Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Kwani ulisikia kuwa mlima ndo umemfuata Mtume au mtume ndo aliufuata mlima?? Mwenye shida naye aje sio kumpigia sim
Nyie endeleeni tu kumsifia wenzake huko SADCC wanafanya maamuzi muhimu kwa nchi za ukanda wa SADCC yeye hayupo na mwakilishi wa Tanzania hatuna ,subiri impact yake ndio utaendelea kumshangilia.
 
Watamwelewa baadaye
Rais Magufuri amekwepa kupokes simu za rais wa Afrika Kusini Ceril Ramaphosa,Yoweli Kaguta Museveni,na ya Swaiba Wake mkuu Raila Odinga,ambaye wiki iliyopita akihojiwa na BBC alisema madai ya Magufuri kuwa mashine za kupimia Corona ni mbovu ,sio kweli anaamini rais Magufuri hashauriwi vizuri ,kimbembe toka siku hiyo kila akimpigia simu haipokelewi ,vilevile Ramaphosa na Museveni kulikoni?View attachment 1447186

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Nyie endeleeni tu kumsifia wenzake huko SADCC wanafanya maamuzi muhimu kwa nchi za ukanda wa SADCC yeye hayupo na mwakilishi wa Tanzania hatuna ,subiri impact yake ndio utaendelea kumshangilia.
Undugu kufaana kama wameona undugu wetu uvunjike mbona sawa tu??
 
Rais Magufuri amekwepa kupokes simu za rais wa Afrika Kusini Ceril Ramaphosa,Yoweli Kaguta Museveni,na ya Swaiba Wake mkuu Raila Odinga,ambaye wiki iliyopita akihojiwa na BBC alisema madai ya Magufuri kuwa mashine za kupimia Corona ni mbovu ,sio kweli anaamini rais Magufuri hashauriwi vizuri ,kimbembe toka siku hiyo kila akimpigia simu haipokelewi ,vilevile Ramaphosa na Museveni kulikoni?View attachment 1447186
Hivi ni mbwembwe au ujinga kumuita Magufu'ri' badala ya jina lake Magufuli kama lilivyoandikwa kwenye link yako? Kisha Kenya waache kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu, kwani siye huwa tunaingilia wanavyouana kwa ajili ya Raila aongoze na kula vyote?

Wafunge mipaka tuone kama Korona kwao itaisha na siye tujipange kivyetu kupambana nayo baada ya kujifunza kwa makosa.
 
Hivi ni mbwembwe au ujinga kumuita Magufu'ri' badala ya jina lake Magufuli kama lilivyoandikwa kwenye link yako? Kisha Kenya waache kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu, kwani siye huwa tunaingilia wanavyouana kwa ajili ya Raila aongoze na kula vyote? Pumbavu zao, wafunge mipaka tuone kama Korona kwao itaisha na siye tujipange kivyetu kupambana nayo baada ya kujifunza kwa makosa.
Nyie vibwengu wa lumumba mmetuharibia sn rais wetu kwa kumpa sifa asizostahili za kipuzi ili kuneemesha mitumbo yenu.Angalia ss amekua kituko mbele ya maraisi wenzake.
 
....Dah!..hii diplomasia yetu awamu hii imefeli sana.
 
Corona haiwezi kuisha tz bila dawa, tuna masihala sana, Mwenzio anaomba vikombe vya babu vitibu corona. Maisha yaendeleee
 
Nyie vibwengu wa lumumba mmetuharibia sn rais wetu kwa kumpa sifa asizostahili za kipuzi ili kuneemesha mitumbo yenu.Angalia ss amekua kituko mbele ya maraisi wenzake.
We fala nani kakwambia nimempa sifa? Acha upumbavu wako tumia akili. Narudia Kenya pumbavu zenu kwa kutuingilia ya kwetu, pumbavu kwa watanzania wote wanaounga mkono wakenya kufanya hivyo, vichwa maji withou own nation pride, screwed up in the head.
 
Baba chafijika tocha
Mano likwe likwe
Usiogope huko nako ni home town tu lakini kote TZ wala sio ugenini. Kwetu kuna kamnyama kanaitwaga Fungo. Hakanyi kila mahali bali hunya fungu moja tu. Huenda naye alimlaga nyama yake akapatwa na kirusi cha fungovic kinacho mtaka mtu anye fungu moja tu. Bado anaongoza na kutawala hata akiwa huko
 
Back
Top Bottom