafute kazi nyingine
Ndio maana ya kuekimika na ndio faida ya nitandao,dunia ni kijiji,leo media zote duniani wachambuzi wa soka wanachambua mechi ya liverpool na manchester utadhani wanaishi englandWabongo tunayajua ya jirani kuliko hata ya majumbani kwetu [emoji3]
IEBC: Polling stations will open at 6.00 am and close at 5.00 pm.Kanuni za uwizi ukiba na ukaiba kidogo au kusahau kitu hurudi tena kuiba maana ukifanya hivyo utakamatwa tu au utafanya kosa litakao saidia wewe kukamatwa ata baadae.
kwenye huu uchaguzi waliiba wave ya kwanza na kura hazikutosha na wakaamua kwenda kwenye wave ya pili maana lengo lilikuwa kuiba kidogo ili kushinda kwa asilimia ndogo. Wave ya kwanza baado Odinga alikuwa mbele ikabidi warudi mara ya pili kwa watu laki tano kumpigia ruto kura bila kuwapigia wabunge,madiwani,wanawake senator na gavana na hao wot walipiga kura zao jioni kati ya kumi na moja na kumi na mbili