Raila Odinga mtu mbaya, Kafanya Ruto Achakae

Madhabahu yaliyomsaidia kuukwa uongozi Ndio yanamwitisha damu yake mwenyewe kila usiku.
Kawapa wanaijeria mwanawe kabisaaa kama fidia Kwa mgongo wa kuozwa kule.
Kweli shetani hana jema,kutafuta nguvu za uongozi pamoja na utajiri Kwa hali zote.
Aliposhinda uchaguzi alikataa kuingia ikulu kuishi kabla dhabahu zake hazijachimbwa toka Karen na kuhamishiwa ikulu.
Siku zote kujificha nyuma ya makanisa na wahubiri wapotovu.
Kweli usichokijua ni kama usiku wa giza totoro.πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈ
 
Siyo yeye tu, hata wa huku, wengine ndani ya mwaka mvi zilianza kutoka...
 
Yule binti yake kaolewa nigeria
 
Unafikiri raila au uhuru kwa hela walizonazo wanategemea pensheni?
 
Kwa Uhuru Kenyatta hata wakimsimamishia pension na marupurupu ya Raisi mstaafu havita muathiri kwa lolote maana familia ya Kenyatta tayari Ina ukwasi wa kutosha na biashara nyingi
 
Kwa Uhuru Kenyatta hata wakimsimamishia pension na marupurupu ya Raisi mstaafu havita muathiri kwa lolote maana familia ya Kenyatta tayari Ina ukwasi wa kutosha na biashara nyingi
but itamtia doa kubwa sana....na lengo ni kupakana matope tu
 
Unafikiri raila au uhuru kwa hela walizonazo wanategemea pensheni?
tell me, wanacholialia kutaka urais ni nini? hata hivyo lengo la kuwafungia pesheni ni kuwapaka matope tu kokote wakienda heshima yao inakuwa umefifishwa kwamba ni wahuni tu
 
tell me, wanacholialia kutaka urais ni nini? hata hivyo lengo la kuwafungia pesheni ni kuwapaka matope tu kokote wakienda heshima yao inakuwa umefifishwa kwamba ni wahuni tu
urais ni ndoto kwa baadhi ya watu fulani kwa hiyo atafanya mengi tu ili aupate. Raila alifungwa jela miaka kadhaa kanusurika kuuwawa mara kadhaa halafu eti kuondolewa pensheni ndo kumtishe? au kumshushie heshima? Lissu aliondolewa malipo na jiwe je heshima yake ilishuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…