Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Hahahha
Natamani nisikie hotuba yake inayofuate..amwage vitu!

Sent using Jamii Forums mobile app
EXrc2_4XgAAAS3i.jpeg
 
So sad [emoji17][emoji22][emoji24]... Hivi anafikiri nini anapoona marais wenzake wanacomment hivi kuhusu yeye... Does he even feel there is something wrong in his own country?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badilisha Kauli hii kwenda katika Uwingi...Dereva tafadhali sana zingatia Kuendesha Gari lako kwa mwendo wa Polepole usiue...
Hahahaha. Nimekupata aisee! Ila hapana mkuu, japo slow×2 wa bunge la katiba ni tofauti kabisa na huyu wa sasa lakini hajafikia wehu wa namna hii.
 
Rais wetu Ana kazi nyingi sana Muda wa kusikiliza ushauri kutoka kwa nchi zenye Lock down hana nao, hatujui watamshauri kitu gani? Kama wameshindwa kuzishauri Nchi zao
 
Kwa nini wakenya wanawashwa sana na mambo ya nchi yetu? Umewahi sikia kiongozi yetu yoyote hata wa upinzani akitaja hata jina la Kenya? Mwambie ajali nchi yake hana chochote kwetu, kazi ya kucheka suruali ya aliyemwagiwa maji wakati yeye kajinyea?
Maji yameishamwagika dogo, huo ndo ukweli.NEC 2015 walitukosea sana Watz
 
"Raila amesema viongozi wa kanda wamekua wakitaka kushauriana na rais John Pombe Magufuli, bila mafanikio."

Hii statement ni fikirishi. Ni kuwa rais ni mkaidi? Rais siyo msikivu? Rais hana cha kujifunza kutoka kwa wengine? Rais hashauriki? Nk nk.

Nani wanaomshauri rais kuwa na msimamo huu? Kina Mbatia ni mmoja wa watu hao?
Ana frustration chadema haijafa mpaka may 2020 kama alivyoapia mbingu
 
Back
Top Bottom