BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Tatizo Ni idadi ya waopiga kura.Lowassa kapewa pesa hili awamahashishe Wamaasai kumpigia kura Mh Uhuru. JPM Awezi kuhamashisha watu wa Kenya. Hakuna wasukuma Kenya. Kama walivyo Wamasai TZ Na KE. Na JPM ana shida kemkem nchini. Akaanze tena ya Kenya Wakati yeye mwenyewe anahitaji kuhungea mkono na majirani. Kila MTU atabeba msalaba wake mwenyewe. Odinga akusaida JPM kuingia ikulu ya TANZANIA.