Umeelewa hoja yangu?? Nani kapinga miradi?? Nachomjibu huyo ni kwamba sio kila anyemkosoa rais basi ndo anampinga maendeleo maana kila tukimkosoa magufuli utaskia ANAJENGA RELI ANAJENGA BARABARA !!!! as if gadaffi hakufanya yote haya na bado wananchi wakawa hawamkubali!!!!
Anyway kwa unachosema wwe its ok miradi ila kumbuka bomba la gesi only mteja ni tanesco!!! Na hata CAG anasema tumekosa wateja then wwe unatetea tu sijui kwa faida ya nani?? Yaani grid ya umeme kutegemea gesi ndio imesaidua nini kma tanesco inaendeshwa kwa hasara ya mabilion kila mwaka?? REA imekwama hyo gesi imesaidia nini??? Unajua vijiji vingapi havina uneme hapa TZ??
Hoja yangu ni kwamba tusishabikie miradi ila tushabikie OUTCOME au IMPACT ya miradi.... sio tu magufuli katumbua bandari sijui kajenga treni je tujiulize hiyo miradi imefaidisha nini mwananchi wa kawaida hapo ndipo msifie sio kusifia mradi wa treni wakati 60% ya vijiji treni hii inapopita hayana maji safi na salama wala vituo vya afya then mnakuja mnashabikia ti treni treni kwani ni mara ya kwanza treni kuletwa?? Ila since then kuna impact gani kwenye maisha ya mwananchi wa kawaida??
TUSIFIE IMPACT YA MIRADI SIO KUSIFIA MIRADI
Uko na mlengo Wa kisiasa zaidi,
Unaweza kuwa sahihi kwa huo mtazamo wako.
But to me,
I don't give a https://jamii.app/JFUserGuide on your Chadema or CCM, ama sijui chama gani Kingine,
Nataka Kuona Maendeleo, that's it. Sihitaji porojo na stori za usisiem au Ukawa people will not eat words .
Tena napenda hata hivi vyama vinnyimwe kabisa ruzuku ambazo ni Kodi zetu, vijitegemee..
Nataka kuona ni Kitu gani (Visible) serikali imekifanya?
Kuhusu hoja yako kuwa Tanesco ndio mteja Wa gesi inadhihirisha kuwa upo hapa kupinga kila kitu.
Miradi kama REA inakwama kwa Sababu wafadhili kuna wakati hawatoi pesa kwa Wakati.
Ndio maana nataka kuona Miundombinu kama hii ya Reli itakayoiongezea serikali PATO la kufanya tujitegemee tujenge Miundombinu ya Maji safi kwa watanzania.
Magufuli isn't an ANGEL, ana mapungufu kama ilivyo Mimi na wewe , But he is the best statesman especially kwa Wakati tulipokuwa tumefika.
Pamoja na kuwa sikumpigia kura nataraji kumpigia kura 2020. Kama SGR, ATCL, JNIA, MW2000 kwenye gridi ya Taifa na Miundombinu ya Barabara za flyovers hapa dsm itakuwa imekamilika.