Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hamna ninachokijua kwenye siasa rafiki yanguSema japo neno hapa mrembo
Tatizo hamna ninachokijua kwenye siasa rafiki yangu
Aisee 😃😃😃Now ni 50/50 why usijue mama
Aisee [emoji2][emoji2][emoji2]
Tofautisha bongo ya vilaza na Kenya iliyochangamka.
Akitaka afe afanye huo ujinga
Itabidi nifanye hivyo aisee,,Ingia na huko ni kuzuri, ni mwendo wa kula teuzi tu kama jokate
Bado bhana,,,[emoji1]
Tena umechelewa mno
Bado bhana,,,
lakini siio hii tanzaniaMtu mwenye akili timamu katu hawezi tamani kuwa raisi wa nchi.
Kwakweli inabidi nianze saiz..ngoja nitafute kadi kwanza ya Ccm halafu unipe maelekezo mengine yanayofuataWe sema bado mwisho wa siku uote ndevu
Anaelekea kuwa kama yule Mizengo Pinda wa kwanzakwanza kabla hajapata nuru ya uwaziri mkuu.Pamoja si pamoja,
Ruto pamoja na kua Rais kiukweli kachakaa sana na ile nuru hata usoni haipo yaani mwaka mmoja kachakaa kachoka hatari.
View attachment 2701520
Kwakweli inabidi nianze saiz..ngoja nitafute kadi kwanza ya Ccm halafu unipe maelekezo mengine yanayofuata
Mimi sitaki connection😃😃,, tips tu za uongozi na siasa kwa ujumlaMi sina connection , shauri yako, ogopa mataperi [emoji16]
Mimi sitaki connection[emoji2][emoji2],, tips tu za uongozi na siasa kwa ujumla
Duuuhusisahau pia ni Matajiri kupindukia
Naona nitashindwa sasa😃😃Una kura turufu lkn [emoji23]
🤣🤣Pamoja si pamoja,
Ruto pamoja na kua Rais kiukweli kachakaa sana na ile nuru hata usoni haipo yaani mwaka mmoja kachakaa kachoka hatari.
View attachment 2701520