Raila Odinga KUMTUMIA rais Magufuli kwa kampeni zake za URAIS Kenya ni MAKOSA MAKUBWA!

Raila Odinga KUMTUMIA rais Magufuli kwa kampeni zake za URAIS Kenya ni MAKOSA MAKUBWA!

Mkuu,hivi kwa nini mahakama ya mafisadi iliyoanzishwa haijampandisha kizimbani fisadi yoyote hadi sasa?,maana mafisadi maarufu tulionao hawana kinga ya kutoshitakiwa.
Fuatilia kwa msajili wa mahakama utajua mpaka sasa hivi ziko ngapi? Pia unapashwa kujua kuwa ni zile tu kesi zilizotendeka baada ya mahakama hiyo kuanzishwa. Ukiona kesi siyo nyingi ujue ufisadi umepungua!
 
Kwa maana hiyo sasa tanzania hatuna mafisadi,maana kama wapo bado hata zile kesi za zamani bado zinaweza funguliwa kwa mahaka za zamani.maana ya kutowachukulia hatu ni sawa na kukili kua zimebaki kelele tuu ambazo hazina maana.

Zingatia alishakwambia hatafukua makaburi,itabaki mikwara mbuzi tu ya mafisadi.
 
Sasa mkuu labor bila ya kuwa na afya nzuri na social ammenities kma maji na nishati hasa uko vijijini itawezaje kuproduce efficiently???? Kweli flyover is better than human capital?? Kwani flyover itasaidia upungufu wa madaktari na walimu wa sayansi?? Au uchumi ni bora kuliko uhai wa watu??
Alafu umeng'ang'ania human capital. Ok unaivest kwenye human capital alafu human capital dont produce. Mgafano unaprovide good heath. Fine you have a heath nation. But cannot produce. Isn"t that msiuse of resources?
 
Ok nmekuelewa mkuu pamoja sana
Issue inaweza kuwa kampuni binafsi au la. Efficiency ya tanesco sio nzuri na ndo maan unbandle inahitajika na ipo kwenye plan. Kuwe na kampuni 3. Ya ugavi (transmission) na ya kufua umeme. Hii itasaidia. Pia watu walisuggest iwe listed DSE
 
Support cku zote lazima iwepo tu kila MTU ana MTU anayempenda hata kama ni we we ungeshabikia tu kwa hyo subr ukiwa na nafas kama hyo tuta kuangalia
 
Kwa maana hiyo sasa tanzania hatuna mafisadi,maana kama wapo bado hata zile kesi za zamani bado zinaweza funguliwa kwa mahaka za zamani.maana ya kutowachukulia hatu ni sawa na kukili kua zimebaki kelele tuu ambazo hazina maana.

Zingatia alishakwambia hatafukua makaburi,itabaki mikwara mbuzi tu ya mafisadi.
Nenda kasome vizuri sheria ya uanzishaji mahakama hiyo
 
Wana JF hebu tujadili UBAYA na UZURI wa kumtumia Magufuli katika kampeni za jirani zetu Kenya.

Katika mkutano wao wa KUMUIDHINISHA rasmi mgombeaji wa upinzani wa ODM dhidi ya rais Kenyatta. Mh. Raila odinga alitumia video ya kushangaza sana iliyomwonyesha Rais wetu John Pombe Magufuli kama vile ANASAPOTI kampeni ya RAILAOdinga.

Mimi binafsi naona ni kama strategists wa NASA wamefanya MAKSUDI ili KUTUGOGANISHAU kati yetu na jirani zetu wazuri Kenya.
Urafiki wao wawili walipokuwa MAWAZIRI hauhusiani HATA KIDOGO na maswala ya USALAMA wa nchi yetu.

Nina maana Magufuli sasa is AN INTERNATIONAL FIGURE/Mtu wa KIMATAIFA. Hivyo kumweka kwenye VIDEO ya KUOMBA URAIS Kenya HAIMHUSU hata kidogo na NIKUTUCHONGANISHA!

Kwanza yeye ni Mwenyekiti wa EAC na haitajiki kuwa na upendeleo wowote. Kampuni za Kenya hapa Tanzania zimeajiri watu 50 elfu na zaidi.

Ni vizuri IKULU ama MSEMAJI wa serikali atoe KAULI rasmi, kuwa Tanzania haipendelei MGOMBEAJI yeyote yule nchini Kenya na maamuzi ya Wakenya ndo yatakubalika katika Jumuia ya Africa Mashariki.

Hii itatusaidia Raila Odinga ASIITUIINGIZE katika mizozano isiyo na tija kati yetu na Kenya maana HATUJUI nani atakuwa RAIS wa KENYA baada ya UCHAGUZI..
Kwangu mimi Raila kumtumia Magufuli sio jambo baya.
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) hukutanisha vyama vya siasa vya EAC nzima ili kujadili namna ya kuunda cross-national political party links zitakazosaidia kurahisisha kuundwa kwa Jamhuri ya Shirkisho la Afrika Mashariki.
 
Ni vizuri wamwambie ukweli kabisa bila WOGA kuliko kutuingiza katika balaa la Kiplomasia.Maana tukiharibikiwa Raila hana kitu cha kupoteza bali ni sisi Watanzania
Ni kweli kama Taifa itatugharimu.

Na hii hadi imetoa cheche, bila shaka mkwaruzo wa kidiplomasia umeshapatikana..
 
Raila Odinga na John PJ Magufuli ni Marafiki kwahiyo kupigana tafu si mbaya...mbona hata marehe komba alimpigia kampeni rais wa malawi na akashinda urais...
 
Ndio maana budget inakuwa allocted katika kila sekata kwa percentage ambayo inafaa. Huwezi kiallocate asilimia mia au 90 kwenye afya eti kwa sababu kinamama wana fariki au uallocate pesa zote kwenye elimu eti kwasababu inataka wanafunzi wote wapate mikopo. Hata hizo project unazosema au flyover sio kama zinajengwa nchi nzima. Dar kunayakiwa kuwe na fyover 6 lakini mpaka sass hivi zinajenwa 2 tu. Hujiulizi kwanini. Huwezi kutaka kushughulikia changamoto moja kwa asilimia 100 huku zingine una allocate 0%. Hakuna serikali ya hivyo duniani
Hamna aliesema mfanye kwa 100% si mnawela plannin mnasubiri funds mbona airport ya chato mmeallocate pesa yote 100% mbona SGR pesa mmeallocate yote kma ilivyo??? Milion 50 za kila kijiji mliwezaje????

Hoja hapa ni kwamba tuangalie vipaumbele muhim kma mliweza kufully fund airport ya chato why mshindwe kufully fund ujenzi wa vituo vya afya at least kila wilaya iwe na hospotali yenye facility za kutosha??? Usiseme bajeti tu jikite kwenye hyo miradi nlioitaja kwamba ilwezekaje afu afya mshindwe???
 
Ndio maana anatekeleza ahadi zake na ilani ya chama chake. Wewe subiri watz watakapokuamini kwa sasa bado ndo maana unalalama!!
Basi tuendelee kuchekwa na kudharauliwa na wakenya!!! maana watu wakihoji eti ANATEKELEZA SERA ZAKE!!! so hta tukila nyasi tukae kimya tu kisa anatekeleza sera zake??? Kwahyo hii nchi ni ya magu au watanzania??? Shame on u

Watza watakaponiamini?? Kwani mmi mwanasiasa??? Au nlishawahi gombea udiwani kwenye kata yenu???kwahyo kila anaehoji ni mwanasiasa??
 
Alafu umeng'ang'ania human capital. Ok unaivest kwenye human capital alafu human capital dont produce. Mgafano unaprovide good heath. Fine you have a heath nation. But cannot produce. Isn"t that msiuse of resources?
Ndio nang'ang'ania maana watu hamtaki kuelewa tofauti ya maendeleo ya vitu na watu!!! Nmekupa mfano wa gabon ni nchi tajiri by far zaidi ya tz ila wananchi wake ni maskini kuliko watanzania je huoni huko ndio tunapoelekea!!!!!

Anyway back to topic..... How can u fail to produce wakati unayo skilles labor??? Au unaona sawa mapilot wakizungu kujazana hapa nchini au unaona sawa kila siku watu wanatumia mamilion kwenda kufuata madakataro bingwa india!! Unafkiri tukipika wataalum miaka ijayo hatutakuwa kimbilio la mataifa mengine na itatuingizia pesa za kigeni!!!
 
Hizo ndege si ndio umezipiga vita. Unamaanisha unataka nchi iwekeze tu kwenye soft infrustructure and not hard infrustructute? Sasa ukiwa na wataalam wengi alafu hamna miradi watafanya kazi gani. These two things should go together. You need to allocte funds in both soft and hard infrustructures. Resources ni scarce ndo maana haya yanatokea. Kwani serikali haipendi kutatua kila kitu kwa asilimia 100. Kupanga ni kuchagua na if you dont plan you plan to fail
 
Unadhani wakenya wajinga? Hata leo hii odinga apewe urais wa Kenya hawezi kufanya upuuzi kama huu unaofanywa na kina Bashite and Co, na wakenya wakakaa kimya.
Africa ni Africa, upumbavu unaofanyika Tanzania ni waafrika nzima. Iwe Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Kongo na sehemu nyingine matatizo yanayowakuta waafrika ni uelewa wa waafrika wote hata waliopo ulaya wana matatizo haya haya
Mfano mzuri waafrika tunawaza madaraka kuliko kuwa na uchumi mzuri. Mfano mwingine South Africa wamepewa Uhuru lakini wazungu ndio wanaondesha uchumi

Africa ni Africa,
 
Bila ya transport vifaa tiba mtu atavipata vipi? Serikali itapata pesa kutoka kwa watalii na faida nyingine kutoka atcl. Ambayo itasaidia kununua vifaa tiba

Katika hali ya sasa tunayoiongelea tiba ni priority over transport.
 
habadani wakenya hawawezi kuchagua mwenda wazimu huyo ,sisi tulilazimishiwa huyu mwenzie
 
Back
Top Bottom