Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Kenya mtaipata wapi shughulikieni shilingi yenu kwanza inashuka kila siku, elfu 7000/= zako kwa mwezi unazopata kuipigania nchi yako halafu zinakufanya uwe mtumwa ndani yako utaendelea kuvumilia mpaka lini? hatujiskii raha kuongea kiswahili vizuri bila ya hela mfukoni., endelea kujifukiza au kunywa miti shamba itakugarimu maisha yako.
Hata jina lako tu linadhahirisha wewe ni mjinga mtumwa wa akili.
 
"Nimejaribu kumpata kwa simu hata nimemuachia ujumbe lakini bado sijafaulu kuwasiliana naye'

Aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya, Raila Odinga ambaye ni rafiki wa rais John Pombe Magufuli anasema kuwa kiongozi huyo wa Tanzania anapewa ushauri usiosahihi kuhusiana na jinsi ya kukabiliana na ugonjwa wa Corona.

Odinga anasema viongozi wa kanda wanastahili kushauriana kwani ugonjwa huu hauheshimu mipaka na Afrika mashariki inapaswa kulishughulikia kwa pamoja.

 
Ataongea lugha gani? Lkn Mbowe alimshauri asiogope wenzake ikiwezekana asione aibu kuwaambia kua atatumia kisukuma na atakua na mkalimani................
 
Back
Top Bottom