Raila Odinga mtu mbaya, Kafanya Ruto Achakae

Raila Odinga mtu mbaya, Kafanya Ruto Achakae

Pamoja si pamoja
Ruto pamoja na kua Rais kiukweli kachakaa sana na ile nuru hata usoni haipo yaani mwaka mmoja kachakaa kachoka hatari,
Na huyo View attachment 2701520
Na huyo ni Rais ambaye anaweza kula chochote na akapata chochote,dah

Kisa ataki Serikali ya maridhiano na Odinga,aahhahaa

Kisa hataki kuonekana dhaifu,dah

Mwache aendelee kunyooshwa na mzee ya kitendawili
 
Kenya wanapenda kusumbuana ila ukweli ni kwamba Ruto alitoa ahadi za ajabu. Kampeni zake zilikuwa ni kutafuta sijui popularity, mambo ya kutekelezeka tutajua mbele ya safari. Kumbe sasa kina Odinga hawalazi damu.
Sisi bongo mtu anatuahidi viwanda anakaa miaka unamuuliza waziri wake viwanda viko wapi anakutajia cherehani
 
Rais kuendeshwa na raia wa kawaida ni ujinga. Magu alisema yeye ndo Rais na hamna mtu wa kumuendesha and I couldn't agree more with him.
 
Na kwa ufupi tu Raila odinga yupo kwenye politics since miaka ya 80 na ana influence kubwa sana pale kenya.ni genious wa siasa pale kenya.samoei haezi Vita yake
Ruto mtoto wa mjini haswa
Kutangazwa rais kenya kwenye situation aliyopitia siyo ishu ndogo
Walimshindwa wakiwa na serikali wakati bado hajawa rais
Leo wako benchi na yeye ndiyo rais watamuwezea wapi wanatafuta lawama tu
 
naona humjui Jaramogi Oginga Odinga(baba yake Raila), hao ni motto wa kuotea mbali, wanarithishana tu, ni familia sumbufu kenya toka Kenyatta Mzee
usisahau pia ni Matajiri kupindukia,

naomba nikuulize, ushawahi fika Kisumu..?
Kosa la Karne ni Odinga baba kumuachia urais Kenyatta Baba.
Sawa na kosa la wachaga kumuachia urais Nyerere.
Wazee wa pwani kumuachia uongozi wa chama mwalimu
 
hoja zako zote mbili uko sahihi. Lakini usumbufu anaomfanyia Ruto ni mbaya sana. Na kinachomuumiza ruto si raila ni Uhuru. Haipendezi kabisa mtu ambaye amekuachia kiti ndiye anakuwa mpinzani wako tena anafadhili harakati za kukupindua. Na wakati huo huo anakwenda DRC anajifanya mpatanishi.

Inaonekana hata Uhuru hajui dhana na thamani ya mtu kuwa rais mstaafu....
Ningekuwa ruto ningesimamisha pesheni, marupurupu, na mishahara ya viongozi wote waliomstari wa mbele kwenye maandamano bila kujali ni raila au uhuru ili itumike kulipa fidia ya uharibifu unaofanywa na panya road wao kwa kigezo cha maandamano.
Itakuwa hujui utajiri wa the Kenyatta family.....pensheni IPO kikatiba sio hisani.
 
naona humjui Jaramogi Oginga Odinga(baba yake Raila), hao ni motto wa kuotea mbali, wanarithishana tu, ni familia sumbufu kenya toka Kenyatta Mzee
usisahau pia ni Matajiri kupindukia,

naomba nikuulize, ushawahi fika Kisumu..?
Wewe kweli una historia ya Kenya vizuri. Jaramogi Oginga na yeye alimpeleka puta puta mzee Jomo Kenyatta. Mbaya kabsa. Lakini Jomo Kenyatta alikuwa ngaribgari kweli kweli japo walitoana jasho
 
Na kwa ufupi tu Raila odinga yupo kwenye politics since miaka ya 80 na ana influence kubwa sana pale kenya.ni genious wa siasa pale kenya.samoei haezi Vita yake
angekua na influence hii mnayoisema angeshinda uchaguzi, yani aliungana na uhuru lakn bado akapigwa chini mnasema ana ushawishi? upi huo zaidi ya kura?......

raila ashukuru watu wa kibera, na wajaluo hawana akili, anawatumia anavyotaka!
 
hoja zako zote mbili uko sahihi. Lakini usumbufu anaomfanyia Ruto ni mbaya sana. Na kinachomuumiza ruto si raila ni Uhuru. Haipendezi kabisa mtu ambaye amekuachia kiti ndiye anakuwa mpinzani wako tena anafadhili harakati za kukupindua. Na wakati huo huo anakwenda DRC anajifanya mpatanishi.

Inaonekana hata Uhuru hajui dhana na thamani ya mtu kuwa rais mstaafu....
Ningekuwa ruto ningesimamisha pesheni, marupurupu, na mishahara ya viongozi wote waliomstari wa mbele kwenye maandamano bila kujali ni raila au uhuru ili itumike kulipa fidia ya uharibifu unaofanywa na panya road wao kwa kigezo cha maandamano.
Utingo ni utingo tu.
Kenya sio Tanzania eti ghafla uamue kusitisha marupurupu ya mstaafu ambayo yapo kisheria.

Ruto angekuwa mjanja ale na Uhuru, Uhuru ndiye Kikuyu mwenye wafuasi wengi na wana ukabila balaa.

Ruto imekula kwake atateswa na Wajaluo pamoja na Kikuyu ambayo ni makabila makubwa Kenya
 
Rais kuendeshwa na raia wa kawaida ni ujinga. Magu alisema yeye ndo Rais na hamna mtu wa kumuendesha and I couldn't agree more with him.
Tofautisha bongo ya vilaza na Kenya iliyochangamka.
Akitaka afe afanye huo ujinga
 
Back
Top Bottom