Raila Odinga KUMTUMIA rais Magufuli kwa kampeni zake za URAIS Kenya ni MAKOSA MAKUBWA!

Raila Odinga KUMTUMIA rais Magufuli kwa kampeni zake za URAIS Kenya ni MAKOSA MAKUBWA!

toa ujinga wako hapa! mafisadi wameanza kuondolea toka enzi na enzi. tunayo mifano ya wanaoitwa mafisadi papa ambao waliagusha kipindi cha kikwete. sasa Leo hii ni fisadi yupi Wa kutisha unayeweza kusema ameondolewa na serikali yako ya maigizo
Siwezi kukulazimisha kwakuwa unayo machi lakini hutaki kiona...unayo masikio hutaki kusikia. Pole...Magufuli hakamatiki wala havitwi shati...
 
Ebu waacheni.na majanga yao.kwanini umsemee magufuli.?
 
Magufuli is a great president, who in Africa would not have wanted his support????Just like Obama angekuwa Rais, utake kumtumia...by the way hata Uhuru Kenyata alituma ujumbe kwa Lowassa.
 
sasa akimuiga huyu Wa kwetu wakenya si watakuwa wamepotea? huyu Wa kwetu anashangiliwa na watu wachache ambao kwa bahati mbaya walinyimwa upeo Wa kufikiri hivyo wao ni akina ndiyo mzee
Wazazi wako wamepata hasara.
 
Raila Odinga anapoteza tu mda wake Uhuru Kenyatta atachukua nchi kwa kishindo cha speed 650/Kph
 
Raila Odinga anapoteza tu mda wake Uhuru Kenyatta atachukua nchi kwa kishindo cha speed 650/Kph
Ni kweli. Lakini asifanye Watanzania wanaoishi na kufanya kazi huko waonekane ni ADUI wa serikali ya Kenyatta. Hilo halikubaliki. Yeye ajitetee tu kivyake.
 
Upuuzi wa kuwabana mafisadi na kuondoa wenye vyeti feki serikalini?????

Upuuzi kufufua shirika la ATCL?

Upuuzi kuleta treni ya umeme?
Mafisadi wa samaki, nyumba, kivuko, barabara zisizo na ubora wote wameondolewa.
 
Wakenya co mambumbumbu, anajua umuhuimu wa kura yake, hawapokei kanga na Tshirt
 
Upuuzi wa kuwabana mafisadi na kuondoa wenye vyeti feki serikalini?????

Upuuzi kufufua shirika la ATCL?

Upuuzi kuleta treni ya umeme?
This is a challenge kwa kweli hivi iweje mnashangilia miradi bila kuuliza impact ya miradi iliyopita kwenye maisha ya mtanzania!! Hta awamu zilizopita mlituaminisha gesi ingebadili maisha yetu na cjui utalii mkatuaminisha ungeongeza pato la taifa BUT NOW WHAT HAPPENED????

mkuu hama kwenye fikra ya maendeleo ya vitu tuanze kutafuta maendeleo ya WATU otherwise mtabakia kusema treni gesi migodi ndege etc miala nenda rudi
 
Upuuzi wa kuwabana mafisadi na kuondoa wenye vyeti feki serikalini?????

Upuuzi kufufua shirika la ATCL?

Upuuzi kuleta treni ya umeme?
Upuuzi wa kuwaondoa wenye vyeti feki na kumuwacha mwenye cheti feki
 
odinga hawezi kupata urais, wakenya walishasema hawawezi kutawaliwa na govi!
Wakenya gani??? Mbona wanaiba kura ssa kma wakenya hawamtaki si waache uchaguzi huru na haki!!!! Kwa akili zako tu unahisi uhuru ana nguvu ya kupambana na mkongwe kma raila?? U cant be serious
 
Hii ishu siyo Wakenya wala strategist wa NAS bali wewe mnafiki na mmbea unayetaka Magufuli ashambuliwe na kudhihakiwa na machokolaa km wewe.

Watu wa aina yako huwa ni wachawi.
 
Upuuzi wa kuwabana mafisadi na kuondoa wenye vyeti feki serikalini?????

Upuuzi kufufua shirika la ATCL?

Upuuzi kuleta treni ya umeme?
mkuu yaani unatia hasira kinyama ujue sema basi niliamua kuacha kucoment issue za pombe
 
Mitanzania hasa hii inayojiita Chadema mingi ni mijitu ambayo imekosa mwelekeo wa maisha na kusingizia tawala km chanzo cha umasikini na upumbavu wao.Mna mnkari na uchaguzi wa Kenya wakati huku kqrnu hata kura hampigi.

Hawa Vijana as CHADEMA ukiwachunguza wengi wanashinda kwenye draft, karata, vijiweni na wafanya mijadala kwenye magari bila kuwa na muda hata wa kuwaza juu ya maisha yao binafsi.

Unashangilia Lisu ambaye yeye yupo kazini, ana mke na maisha mazuri ikiwa watoto wake wanasoma South Africa.Wewe unakaa kupiga domo km zuzu!!!!!
 
Back
Top Bottom