Raila Odinga KUMTUMIA rais Magufuli kwa kampeni zake za URAIS Kenya ni MAKOSA MAKUBWA!

Raila Odinga KUMTUMIA rais Magufuli kwa kampeni zake za URAIS Kenya ni MAKOSA MAKUBWA!

sasa akimuiga huyu Wa kwetu wakenya si watakuwa wamepotea? huyu Wa kwetu anashangiliwa na watu wachache ambao kwa bahati mbaya walinyimwa upeo Wa kufikiri hivyo wao ni akina ndiyo mzee
Sahisho wetu anapingwa na wachache, sana wapiga dili na wale wale waliokua wanampinga tokea mwazo
 
Tanzania Starts Construction Works On 240 MW Kinyerezi II Gas-Fired Power Plant

The Tanzanian government has recently launched construction works of the Kinyerezi II power plant project in Ilala district in Dar es Salaam, which will be supplied with natural gas from the Mnazi Bay and will add 240 MW to the national grid when completed in 2018 .

Kinyerezi II represents a total investment of USD 432 million or TZS 691.2 billion with 15% financed by Tanzania’s government through a loan from the Development Bank of Southern Africa (DBSA), the Japan Bank for International Cooperation (JBIC) and SMBC Trust Bank, while the Japan International Cooperation Agency (JICA) provided the remaining balance.

Kinyerezi II construction works follow Kinyerezi I power plant inaugurated in Q4-2015 by the Tanzania Electric Supply Company (TANESCO), which has a capacity of 150 MW and is part of a project compounded by four gas fired power plants meant to add over 1,000 MW of capacity to the national grid through a 400 KV sub-station in Kinyerezi area.

TANESCO’s Kinyerezi Plant Manager, Eng. John Mageni, explained that the organization has plans to expand Kinyerezi I capacity from 150 MW to 335 MW with the support of the natural gas coming from the Mnzai Bay since at the beginning it was being supplied by the Songosongo gas field and working at 50% of its capacity.

Tanzania Starts Construction Works On 240 MW Kinyerezi II Gas-Fired Power Plant - TanzaniaInvest
Irrelevance maana mradi ni under tanesco hivyo bado inabaki kuwa 95% ya bomba haliko maximised maana hakuna wateja!!! Kasome ripoti ya CAG
 
Hahahha upeo wa kitoto??? Sasa ripoti ya CAG inadanganya kuwa mlibugi kwenye kujenga bomna kabla ya kupata wateja?? Mradi wakinyerezi wa kampuni gani?? Wakati mteja ni tanesco peke yake?? Hizo negotiation mlishindwa fanya kabla ya kujenga bomba??? Na hizo ahadi alizotoa DHAIFU na prof muongo kule ubungo kuwa kufkia 2020 utakuwa uchumi ulioshikiliwa na gesi yameishia wapi leo hii mnasema 2029???

Negiriations??? Yaani unatengeneza product ndio unaanza negotiation?? Embu acha kutufanya wote ni wagogo wa dodoma ambao ni koloni lenu maccm

Shame on u
We ndugu bomba la gas ya mtwara dar ni primarily kwa ajili ya kuzalisha umeme na si kuuza. Untapped reserve ya gas tunayotarajia italeta economic transformations bado iko offshore(baharini) wala hata maamuzi ya uwekezaji hayajafanywa rasmi na stat oil. Kuna jamaa hapo juu amekueleza gas ya kuuzwa itatoka kwenye LNG plant ambayo bado kabisa kujengwa. Lakini sidhani kama huyo CAG ana elimu yoyote kuhusiana na gas.
 
sasa akimuiga huyu Wa kwetu wakenya si watakuwa wamepotea? huyu Wa kwetu anashangiliwa na watu wachache ambao kwa bahati mbaya walinyimwa upeo Wa kufikiri hivyo wao ni akina ndiyo mzee
Ngoja ifike 2020 ndo utajua kama anaungwa mkono na wachache au wengi
 
Upuuzi wa kumtuma bashite kuvamia clouds radio.
Vyeti fake kwa bashite au nani?
Upuuzi wa kumfukuza nape kwa sababu kamsema Bashite? Huu upuuzi wakenya hawaufagilii. Not to zat eksitent
Wew mtu wa mipasho. Usituletee habar za udaku hapa lete mambo ya maana. Dume zima unaongelea mambo ya bashite kama mangr
 
This is a challenge kwa kweli hivi iweje mnashangilia miradi bila kuuliza impact ya miradi iliyopita kwenye maisha ya mtanzania!! Hta awamu zilizopita mlituaminisha gesi ingebadili maisha yetu na cjui utalii mkatuaminisha ungeongeza pato la taifa BUT NOW WHAT HAPPENED????

mkuu hama kwenye fikra ya maendeleo ya vitu tuanze kutafuta maendeleo ya WATU otherwise mtabakia kusema treni gesi migodi ndege etc miala nenda rudi
Wew unaonekana una cheti kimoja tu. Nacho ni cheti cha kuzaliwa
 
Mleta mada utakua mkenya wewe MGOMBEAJI duuuuuuuu.....
 
Wana JF hebu tujadili UBAYA na UZURI wa kumtumia Magufuli katika kampeni za jirani zetu Kenya.

Katika mkutano wao wa KUMUIDHINISHA rasmi mgombeaji wa upinzani wa ODM dhidi ya rais Kenyatta. Mh. Raila odinga alitumia video ya kushangaza sana iliyomwonyesha Rais wetu John Pombe Magufuli kama vile ANASAPOTI kampeni ya RAILAOdinga.

Mimi binafsi naona ni kama strategists wa NASA wamefanya MAKSUDI ili KUTUGOGANISHAU kati yetu na jirani zetu wazuri Kenya.
Urafiki wao wawili walipokuwa MAWAZIRI hauhusiani HATA KIDOGO na maswala ya USALAMA wa nchi yetu.

Nina maana Magufuli sasa is AN INTERNATIONAL FIGURE/Mtu wa KIMATAIFA. Hivyo kumweka kwenye VIDEO ya KUOMBA URAIS Kenya HAIMHUSU hata kidogo na NIKUTUCHONGANISHA!

Kwanza yeye ni Mwenyekiti wa EAC na haitajiki kuwa na upendeleo wowote. Kampuni za Kenya hapa Tanzania zimeajiri watu 50 elfu na zaidi.

Ni vizuri IKULU ama MSEMAJI wa serikali atoe KAULI rasmi, kuwa Tanzania haipendelei MGOMBEAJI yeyote yule nchini Kenya na maamuzi ya Wakenya ndo yatakubalika katika Jumuia ya Africa Mashariki.

Hii itatusaidia Raila Odinga ASIITUIINGIZE katika mizozano isiyo na tija kati yetu na Kenya maana HATUJUI nani atakuwa RAIS wa KENYA baada ya UCHAGUZI..
ODINGA
 
Atcl inamsaidiaje anaekufa kwa malaria au tb na vifaa tiba hakuna
Bila ya transport vifaa tiba mtu atavipata vipi? Serikali itapata pesa kutoka kwa watalii na faida nyingine kutoka atcl. Ambayo itasaidia kununua vifaa tiba
 
Ni kweli. Lakini asifanye Watanzania wanaoishi na kufanya kazi huko waonekane ni ADUI wa serikali ya Kenyatta. Hilo halikubaliki. Yeye ajitetee tu kivyake.
Wakenya ni wajanja wanajua hawawezi kutuchukia kwa sab za kijinga kama hizo..kumbuka raila ni rafiki Mkubwa wa magufuli lkn hii haimfanyi Uhuru kenyata asifanye kazi na magufuli. Raila alikwenda chato kumpongeza magufuli.
 
Hahahha upeo wa kitoto??? Sasa ripoti ya CAG inadanganya kuwa mlibugi kwenye kujenga bomna kabla ya kupata wateja?? Mradi wakinyerezi wa kampuni gani?? Wakati mteja ni tanesco peke yake?? Hizo negotiation mlishindwa fanya kabla ya kujenga bomba??? Na hizo ahadi alizotoa DHAIFU na prof muongo kule ubungo kuwa kufkia 2020 utakuwa uchumi ulioshikiliwa na gesi yameishia wapi leo hii mnasema 2029???

Negiriations??? Yaani unatengeneza product ndio unaanza negotiation?? Embu acha kutufanya wote ni wagogo wa dodoma ambao ni koloni lenu maccm

Shame on u
Wew kweli una upeo mdogo. Bora JPM alivyoweka elimu bure ili watu kama hawa wasije kupatikana mbeleni
 
Wana JF hebu tujadili UBAYA na UZURI wa kumtumia Magufuli katika kampeni za jirani zetu Kenya.

Katika mkutano wao wa KUMUIDHINISHA rasmi mgombeaji wa upinzani wa ODM dhidi ya rais Kenyatta. Mh. Raila odinga alitumia video ya kushangaza sana iliyomwonyesha Rais wetu John Pombe Magufuli kama vile ANASAPOTI kampeni ya RAILAOdinga.

Mimi binafsi naona ni kama strategists wa NASA wamefanya MAKSUDI ili KUTUGOGANISHAU kati yetu na jirani zetu wazuri Kenya.
Urafiki wao wawili walipokuwa MAWAZIRI hauhusiani HATA KIDOGO na maswala ya USALAMA wa nchi yetu.

Nina maana Magufuli sasa is AN INTERNATIONAL FIGURE/Mtu wa KIMATAIFA. Hivyo kumweka kwenye VIDEO ya KUOMBA URAIS Kenya HAIMHUSU hata kidogo na NIKUTUCHONGANISHA!

Kwanza yeye ni Mwenyekiti wa EAC na haitajiki kuwa na upendeleo wowote. Kampuni za Kenya hapa Tanzania zimeajiri watu 50 elfu na zaidi.

Ni vizuri IKULU ama MSEMAJI wa serikali atoe KAULI rasmi, kuwa Tanzania haipendelei MGOMBEAJI yeyote yule nchini Kenya na maamuzi ya Wakenya ndo yatakubalika katika Jumuia ya Africa Mashariki.

Hii itatusaidia Raila Odinga ASIITUIINGIZE katika mizozano isiyo na tija kati yetu na Kenya maana HATUJUI nani atakuwa RAIS wa KENYA baada ya UCHAGUZI..
Taifa letu limepatwa (eclipsed).

Ni makosa kwa Rais kuunga mkono upinzani dhidi ya serikali ya nchi nyingine, hasa ikiwa nchi hizo zina mahusiano mazuri.

Suala la kuunga mkono upinzani wa serikali ya Kenya lililalamikiwa sana tangu siku za mwanzo za urais wa Magufuli. Ila kama kawaida ikulu ilipuuza malalamiko hayo.

Hivi ni kweli ikulu haiwezi kutenganisha urafiki wa Magufuli na URAIS wa Tanzania?????

Hivi hapo magogoni maafisa wote wamejawa na nidhamu ya woga kiasi cha kuridhika uhusiano wetu na Kenya ni bora uharibike kuliko kumuelekeza bwana mkubwa ????

Hii ni AIBU. Lakini pia madai yoyote yatakayotolewa na serikali ya Kenya kuhusu Tanzania kuingilia uchaguzi wao kwa nia ovu, yatachukuliwa na dunia kwa uzito wa juu.

Na kwa hakika lawama hizo ZITATUSTAHILI.

Urafiki wa watu wawili unahatarisha mahusiano mema ya nchi zetu tuliyoyajenga kwa miaka mingi.

Mbaya zaidi pembeni yake kuna watu wenye akili timamu wanaangalia tu bila kuchukua hatua sahihi mapema.
 
Upuuzi wa kuwabana mafisadi na kuondoa wenye vyeti feki serikalini?????

Upuuzi kufufua shirika la ATCL?

Upuuzi kuleta treni ya umeme?
Ndiyo..... Ni upuuzi kwani hivyo, japo ni vitu vizuri, lakini sio vipaumbele vya kwanza kwa nchi.

Ni UPUUZI WA HALI YA JUU kuacha kushughulika na priorities.
 
Taifa letu limepatwa (eclipsed).

Ni makosa kwa Rais kuunga mkono upinzani dhidi ya serikali ya nchi nyingine, hasa ikiwa nchi hizo zina mahusiano mazuri.

Suala la kuunga mkono upinzani wa serikali ya Kenya lililalamikiwa sana tangu siku za mwanzo za urais wa Magufuli. Ila kama kawaida ikulu ilipuuza malalamiko hayo.

Hivi ni kweli ikulu haiwezi kutenganisha urafiki wa Magufuli na URAIS wa Tanzania?????

Hivi hapo magogoni maafisa wote wamejawa na nidhamu ya woga kiasi cha kuridhika uhusiano wetu na Kenya ni bora uharibike kuliko kumuelekeza bwana mkubwa ????

Hii ni AIBU. Lakini pia madai yoyote yatakayotolewa na serikali ya Kenya kuhusu Tanzania kuingilia uchaguzi wao kwa nia ovu, yatachukuliwa na dunia kwa uzito wa juu.

Na kwa hakika lawama hizo ZITATUSTAHILI.

Urafiki wa watu wawili unahatarisha mahusiano mema ya nchi zetu tuliyoyajenga kwa miaka mingi.

Mbaya zaidi pembeni yake kuna watu wenye akili timamu wanaangalia tu bila kuchukua hatua sahihi mapema.
Ni vizuri wamwambie ukweli kabisa bila WOGA kuliko kutuingiza katika balaa la Kiplomasia.Maana tukiharibikiwa Raila hana kitu cha kupoteza bali ni sisi Watanzania
 
Hii ishu siyo Wakenya wala strategist wa NAS bali wewe mnafiki na mmbea unayetaka Magufuli ashambuliwe na kudhihakiwa na machokolaa km wewe.

Watu wa aina yako huwa ni wachawi.
Kutojua Diplomasia hufanyikaje kati ya nchi na nchi haya ndo majibu ya mtu aliye na upeo mdogo. Sishangazwi na jibu lako
 
Kenyan news and politics!

Kilichoandikwa kwenye mada na mjadala unaofanyika ni vitu viwili tofauti!

Watanzania tubadilike la sivyo tutasubiri sana! Yako majukwaa mengi ya kujadili performance ya Rais wetu!

Rudini kwenye hoja ya msingi
Mkuu what are trying to imply?
 
Back
Top Bottom