Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Raila Odinga anaamini Rais Magufuli hashauriwi vizuri

Nyie pigeni kelele tu lakini ipo siku inakuja. Watanzania sio wajinga.
 
"Nimejaribu kumpata kwa simu hata nimemuachia ujumbe lakini bado sijafaulu kuwasiliana naye'

Aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya, Raila Odinga ambaye ni rafiki wa rais John Pombe Magufuli anasema kuwa kiongozi huyo wa Tanzania anapewa ushauri usiosahihi kuhusiana na jinsi ya kukabiliana na ugonjwa wa Corona.

Odinga anasema viongozi wa kanda wanastahili kushauriana kwani ugonjwa huu hauheshimu mipaka na Afrika mashariki inapaswa kulishughulikia kwa pamoja.

Source: BBC..
.SABC

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi huko kwake Kenya ushauri wake mzuri umesaidiaje, hakuna maambukizi au?
 
Yeye mwenyewe anajua kuwa ushauri anaopewa ni mbovu ndio maana yuko chimbo mpaka leo na akiulizwa anarudi lini mjini anakuwa mkali na kutoa majibu mepesi.
 
Back
Top Bottom