Raila Odinga: Polisi wa Tanzania kama Ulaya. Adai wanaweza kusubiri umalize kazi zako ndio wakukamate

Raila Odinga: Polisi wa Tanzania kama Ulaya. Adai wanaweza kusubiri umalize kazi zako ndio wakukamate

Mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Raila Odinga anasema kuwa polisi wa Tanzania wanapitia kwenye mafunzo ya kufundishwa utu kwa wananchi hata wakitaka kuja kukukamata lazima waombe...

Kasema ni zama za Mwalimu... Sio leo
 
Kila siku huwa nasema humu jukwaani, kwa nchi za Afrika mashariki Tanzania tuna unafuu wa mambo mengi sana kulinganisha na kwingineko, shida watu wakitembea basi hawafanyi udadisi juu ya mambo ya msingi.

Polisi Tanzania si wema, wana mapungufu na maudhui ya hapa na pale lakini ukienda kwa polisi wa Kenya bora polisi wa Tanzania.

Kenya polisi wana roho mbaya, lugha ya kukera na hawana hata chembe ya utu japo sheria zao ni nzuri sana.
 
Wako peace sana ase, ilishawahi kunitokea ishu moja tumegombana na mtu ghafla kama nusu saa hivi naona bajaji ipo nje kwangu wakashuka na walijitambulisha vizuri kwa kuonesha ID zao kila mmoja...
Utakua ulipenyeza rupia penye udhia
 
Mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Raila Odinga anasema kuwa polisi wa Tanzania wanapitia kwenye mafunzo ya kufundishwa utu kwa wananchi hata wakitaka kuja kukukamata lazima waombe Kwanza na wakikuta upo na kazi watakusubiri mpaka umalize ndipo wakuchukue...
Yupo sahihi kabisa!
 
Hawajui vizuri

Afu ifike mahali tuache kujilanganisha na nchi za wazungu, ni mbingu na ardhi, juzi Kuna mtu nilikua naongea nae yaani police service ya kwetu kuja kufanana na nchi kama USA itachukua miaka 200 Mungu akitusaidia aisee....
Hela ya kiwi nimuhimu,nchi ina vumbi sana hii
 
Mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Raila Odinga anasema kuwa polisi wa Tanzania wanapitia kwenye mafunzo ya kufundishwa utu kwa wananchi hata wakitaka kuja kukukamata lazima waombe Kwanza na wakikuta upo na kazi watakusubiri mpaka umalize ndipo wakuchukue...
Madhara ya kulegalize canabis
 
Hawajui vizuri

Afu ifike mahali tuache kujilanganisha na nchi za wazungu, ni mbingu na ardhi, juzi Kuna mtu nilikua naongea nae yaani police service ya kwetu kuja kufanana na nchi kama USA itachukua miaka 200 Mungu akitusaidia aisee...
Umedanganywa Sana Mauji ya Watu weusi yanayofanywa na Polisi umeona video ngapi zilizorekodiwa na Police? Kule Quantanam bay Gereza linaloweka Watu mahabusu bila kupelekwa Mahakamani hufikiri vizuri wewe.
 
We ngoja tu nikuache, kwa io unategemea polisi ndo wanahusika na wahalifu Guantanamo bay ambayo ni military prison na detention ya watu kama magaidi?
 
Nimeamini wa kwanza kuingia moto I ni shatani na WA pili ni mwanasiasa.
 
Polisi tabia zao zinaongozwa na tabia ya society yenyewe,Wakenya siyo wastaarabu kama watanzania,wamejaa ukabila.
 
Ameamua kututukana kiaina
Hujamuelewa ww, katusifia sana, kumbe ukipewa paper kuhusu hili tu hapa unapata 00% na masikio unachorewa kabisa..

You failed hata kuelewa katusifia, kuwa polisi wetu wana utu na wamefundishwa ubinadamu, yaani hata hujaelewa. Kawadharau sana polisi wa Kenya
 
Polisi watanzania ni wa hovyo ila WA-kenya ni WA-HOVYO na nusu unachapwa risasi SOKONI KABISAAAA kila mtu anaona
 
The grass is greener on the other side.

Wiki iliyopita nimeona video Wakenya wanawazodoa polisi wao, polisi wanawakimbia.

Nikasema Polisi wa Tanzania hawawezi kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom