Raila Odinga: Polisi wa Tanzania kama Ulaya. Adai wanaweza kusubiri umalize kazi zako ndio wakukamate

Watu wanakufa mahabusu kila siku

Watu wanatoka na ulemavu kila siku wakiwa mahabusu za polisi.

Halafu wewe unasema uongo.

 
Sasa polisi wa Tanzania ndio hawana akili kabisaa ni wachache sana wanao jielewa.
Mi naona hao wa Kenya ndio kama wa Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…