Raila Odinga KUMTUMIA rais Magufuli kwa kampeni zake za URAIS Kenya ni MAKOSA MAKUBWA!

Mkuu,hivi kwa nini mahakama ya mafisadi iliyoanzishwa haijampandisha kizimbani fisadi yoyote hadi sasa?,maana mafisadi maarufu tulionao hawana kinga ya kutoshitakiwa.
Fuatilia kwa msajili wa mahakama utajua mpaka sasa hivi ziko ngapi? Pia unapashwa kujua kuwa ni zile tu kesi zilizotendeka baada ya mahakama hiyo kuanzishwa. Ukiona kesi siyo nyingi ujue ufisadi umepungua!
 
Fuatilia kwa msajili wa mahakama utajua mpaka sasa hivi ziko ngapi? Pia unapashwa kujua kuwa ni zile tu kesi zilizotendeka baada ya mahakama hiyo kuanzishwa. Ukiona kesi siyo nyingi ujue ufisadi umepungua!
Kwa maana hiyo sasa tanzania hatuna mafisadi,maana kama wapo bado hata zile kesi za zamani bado zinaweza funguliwa kwa mahaka za zamani.maana ya kutowachukulia hatu ni sawa na kukili kua zimebaki kelele tuu ambazo hazina maana.

Zingatia alishakwambia hatafukua makaburi,itabaki mikwara mbuzi tu ya mafisadi.
 
Alafu umeng'ang'ania human capital. Ok unaivest kwenye human capital alafu human capital dont produce. Mgafano unaprovide good heath. Fine you have a heath nation. But cannot produce. Isn"t that msiuse of resources?
 
Ok nmekuelewa mkuu pamoja sana
Issue inaweza kuwa kampuni binafsi au la. Efficiency ya tanesco sio nzuri na ndo maan unbandle inahitajika na ipo kwenye plan. Kuwe na kampuni 3. Ya ugavi (transmission) na ya kufua umeme. Hii itasaidia. Pia watu walisuggest iwe listed DSE
 
Support cku zote lazima iwepo tu kila MTU ana MTU anayempenda hata kama ni we we ungeshabikia tu kwa hyo subr ukiwa na nafas kama hyo tuta kuangalia
 
Nenda kasome vizuri sheria ya uanzishaji mahakama hiyo
 
Kwangu mimi Raila kumtumia Magufuli sio jambo baya.
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) hukutanisha vyama vya siasa vya EAC nzima ili kujadili namna ya kuunda cross-national political party links zitakazosaidia kurahisisha kuundwa kwa Jamhuri ya Shirkisho la Afrika Mashariki.
 
Ni vizuri wamwambie ukweli kabisa bila WOGA kuliko kutuingiza katika balaa la Kiplomasia.Maana tukiharibikiwa Raila hana kitu cha kupoteza bali ni sisi Watanzania
Ni kweli kama Taifa itatugharimu.

Na hii hadi imetoa cheche, bila shaka mkwaruzo wa kidiplomasia umeshapatikana..
 
Raila Odinga na John PJ Magufuli ni Marafiki kwahiyo kupigana tafu si mbaya...mbona hata marehe komba alimpigia kampeni rais wa malawi na akashinda urais...
 
Hamna aliesema mfanye kwa 100% si mnawela plannin mnasubiri funds mbona airport ya chato mmeallocate pesa yote 100% mbona SGR pesa mmeallocate yote kma ilivyo??? Milion 50 za kila kijiji mliwezaje????

Hoja hapa ni kwamba tuangalie vipaumbele muhim kma mliweza kufully fund airport ya chato why mshindwe kufully fund ujenzi wa vituo vya afya at least kila wilaya iwe na hospotali yenye facility za kutosha??? Usiseme bajeti tu jikite kwenye hyo miradi nlioitaja kwamba ilwezekaje afu afya mshindwe???
 
Ndio maana anatekeleza ahadi zake na ilani ya chama chake. Wewe subiri watz watakapokuamini kwa sasa bado ndo maana unalalama!!
Basi tuendelee kuchekwa na kudharauliwa na wakenya!!! maana watu wakihoji eti ANATEKELEZA SERA ZAKE!!! so hta tukila nyasi tukae kimya tu kisa anatekeleza sera zake??? Kwahyo hii nchi ni ya magu au watanzania??? Shame on u

Watza watakaponiamini?? Kwani mmi mwanasiasa??? Au nlishawahi gombea udiwani kwenye kata yenu???kwahyo kila anaehoji ni mwanasiasa??
 
Alafu umeng'ang'ania human capital. Ok unaivest kwenye human capital alafu human capital dont produce. Mgafano unaprovide good heath. Fine you have a heath nation. But cannot produce. Isn"t that msiuse of resources?
Ndio nang'ang'ania maana watu hamtaki kuelewa tofauti ya maendeleo ya vitu na watu!!! Nmekupa mfano wa gabon ni nchi tajiri by far zaidi ya tz ila wananchi wake ni maskini kuliko watanzania je huoni huko ndio tunapoelekea!!!!!

Anyway back to topic..... How can u fail to produce wakati unayo skilles labor??? Au unaona sawa mapilot wakizungu kujazana hapa nchini au unaona sawa kila siku watu wanatumia mamilion kwenda kufuata madakataro bingwa india!! Unafkiri tukipika wataalum miaka ijayo hatutakuwa kimbilio la mataifa mengine na itatuingizia pesa za kigeni!!!
 
Hizo ndege si ndio umezipiga vita. Unamaanisha unataka nchi iwekeze tu kwenye soft infrustructure and not hard infrustructute? Sasa ukiwa na wataalam wengi alafu hamna miradi watafanya kazi gani. These two things should go together. You need to allocte funds in both soft and hard infrustructures. Resources ni scarce ndo maana haya yanatokea. Kwani serikali haipendi kutatua kila kitu kwa asilimia 100. Kupanga ni kuchagua na if you dont plan you plan to fail
 
Unadhani wakenya wajinga? Hata leo hii odinga apewe urais wa Kenya hawezi kufanya upuuzi kama huu unaofanywa na kina Bashite and Co, na wakenya wakakaa kimya.
Africa ni Africa, upumbavu unaofanyika Tanzania ni waafrika nzima. Iwe Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Kongo na sehemu nyingine matatizo yanayowakuta waafrika ni uelewa wa waafrika wote hata waliopo ulaya wana matatizo haya haya
Mfano mzuri waafrika tunawaza madaraka kuliko kuwa na uchumi mzuri. Mfano mwingine South Africa wamepewa Uhuru lakini wazungu ndio wanaondesha uchumi

Africa ni Africa,
 
Vy
Upuuzi wa kuwabana mafisadi na kuondoa wenye vyeti feki serikalini?????

Upuuzi kufufua shirika la ATCL?

Upuuzi kuleta treni ya umeme?
eti feki vya akina bashite au..upuuzi tu hamna lolote
 
Bila ya transport vifaa tiba mtu atavipata vipi? Serikali itapata pesa kutoka kwa watalii na faida nyingine kutoka atcl. Ambayo itasaidia kununua vifaa tiba

Katika hali ya sasa tunayoiongelea tiba ni priority over transport.
 
habadani wakenya hawawezi kuchagua mwenda wazimu huyo ,sisi tulilazimishiwa huyu mwenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…