Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
Duh ni balaa!Magufuli anashangaza sana hata simu za Mkapa na Kikwete Hapokei.
Au wanamdai?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh ni balaa!Magufuli anashangaza sana hata simu za Mkapa na Kikwete Hapokei.
Ameshatengeneza kisasi na hao watu.Rais Magufuri amekwepa kupokes simu za rais wa Afrika Kusini Ceril Ramaphosa,Yoweli Kaguta Museveni,na ya Swaiba Wake mkuu Raila Odinga,ambaye wiki iliyopita akihojiwa na BBC alisema madai ya Magufuri kuwa mashine za kupimia Corona ni mbovu ,sio kweli anaamini rais Magufuri hashauriwi vizuri ,kimbembe toka siku hiyo kila akimpigia simu haipokelewi ,vilevile Ramaphosa na Museveni kulikoni?View attachment 1447186
Ndugu kati ya hao wawil ni MaRaisi hawawezi kujifungia safari bila appointment na kuja, jee mwenyeji wao akikataa kuwapokea si wataaibika, na huyu Rafikiye hawezi kujijia kwa Raisi wa Nchi bila mipango na kupewa ruhusa na security ya Raisi.Kwani ulisikia kuwa mlima ndo umemfuata Mtume au mtume ndo aliufuata mlima?? Mwenye shida naye aje sio kumpigia sim
Itafute hekima. Siku ilutakapoweza kuipata japo kidogo, utatafuta namna bora ya kuwasilisha hoja yako.We fala nani kakwambia nimempa sifa? Acha upumbavu wako tumia akili. Narudia Kenya pumbavu zenu kwa kutuingilia ya kwetu, pumbavu kwa watanzania wote wanaounga mkono wakenya kufanya hivyo, vichwa maji withou own nation pride, screwed up in the head.
Magufuli anashangaza sana hata simu za Mkapa na Kikwete Hapokei.
Umesoma nilichoambiwa mpaka kujibu hivyo? Hakuna haja ya kutumia hekima kwa wajinga wasio na heshima.Itafute hekima. Siku ilutakapoweza kuipata japo kidogo, utatafuta namna bora ya kuwasilisha hoja yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je wewe ndiyo kikwete na mkapa?? Mabeberu wanatafuta c/o ili kumfikia Magufuli!!! Wenyewe kumkabili moja kwa moja wanagwaya!!!!Magufuli anashangaza sana hata simu za Mkapa na Kikwete Hapokei.
Kenya waliingia chaka LA lock down kichwa kichwa! Kwanza hawakufanya real lockdown! Walifanya very partial lockdown na bado imewaathiri sana!! Wananchi wao wamegoma!!! Wameona ni upuuzi kutumia dawa yenye maumivu zaidi ya ugonjwa wenyewe!! Sasa wanafanya kila wawezalo kutuingiza na sisi kwenye chaka hilo!!We fala nani kakwambia nimempa sifa? Acha upumbavu wako tumia akili. Narudia Kenya pumbavu zenu kwa kutuingilia ya kwetu, pumbavu kwa watanzania wote wanaounga mkono wakenya kufanya hivyo, vichwa maji withou own nation pride, screwed up in the head.