game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Wakati huohuo Kenya mtu hashindi bila Kuiba Kura.Nachowasifu wakenya ni kwamba wana msimamo kama waarabu... Huweza kuwachezea kama tunavyoshikwa shikwa sharubu Tanzania...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati huohuo Kenya mtu hashindi bila Kuiba Kura.Nachowasifu wakenya ni kwamba wana msimamo kama waarabu... Huweza kuwachezea kama tunavyoshikwa shikwa sharubu Tanzania...
Yes,Kwani hiyo ndio priority ya watz?
Hebu tulia uteeleze vizuri juu ya hizo video ya kushangaza iliyomwonesha mpenzi wetu, baba yetu na raisi wetuWana JF hebu tujadili UBAYA na UZURI wa kumtumia Magufuli katika kampeni za jirani zetu Kenya.
Katika mkutano wao wa KUMUIDHINISHA rasmi mgombeaji wa upinzani wa ODM dhidi ya rais Kenyatta. Mh. Raila odinga alitumia video ya kushangaza sana iliyomwonyesha Rais wetu John Pombe Magufuli kama vile ANASAPOTI kampeni ya RAILAOdinga.
Mimi binafsi naona ni kama strategists wa NASA wamefanya MAKSUDI ili KUTUGOGANISHAU kati yetu na jirani zetu wazuri Kenya.
Urafiki wao wawili walipokuwa MAWAZIRI hauhusiani HATA KIDOGO na maswala ya USALAMA wa nchi yetu.
Nina maana Magufuli sasa is AN INTERNATIONAL FIGURE/Mtu wa KIMATAIFA. Hivyo kumweka kwenye VIDEO ya KUOMBA URAIS Kenya HAIMHUSU hata kidogo na NIKUTUCHONGANISHA!
Kwanza yeye ni Mwenyekiti wa EAC na haitajiki kuwa na upendeleo wowote. Kampuni za Kenya hapa Tanzania zimeajiri watu 50 elfu na zaidi.
Ni vizuri IKULU ama MSEMAJI wa serikali atoe KAULI rasmi, kuwa Tanzania haipendelei MGOMBEAJI yeyote yule nchini Kenya na maamuzi ya Wakenya ndo yatakubalika katika Jumuia ya Africa Mashariki.
Hii itatusaidia Raila Odinga ASIITUIINGIZE katika mizozano isiyo na tija kati yetu na Kenya maana HATUJUI nani atakuwa RAIS wa KENYA baada ya UCHAGUZI..
Anyway nshaona wwe either umekulia kwenye bungallow so hujui maisha ya mtanzania anayeishi kwa dola 2 kwa siku tatu anasurvive vp so u dont take me serious ila hawa makapuku ndio watanielewa tofauti ya MRADI na IMPACT YA MRADI..... mlikuja hapa madwati madawati mkamsifia magufuli ila leo hii Takwimu zinaonyesha kwa kila level ya elimu y msingi 60% ya wanafunzi wanavuka madarasa bila kujua kusoma na kuandika???? Sasa sifa za madawati zinaendana na ufanisi kuongezeka shuleni??? Je zile sifa zinaendana na matokeo????Uko na mlengo Wa kisiasa zaidi,
Unaweza kuwa sahihi kwa huo mtazamo wako.
But to me,
I don't give a **** on your Chadema or CCM, ama sijui chama gani Kingine,
Nataka Kuona Maendeleo, that's it. Sihitaji porojo na stori za usisiem au Ukawa people will not eat words .
Tena napenda hata hivi vyama vinnyimwe kabisa ruzuku ambazo ni Kodi zetu, vijitegemee..
Nataka kuona ni Kitu gani (Visible) serikali imekifanya?
Kuhusu hoja yako kuwa Tanesco ndio mteja Wa gesi inadhihirisha kuwa upo hapa kupinga kila kitu.
Miradi kama REA inakwama kwa Sababu wafadhili kuna wakati hawatoi pesa kwa Wakati.
Ndio maana nataka kuona Miundombinu kama hii ya Reli itakayoiongezea serikali PATO la kufanya tujitegemee tujenge Miundombinu ya Maji safi kwa watanzania.
Magufuli isn't an ANGEL, ana mapungufu kama ilivyo Mimi na wewe , But he is the best statesman especially kwa Wakati tulipokuwa tumefika.
Pamoja na kuwa sikumpigia kura nataraji kumpigia kura 2020. Kama SGR, ATCL, JNIA, MW2000 kwenye gridi ya Taifa na Miundombinu ya Barabara za flyovers hapa dsm itakuwa imekamilika.
Anyway nshaona wwe either umekulia kwenye bungallow so hujui maisha ya mtanzania anayeishi kwa dola 2 kwa siku tatu anasurvive vp so u dont take me serious ila hawa makapuku ndio watanielewa tofauti ya MRADI na IMPACT YA MRADI..... mlikuja hapa madwati madawati mkamsifia magufuli ila leo hii Takwimu zinaonyesha kwa kila level ya elimu y msingi 60% ya wanafunzi wanavuka madarasa bila kujua kusoma na kuandika???? Sasa sifa za madawati zinaendana na ufanisi kuongezeka shuleni??? Je zile sifa zinaendana na matokeo????
Mkuu lazma ujue kuna maendeleo ya vitu na maendeleo ya watu hivi unafkiri leo hii magufuli akisema kila kata anajenga zahanati unahisi wapinzani watapinga?? Hivi kati ya afya na reli ipi bora?? Yaani miaka 50 ya uhuru kila siku wamama 20 wanakufa kwa sababu ya kukosa vituo vya afya then mtu mzima kma wwe mwenye IQ kubwa unasupport SGR ovee social services??? Kwani sahvi hakuna treni?? Umeskia kipaumbele cha watz ni usafiri??
Whether gridi zijengwe au zisijengwe mara flyover hizo sio kipaumbele cha watz maana mwisho wa siku wat will count ni maendeleo ya mtanzania wale wanaoishi below poverty line ssa nani aliyesema SGR au flyover zitapunguza vifo vya akina mama kila siku kwa issue za afya??? Au wananchi wa uvinza ambao miaka 50 ya uhuru hawana maji ilihali kilometer 8 tu kuna ziwa tanganyika na watu wanakufa kwa kukosa maji safi na salama???
We mpigie kura as u say ila wajukuu zako wakija kuteseka kutokana na vipaumbele vibovu vya serikali yako na wwe utakuwa umeshiriki kwenye msalaba wao huo
Jioni njema
This is a challenge kwa kweli hivi iweje mnashangilia miradi bila kuuliza impact ya miradi iliyopita kwenye maisha ya mtanzania!! Hta awamu zilizopita mlituaminisha gesi ingebadili maisha yetu na cjui utalii mkatuaminisha ungeongeza pato la taifa BUT NOW WHAT HAPPENED????
mkuu hama kwenye fikra ya maendeleo ya vitu tuanze kutafuta maendeleo ya WATU otherwise mtabakia kusema treni gesi migodi ndege etc miala nenda rudi
Ndio maana nikauliza mnaelewa tofauti ya maendeleo ya VITU na WATU??? sasa bila afya bora ni kina nani watafaidika na miradi hiyo?? U cant be serious yaani SGR ndio italeta hospitali hivi unajua mpaka deni lilipwe ndio faida ije itakuwa miaka mingapi??? Hivi somo la project management halifundishwi siku hizi mashuleni?? Maana sio kwa comment hiziSina uhakika kama upeo wako ni mdogo au ndio unyumbu umepitiliza. Hivi pesa ya kujenga hospitali na kuimarisha huduma za jamii zitatoka wapi bila kuongeza mapato yetu?
Ndege zitaimarisha utalii wetu kwa hiyo uchumi utakuwa na serikali itakuwa na uwezo zaidi wa kutoa huduma za jamii.Kumbuka huduma za jamii sio biashara na haziingizii serikali kipato chochote.
Reli ya SGR itaongeza ushindani wa bandari yetu katika usafirishaji wa mizigo kwa haraka zaidi.
Tumia akili mzee, huwezi kujenga hospitali kila sehemu wakati mapato bado ni kidogo.
Hahahhahhah CCM kupitia muhongo mlituaminisha gesi ingekuza pato la taifa by far ila ripoti ya CAG inawaumbua kuwa mteja ni mmoja tu na hakuna marketin plan yoyote ya kuongeza wateja ssa mnataka tuendelee kuamini kuwa miradi ndio suluhisho la matatizo ya watanzaniaUnavyoropoka kuhusu gesi unajua LNG plant ni nini? Acha ujuaji kumbe ujinga tu. Fisadi Lowassa aliwadanganya kuwa atatumia gesi kutoa elimu ya bure wakati hatuna LNG plant na nyie kwa unyumbu wenu mkazungusha mikono.
Ndio maana nikauliza mnaelewa tofauti ya maendeleo ya VITU na WATU??? sasa bila afya bora ni kina nani watafaidika na miradi hiyo?? U cant be serious yaani SGR ndio italeta hospitali hivi unajua mpaka deni lilipwe ndio faida ije itakuwa miaka mingapi??? Hivi somo la project management halifundishwi siku hizi mashuleni?? Maana sio kwa comment hizi
Nijibu hili swali!!! Je ni sawa kwa miaka 50 wamama 20 wanakufa kila siku kwa kukosa huduma za kiafya ilihali kipaumbele ni airort ya chato na SGR ambayo Return on investment inakuja after decades in which akina mama in thousands watakuwa wamepukutika
Ahsante
Hahhahahh nlijua tu utaishiwa hoja......... ndo ujue its so hard kubadili uongo kuwa ukweli. Eti hatuna hela?? na hizo za kujenga airport ya chato porini ambako hakuna economic incentive yoyote mmetoa wapi huku mnajua kabisa haitoleta faida lakini mnadai hakuna pesa ya kujenga zahanati ??? Shame on u vibaraka wa serikali na wasaliti wa umma maskini wa watanzaniaKakojoe ukalale, huwezi kuwa na ndoto kubwa wakati kipato chako kidogo.
Hahahhahhah CCM kupitia muhongo mlituaminisha gesi ingekuza pato la taifa by far ila ripoti ya CAG inawaumbua kuwa mteja ni mmoja tu na hakuna marketin plan yoyote ya kuongeza wateja ssa mnataka tuendelee kuamini kuwa miradi ndio suluhisho la matatizo ya watanzania
Wawez nikejeli utakavyo sijui lowassa sijui fisadi wateva the case ila mkubali kuwa serikali yenu haipo vzuri kwenye vipaumbele kabisa ssa leo hii mnaona ni heri hospitali zisubiri mpala reli ilete faida are we serious???
Na atakosa tu uraisiRaila anafanya makosa ambayo atakuja kujutia kwa nini anamtumia Sizonje
Hahahha upeo wa kitoto??? Sasa ripoti ya CAG inadanganya kuwa mlibugi kwenye kujenga bomna kabla ya kupata wateja?? Mradi wakinyerezi wa kampuni gani?? Wakati mteja ni tanesco peke yake?? Hizo negotiation mlishindwa fanya kabla ya kujenga bomba??? Na hizo ahadi alizotoa DHAIFU na prof muongo kule ubungo kuwa kufkia 2020 utakuwa uchumi ulioshikiliwa na gesi yameishia wapi leo hii mnasema 2029???Kama hujui vitu kubali kujifunza kuliko kuleta ushabiki wa kitoto.
Kwanza, kuna miradi mingine ya Kinyerezi ambayo itatumia bomba hilo la gesi.
Pili, ili gesi ilete faida kubwa ni lazima tuuze nje na sio kutegemea matumizi ya ndani. Ili kusafirisha gesi nje lazima gesi hiyo igeuzwe kuwa kimiminika (Liquefied natural gas [LNG]). Ili kugeuza gesi kuwa kimiminika tunahitaji kuwa na LNG plant kuchakata gesi hiyo. Gharama za ujenzi wa LNG plant yetu ni Usd bilioni 30. Sasa hivi tupo kwenye mazungumzo na makampuni ya utafiti wa gesi ili kuanza mchakato huu. Hesabu zinaonesha kuwa mambo yakienda sawa tutaanza kuuza gesi nje mwaka 2029. Hapo ndio mabadiliko makubwa yatapokuja.
Nimefunga mjadala na wewe, unaonesha ni mtu mwenye upeo mdogo ila umeamua kuleta ubishi wa kitoto,
Hahhahahh nlijua tu utaishiwa hoja......... ndo ujue its so hard kubadili uongo kuwa ukweli. Eti hatuna hela?? na hizo za kujenga airport ya chato porini ambako hakuna economic incentive yoyote mmetoa wapi huku mnajua kabisa haitoleta faida lakini mnadai hakuna pesa ya kujenga zahanati ??? Shame on u vibaraka wa serikali na wasaliti wa umma maskini wa watanzania
Hahahha upeo wa kitoto??? Sasa ripoti ya CAG inadanganya kuwa mlibugi kwenye kujenga bomna kabla ya kupata wateja?? Mradi wakinyerezi wa kampuni gani?? Wakati mteja ni tanesco peke yake?? Hizo negotiation mlishindwa fanya kabla ya kujenga bomba??? Na hizo ahadi alizotoa DHAIFU na prof muongo kule ubungo kuwa kufkia 2020 utakuwa uchumi ulioshikiliwa na gesi yameishia wapi leo hii mnasema 2029???
Negiriations??? Yaani unatengeneza product ndio unaanza negotiation?? Embu acha kutufanya wote ni wagogo wa dodoma ambao ni koloni lenu maccm
Shame on u
Hahahha upeo wa kitoto??? Sasa ripoti ya CAG inadanganya kuwa mlibugi kwenye kujenga bomna kabla ya kupata wateja?? Mradi wakinyerezi wa kampuni gani?? Wakati mteja ni tanesco peke yake?? Hizo negotiation mlishindwa fanya kabla ya kujenga bomba??? Na hizo ahadi alizotoa DHAIFU na prof muongo kule ubungo kuwa kufkia 2020 utakuwa uchumi ulioshikiliwa na gesi yameishia wapi leo hii mnasema 2029???
Negiriations??? Yaani unatengeneza product ndio unaanza negotiation?? Embu acha kutufanya wote ni wagogo wa dodoma ambao ni koloni lenu maccm
Shame on u
Hahahha upeo wa kitoto??? Sasa ripoti ya CAG inadanganya kuwa mlibugi kwenye kujenga bomna kabla ya kupata wateja?? Mradi wakinyerezi wa kampuni gani?? Wakati mteja ni tanesco peke yake?? Hizo negotiation mlishindwa fanya kabla ya kujenga bomba??? Na hizo ahadi alizotoa DHAIFU na prof muongo kule ubungo kuwa kufkia 2020 utakuwa uchumi ulioshikiliwa na gesi yameishia wapi leo hii mnasema 2029???
Negiriations??? Yaani unatengeneza product ndio unaanza negotiation?? Embu acha kutufanya wote ni wagogo wa dodoma ambao ni koloni lenu maccm
Shame on u
Dah we jamaaa haupo serious kabisa ssa ndio nini hiki?? Mbona unatoka nje ya mada???Hivi unajua deni la hilo bomba la gesi ni shingapi??? Unajua mpaka deni lilipwe na holding cost + maintenace cost zikiwa cleared ndio ssa tuanze kuona faida ni mwaka gani??? Na si ndio maana nkakuuliza how long can pregnant women of Tanzania who for 50 years have have endured inadequate health facilities and 20 die each day which passes!! so that they can finally enjoy tje benefits of natural gas???Wed Nov 16, 2016 | 12:04pm EST
Final investment decision on Tanzania LNG plant still 5 yrs away -Statoil
By Katharine Houreld | DAR ES SALAAM
Nov 16 The final investment decision on a Tanzania's $30 billion onshore liquefied natural gas (LNG) export terminal will not be made for at least five years and possibly much longer, said Oystein Michelsen, Statoil's Tanzania country manager.
"We are prepared for the project to take a long time, but we could bring it forward if the government is ready," he told Reuters on the sidelines of an investment conference in Tanzania.
"We are not schedule-bound ... if the government delivers we would need five years until an FID," he said, referring to a final investment decision.
It would take another five years after the decision to build the plant, he said.
Tanzania's natural gas reserves are estimated at more than 55 trillion cubic feet (tcf) and the central bank believes starting work on the plant would add another 2 percentage points to annual economic growth of 7 percent.
The government is keen to promote the project but there has been little public discussion of the timeline.
Outstanding issues included a stable framework with the host government, and clarity over local ownership requirements in some contracts, Oystein said.
In August, Tanzanian president John Magufuli ordered officials to speed up long-delayed work on the plant, a project involving BG Group -- recently acquired by Royal Dutch Shell -- and Statoil, Exxon Mobil and Ophir Energy , in partnership with the state-run Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC).
A statement from Magufuli's office said he wanted the remaining issues sorted out so construction could begin immediately.
Magufuli, a reformist who took office in November, has sacked several senior officials for graft or inefficiency. (Editing by David Evans)
Final investment decision on Tanzania LNG plant still 5 yrs away -Statoil
NASA INAPOTEZA MUDA,,, KALAGA BAHO????? ODINGA RAILA AMOLO(AGWAMBO) NAMBA NYINGINE HIYO WAIT AND SEEOdinga anapoteza muda tu.
Mkuu wwe unaongea tofauti na alichosema muhongo..... yeye alisema kila nyumba ita access gesi kma nishati mbadala ssa bomba mna mteja mmoja tu huoni ni fatal kwa uchumi wa nchi?? Acha ushabiki mkuu kubalini hamkufanya nice choices za vipaumbele na jinsi mnavyoanza miradi bila kufanya anlysis za kutosha na haya kayasema CAG sielewi ni wapi nmesema ni mawazo yangu....... kasome ripoti ndio urudi hapa acha kupotoshaNdio maana nimekwambia upeo wako ni mdogo kwa mada kama hizi. Hamna uhusiano wa LNG plant na hilo bomba la gesi. LNG plant itajengwa Lindi.