onjwayo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 1,356
- 1,309
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hata angeshauriwa vibaya. Hashauriki kabisa hata na hata wanaomshauri kina Kigwangala wamechoka wako twitter wanapost mapenzi na kupiga picha wanavutana na mbwa wakati nchi iko kwenye tetemeko la Ugonjwa hatari. Hashauriki hata kwa dawa.Akijibu kauli za Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, Mbunge wa Tanzania kutoka chama tawala cha CCM Job Lusinde Kibabaje amesema mfumo ambao Magufuli anautumia katika kukabiliana na Covid -19 ni mfumo umewasaidia sana Watanzania tofauti na Afrika Kusini, Uganda Kenya na Rwanda. ‘’Pengine wanashindwa tu kumuelewa’’, alisema katika mahojiano na BBC.
‘’Rais mfumo alioutumia kwa kukataa kuwaweka watu Lockdown, sisi Watanzania tunafahamiana, kuna watu wengi wanakula chakula cha leo wakitoka...leo ukiwafungia ndani wanaweza kupata matatizo makubwa’’ amesema .
‘’Mi natakaka tu kumuambia mwanasiasa mkongwe Raila kuwa Magufuli anawafahamu Watanzania zaidi na rais ana uchungu zaidi na Watanzania kuhusu uchungu wowote’’alisema Mbunge Kibabaja.
Raila amesema viongozi wa kanda wamekua wakitaka kushauriana na rais John Pombe Magufuli, bila mafanikio.
Chanzo:BBC
View attachment 1446643
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuweza kusimamia standard ktk ujenzi wa miundo mbinu, kwa kuwashughulikia mafisadi papa kweli huyu atakuwa wa ajabu kweli.Tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea
Only God knows if you are not out of your crazy mind!!!Wanamtafuta kwa maswala binafsi au ya kiofisi? Kama ni masuala ya kiofisi, rais ni taasisi hivyo wawasiliane na ofisi. Tatizo hao wamezichukulia nchi zao kama mali binafsi.
Wanajukwaa, yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu.
Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
=====
Virusi vya corona: Kiongozi wa upinzani wa Kenya Raila Odinga amesema Rais Magufuli ''anashauriwa vibaya''
9 Mei 2020
Akijibu kauli za Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, Mbunge wa Tanzania kutoka chama tawala cha CCM Job Lusinde Kibabaje amesema mfumo ambao Magufuli anautumia katika kukabiliana na Covid -19 ni mfumo umewasaidia sana Watanzania tofauti na Afrika Kusini, Uganda Kenya na Rwanda. ‘’Pengine wanashindwa tu kumuelewa’’, alisema katika mahojiano na BBC.
‘’Rais mfumo alioutumia kwa kukataa kuwaweka watu Lockdown, sisi Watanzania tunafahamiana, kuna watu wengi wanakula chakula cha leo wakitoka...leo ukiwafungia ndani wanaweza kupata matatizo makubwa’’ amesema .
‘’Mi natakaka tu kumuambia mwanasiasa mkongwe Raila kuwa Magufuli anawafahamu Watanzania zaidi na rais ana uchungu zaidi na Watanzania kuhusu uchungu wowote’’alisema Mbunge Kibabaja.
Raila amesema viongozi wa kanda wamekua wakitaka kushauriana na rais John Pombe Magufuli, bila mafanikio.
Magufuli anajiamimi yeyeye ndiye super human kuwa hakosei. Lakini maamuzi yake yote aliyokwisha fanya maishani ni FAILURES tu. Mfano kidogo huu hapa;Akijibu kauli za Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, Mbunge wa Tanzania kutoka chama tawala cha CCM Job Lusinde Kibabaje amesema mfumo ambao Magufuli anautumia katika kukabiliana na Covid -19 ni mfumo umewasaidia sana Watanzania tofauti na Afrika Kusini, Uganda Kenya na Rwanda. ‘’Pengine wanashindwa tu kumuelewa’’, alisema katika mahojiano na BBC.
‘’Rais mfumo alioutumia kwa kukataa kuwaweka watu Lockdown, sisi Watanzania tunafahamiana, kuna watu wengi wanakula chakula cha leo wakitoka...leo ukiwafungia ndani wanaweza kupata matatizo makubwa’’ amesema .
‘’Mi natakaka tu kumuambia mwanasiasa mkongwe Raila kuwa Magufuli anawafahamu Watanzania zaidi na rais ana uchungu zaidi na Watanzania kuhusu uchungu wowote’’alisema Mbunge Kibabaja.
Raila amesema viongozi wa kanda wamekua wakitaka kushauriana na rais John Pombe Magufuli, bila mafanikio.
Chanzo:BBC
View attachment 1446643
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajukwaa, yule rafiki mkubwa wa Magu katika ukanda huu wa Afrika mashariki bwana Raila Odinga amekiri kwamba huenda rais Magufuli hapewi ushauri mzuri na amewaasa viongozi wengine wampe ushauri kwani ni msikivu.
Hayo yamejiri wakati akihojiwa na kituo cha habari, japo haikuwekwa wazi ni katika jambo gani ndugu Raila ameona rais hashauriwi vizuri.
WanaJF vipi maoni yenu kuhusu ushauri wa Raila Odinga?
=====
Virusi vya corona: Kiongozi wa upinzani wa Kenya Raila Odinga amesema Rais Magufuli ''anashauriwa vibaya''
9 Mei 2020
Akijibu kauli za Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, Mbunge wa Tanzania kutoka chama tawala cha CCM Job Lusinde Kibabaje amesema mfumo ambao Magufuli anautumia katika kukabiliana na Covid -19 ni mfumo umewasaidia sana Watanzania tofauti na Afrika Kusini, Uganda Kenya na Rwanda. ‘’Pengine wanashindwa tu kumuelewa’’, alisema katika mahojiano na BBC.
‘’Rais mfumo alioutumia kwa kukataa kuwaweka watu Lockdown, sisi Watanzania tunafahamiana, kuna watu wengi wanakula chakula cha leo wakitoka...leo ukiwafungia ndani wanaweza kupata matatizo makubwa’’ amesema .
‘’Mi natakaka tu kumuambia mwanasiasa mkongwe Raila kuwa Magufuli anawafahamu Watanzania zaidi na rais ana uchungu zaidi na Watanzania kuhusu uchungu wowote’’alisema Mbunge Kibabaja.
Raila amesema viongozi wa kanda wamekua wakitaka kushauriana na rais John Pombe Magufuli, bila mafanikio.
Kazi kwelikweli.