Raila set to become AU Special Envoy in handshake deal

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Rais Uhuru Kenyatta amefanya kila linalowezekana kuhakikisha hasimu wake Raila Odinga anateuliwa AU kwenye watu maalum ambao watakuwa wanashiriki kutatua migogoro Barani Afrika.

FB_IMG_1523089087126.jpg

Odinga amepewa cheo cha Statesman - is usually a politician, diplomat or other notable public figure who has had a long and respected career at the national or international level.

Taarifa zinasema Rais Kenyatta amekuwa akimshawishi katibu wa AU bw. Moussa Faki kukubali kumteua Odinga ambapo Moussa Faki amekubali maombi ya Kenyatta.

Kama Odinga atateuliwa kwenye jopo la watu maalum AU {African Union Special Envoy } atapewa ofisi pale Addis huku akisafiri bara nzima la AFRIKA kutatua migogoro ya kisiasa, Vita.

Pia Odinga atatengewa ofisi maalum Nairobi huku ikiwa na washauri mbakimbali ambao watakuwa wanalipwa na serikali ya Kenya.

FB_IMG_1523089095972.jpg

Hili ni gari alilopewa na serikali.

Taarifa zinasema Odinga amepewa magari ya kifahari na serikali ya kutembelea pamoja na kuongezewa ulinzi mkali zaidi [bodyguards,] kila anapokwenda, pia ulinzi nyumbani kwake maeneo ya Karen jijini Naroibi na (Bondo huko Kisumu umeongezwa vya kutosha, Licha ya hivyo mke wake Odinga kapewa gari la kifahari na serikali la kutembelea pamoja na ulinzi.
 
Rais Uhuru Kenyatta amefanya kila linalowezekana kuhakikisha mhasimu wake Raila Odinga anateuliwa AU kwenye watu maalum ambao watakuwa wanashiriki kutatua migogoro Barani Afrika.

Taarifa zinasema Odinga amepewa magari ya kifahari na serikali ya kutembelea pamoja na kuongezewa ulinzi mkali zaidi [bodyguards,] kila anapokwenda, pia ulinzi nyumbani kwake maeneo ya Karen jijini Naroibi na (Bondo huko Kisumu umeongezwa vya kutosha, Licha ya hivyo mke wake Odinga apewa gari la kifahari na serikali la kutembelea pamoja na ulinzi.

Kwani Raisi Magufuli ana muhasimu yoyote? Isitoshe ulinganisho huu wa Uhuru Kenya na Raila Odinga una uhusiano gani na Raisi wetu?

Kenya kulikuwa na political stalemate, zaidi ya nusu ya Wakenya hawakushiriki Uchaguzi uliompa Uhuru Kenya ushindi hivyo upatanisho ilikuwa ni lazima na siyo hiari, sasa hii inahusiana nini na TZ yetu?

Hauoni kama unalinganisha visivyolingana?
 
Kenya kulikuwa na political stalemate, zaidi ya nusu ya Wakenya hawakushiriki Uchaguzi uliompa Uhuru Kenya ushindi hivyo upatanisho ilikuwa ni lazima na siyo hiari, sasa hii inahusikana nini na TZ yetu?

Hauoni kama unalinganisha visivyolingana?
Mahasimu wake anazidi kuwafilisi, hukumsikia alivyojiapiza, angekuwa yeye nusu wangepotea na hao ni wanaCCM wenzake kwa wengine unategemea nini.
 
Wenye busara wote hutumia kanuni ya keep your friends close, your enemies closer!, ukiwa na mpinzani desing ya Odinga, ili Uhuru atawale Kenya kwa uhuru na amani, Odinga mwenye followers wengi, must be handled with care, by either being kept busy or contained!, Uhuru ameamua kumkeep busy!.

Kwa upande wa Magufuli, kura Zaidi ya milioni 6 alizopata Lowassa is nothing!, alimua kutumia njia ya kuwa contain wapinzani kwanza kwa kuzuia maandamano na mikutano!, na akasema hata teua wapinzani kwenye serikali yake!.

Lakini baadae amebadilika, ameteua wapinzani ila kwa mtindo wa convention, lakini ameteua!. Amemuita Lowassa kuzungumza nae, na naamini soon, ataruhusu mikutano na maandamano.

Kwa upande wa Lowassa kama mpinzani Mkuu, i tofauti na Odinga, Odinga ni persistent. Lowassa ameisha give in, naamini soon atatangaza kustaafu siasa!.

P.

P.
 
Rais Uhuru Kenyatta amefanya kila linalowezekana kuhakikisha mhasimu wake Raila Odinga anateuliwa AU kwenye watu maalum ambao watakuwa wanashiriki kutatua migogoro Barani Afrika.

Odinga amepewa cheo cha Statesman - is usually a politician, diplomat or other notable public figure who has had a long and respected career at the national or international level.

Taarifa zinasema Rais Kenyatta amekuwa akimshawishi katibu wa AU bw. Moussa Faki kukubali kumteua Odinga ambapo Moussa Faki amekubali maombi ya Kenyatta.

Kama Odinga atateuliwa kwenye jopo la watu maalum AU {African Union Special Envoy } atapewa ofisi pale Addis huku akisafiri bara nzima la AFRIKA kutatua migogoro ya kisiasa, Vita.

Pia Odinga atatengewa ofisi maalum Nairobi huku ikiwa na washauri mbakimbali ambao watakuwa wanalipwa na serikali ya Kenya.

View attachment 737136
Hili ni gari alilopewa na serikali.

Taarifa zinasema Odinga amepewa magari ya kifahari na serikali ya kutembelea pamoja na kuongezewa ulinzi mkali zaidi [bodyguards,] kila anapokwenda, pia ulinzi nyumbani kwake maeneo ya Karen jijini Naroibi na (Bondo huko Kisumu umeongezwa vya kutosha, Licha ya hivyo mke wake Odinga apewa gari la kifahari na serikali la kutembelea pamoja na ulinzi.

Raila keshafika Kaanan, sijui waliomsindikiza wapo wapi. Kenya siasa ni biashara.
 
Kwani Raisi Magufuli ana muhasimu yoyote? Isitoshe ulinganisho huu wa Uhuru Kenya na Raila Odinga una uhusiano gani na Raisi wetu?

Kenya kulikuwa na political stalemate, zaidi ya nusu ya Wakenya hawakushiriki Uchaguzi uliompa Uhuru Kenya ushindi hivyo upatanisho ilikuwa ni lazima na siyo hiari, sasa hii inahusiana nini na TZ yetu?

Hauoni kama unalinganisha visivyolingana?
Zaidi ya nusu ya waliojiandikisha kupiga kura hawakujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mdogo (Siha na Kinondoni). Huko ndo tunakoelekea!
 
wanafanya vurugu na upotevu wa fedha katika siasa za uchaguzi mwisho wa siku mnapeana madeal...huo ni usaliti kwa Raia ambao wengine walipoteza maisha.

Unataka Mbowe asamehewe kwa kuitisha maandamano yaliyopelekea kifo cha Akwilina?
Acha uongo mchana kweupe. Mbowe hahusiki na kifo cha Akwilina, hata mambosas na ziro wanafahamu hill.
 
Wenye busara wote hutumia kanuni ya keep your friends close, your enemies closer!, ukiwa na mpinzani desing ya Odinga, ili Uhuru atawale Kenya kwa uhuru na amani, Odinga mwenye followers wengi, must be handled with care, by either being kept busy or contained!, Uhuru ameamua kumkeep busy!.

P.
Napenda sana unavyo malizia P
 
usaliti huo, odinga kakubali kuhongeka na kuwaaacha wenziwe matopeni? ikiwa hii habari ni ya kweli wanasiasa hawaaaminiki
Kuaminika kwao kwako mpaka wabaki maadui wa milele??!! Ndio maana mnamshauri Rais wetu vibaya ili aendelee kuwaona UKAWA maadui zake.

Uchaguzi ukiisha taifa lisonge mbele kwa michango ya wote.
 
Kwani Raisi Magufuli ana muhasimu yoyote? Isitoshe ulinganisho huu wa Uhuru Kenya na Raila Odinga una uhusiano gani na Raisi wetu?

Kenya kulikuwa na political stalemate, zaidi ya nusu ya Wakenya hawakushiriki Uchaguzi uliompa Uhuru Kenya ushindi hivyo upatanisho ilikuwa ni lazima na siyo hiari, sasa hii inahusiana nini na TZ yetu?

Hauoni kama unalinganisha visivyolingana?
Unasononesha sana !! Yaliotokea Kenya yanatokea pote Africa mashariki na kati. Kuna tofauti gani kati ya yaliotokea Kenya na kilichofanyika Zanzibar??!! Je kwetu hapa kumefanyika juhudi yoyote ya kuweka mambo sawa Zanzibar ??!!
 
Rais Uhuru Kenyatta amefanya kila linalowezekana kuhakikisha mhasimu wake Raila Odinga anateuliwa AU kwenye watu maalum ambao watakuwa wanashiriki kutatua migogoro Barani Afrika.

Odinga amepewa cheo cha Statesman - is usually a politician, diplomat or other notable public figure who has had a long and respected career at the national or international level.

Taarifa zinasema Rais Kenyatta amekuwa akimshawishi katibu wa AU bw. Moussa Faki kukubali kumteua Odinga ambapo Moussa Faki amekubali maombi ya Kenyatta.

Kama Odinga atateuliwa kwenye jopo la watu maalum AU {African Union Special Envoy } atapewa ofisi pale Addis huku akisafiri bara nzima la AFRIKA kutatua migogoro ya kisiasa, Vita.

Pia Odinga atatengewa ofisi maalum Nairobi huku ikiwa na washauri mbakimbali ambao watakuwa wanalipwa na serikali ya Kenya.

View attachment 737136
Hili ni gari alilopewa na serikali.

Taarifa zinasema Odinga amepewa magari ya kifahari na serikali ya kutembelea pamoja na kuongezewa ulinzi mkali zaidi [bodyguards,] kila anapokwenda, pia ulinzi nyumbani kwake maeneo ya Karen jijini Naroibi na (Bondo huko Kisumu umeongezwa vya kutosha, Licha ya hivyo mke wake Odinga apewa gari la kifahari na serikali la kutembelea pamoja na ulinzi.
Unalinganishaje mazingira ya Kenua na Tanzania kwa mukhtadha huo..hivi umeehuka au umerukwa na akili...unauliza demokrasia mbona huendi uliza ndani ya chama chenu kwanza!! chagadema..umeridhika kabisaaa na mambo yanavyoenda kule....Kweli nyani haoni kundule..
 
Rais Uhuru Kenyatta amefanya kila linalowezekana kuhakikisha hasimu wake Raila Odinga anateuliwa AU kwenye watu maalum ambao watakuwa wanashiriki kutatua migogoro Barani Afrika.

Odinga amepewa cheo cha Statesman - is usually a politician, diplomat or other notable public figure who has had a long and respected career at the national or international level.

Taarifa zinasema Rais Kenyatta amekuwa akimshawishi katibu wa AU bw. Moussa Faki kukubali kumteua Odinga ambapo Moussa Faki amekubali maombi ya Kenyatta.

Kama Odinga atateuliwa kwenye jopo la watu maalum AU {African Union Special Envoy } atapewa ofisi pale Addis huku akisafiri bara nzima la AFRIKA kutatua migogoro ya kisiasa, Vita.

Pia Odinga atatengewa ofisi maalum Nairobi huku ikiwa na washauri mbakimbali ambao watakuwa wanalipwa na serikali ya Kenya.

View attachment 737136
Hili ni gari alilopewa na serikali.

Taarifa zinasema Odinga amepewa magari ya kifahari na serikali ya kutembelea pamoja na kuongezewa ulinzi mkali zaidi [bodyguards,] kila anapokwenda, pia ulinzi nyumbani kwake maeneo ya Karen jijini Naroibi na (Bondo huko Kisumu umeongezwa vya kutosha, Licha ya hivyo mke wake Odinga kapewa gari la kifahari na serikali la kutembelea pamoja na ulinzi.

Odinga amekuwa anafanya hizo kazi za kusuluhisha migogoro kwa nchi za Afrika hata kabla Uhuru hajawa rais. Jafunzeni kuandika vitu mnavyovijua.
 
Wenye busara wote hutumia kanuni ya keep your friends close, your enemies closer!, ukiwa na mpinzani desing ya Odinga, ili Uhuru atawale Kenya kwa uhuru na amani, Odinga mwenye followers wengi, must be handled with care, by either being kept busy or contained!, Uhuru ameamua kumkeep busy!.

Kwa upande wa Magufuli, kura Zaidi ya milioni 6 alizopata Lowassa is nothing!, alimua kutumia njia ya kuwa contain wapinzani kwanza kwa kuzuia maandamano na mikutano!, na akasema hata teua wapinzani kwenye serikali yake!.

Lakini baadae amebadilika, ameteua wapinzani ila kwa mtindo wa convention, lakini ameteua!. Amemuita Lowassa kuzungumza nae, na naamini soon, ataruhusu mikutano na maandamano.

Kwa upande wa Lowassa kama mpinzani Mkuu, i tofauti na Odinga, Odinga ni persistent. Lowassa ameisha give in, naamini soon atatangaza kustaafu siasa!.

P.

P.
Sasa apa kwetu upinzani hauna tishio lolote kwakua baadhi ya viongoz wa upinzani ni wezi na wapigaji. Sasa ayo mambo ya kukumbatia wapigaji itakua kwa maslai ya nani?
 
Unasononesha sana !! Yaliotokea Kenya yanatokea pote Africa mashariki na kati. Kuna tofauti gani kati ya yaliotokea Kenya na kilichofanyika Zanzibar??!! Je kwetu hapa kumefanyika juhudi yoyote ya kuweka mambo sawa Zanzibar ??!!

Unawezaje kulinganisha Zanzinbar na Kenya? Isitoshe maridhiao Kenya yamelazimishwa hayajaombwa kama wengi wenu mnavyojidanganya!

Nusu nzima ya Wakenya walikuwa hawamtambui Raisi Uhuru Kenya, hilo siyo jambo dogo!
 
Back
Top Bottom