zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hahahhhhha ndio nakwambia ssa hta kwa akili za kureason tu chato kuna faida gani ya kiuchumi kuzidi mtwara ama mwanza ama arusha???? Kwanni airport isingewekwa mwanza ama arusha for the sake ya economic opportunities zilizoko huko?? How comes chato iwe considered au kisa rais anatokea huko??? All in all that was a poor choice maana airport inajengwa kwa mabilion huku kilometer 8 kutoka ilipo airport shule hazina madawati wala wilaya haina maji safi na salama!!!!??? Siku mkijua tofauti ya maendelo ya wati na vitu ni nini ndio mtaelewa kwanni Gabon uchumi wake uko mbali sana kuzidi TZ akini wananchi wake ni maskini kuliko most poor african countries kma Tanzania!!!Efficient allocation of resources ndio kinachotakiwa. Kama serikali imeona chato inahitaji airport ili economic activities ziongezeke.no problem, economic activities zikiongezeka means more revenue, more revenue means more gvt collection, more gvt collection means more hospitals, more hspitals means more life expectancy