Jimbi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2010
- 4,444
- 4,967
Kumfahamu mtu hapa JF haina maana kwamba unamfahamu kiuhalisia, acha kuandika pumba. Unajuaje kama huyo siyo Mkapa ama Kikwete mwenyewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumfahamu mtu hapa JF haina maana kwamba unamfahamu kiuhalisia, acha kuandika pumba. Unajuaje kama huyo siyo Mkapa ama Kikwete mwenyewe?
Watu wanawaza namna ya kuzima soo la bei ya sukari huku Corona, huku Odinga anapiga simu? Mwambieni simu ya prezidaa iko chaji pale kibandani kwa Masawe ikijaa atampigia ila mpaka akiweka salio[emoji1787][emoji1787]Rais Magufuri amekwepa kupokes simu za rais wa Afrika Kusini Ceril Ramaphosa,Yoweli Kaguta Museveni,na ya Swaiba Wake mkuu Raila Odinga,ambaye wiki iliyopita akihojiwa na BBC alisema madai ya Magufuri kuwa mashine za kupimia Corona ni mbovu ,sio kweli anaamini rais Magufuri hashauriwi vizuri ,kimbembe toka siku hiyo kila akimpigia simu haipokelewi ,vilevile Ramaphosa na Museveni kulikoni?View attachment 1447186
Binamu yangu yupo kwenye kamati ya usalama wa rais, kanipa yote jinsi wanavyoona posts za mitandaoni, wana nguvu zote juu ya vyombo vyote vya habari na internet nchini.Mkuu, umekalia nini hapo? Kwa taarifa yako viongozi wote wapo humu. Unataka hadi wakuandikie barua kitimoto wewe?
Hivi urafiki wao uliishia wapi ?Kumbe huyu naye anatumika na mabeberu
Jr[emoji769]