Raila set to become AU Special Envoy in handshake deal

Raila set to become AU Special Envoy in handshake deal

JPM kwenye uchaguzi uliomwingiza madarakani alitangazwa kupata kura milioni 8 dhidi ya milioni 6 za Lowasa. Na hizi ni kura kwa kadiri ya tangazo la NEC lakini si kura walizopigiwa.

Kwa yale yanayofahamika kwa uhakika, kura alizozipata JPM ni kidogo zaidi ya yalizotangazwa. Na kura alizopata EL ni nyingi kuliko zilizotangazwa.

Zingetangazwa kura halisia, au JPM asingekuwa Rais au kungekuwa na tofauti ndogo sana ya kura kati ya hao wawili.

Ukweli huo ndio ulimfanya JPM kufuta mikutano ya CDM, anajua kabisa kuwa wengi hawakumtaka. Alitarajia kuwa wakati kukiwa kumedhibitiwa kelele dhidi yake, angepata muda wa kutenda yale ambayo yangewavuta hata wale ambao hawakumpa kura. Bahati mbaya hilo halikutokea, ndipo ilipotengenezwa mbinu ya kuwanunua na kuwatisha wapinzani. Yote hayajaonekana kumsaidia kuungwa mkono kwa kiasi aluchotarajia.

Kwa sasa machaguo ni machache sana kwake. Au kuwaweka karibu wapinzani wake ili wasiendelee kumsema vibaya na aonekane ni muungwana au kuamua kuwa jiwe azidi kuchukiwa na watu wengi zaidi kila siku itakayopita. Huo utakuwa ni uamuzi mgumu sana kwake japo kwa sasa ndio anaoufuata.

JPM kama hataweza kufanya mabadiliko katika fikra zake juu ya jinsi ya kufanya kazi na wapinzani wake, ataifikia 2020 akiwa hoi bin taabani na bila ya kufanikisha mipango na matarajio yake mengi.

JPM anahitaji sasa washauri wazuri zaidi kuliko wakati wowote kama anataka kuubadilidha upepo unaomfanya aonekane ni kiongozi mbaya kwa kadiri ya maoni ya wengi. Itabidi aondokane kabisa na ajitenge na ushauri wa akina Bashite, Mwigulu, Polepole, n.k. Anatakiwa awapate washauri wenye akili, upeo, uzoefu, walio wakweli na wasio na roho za kinafiki na kupenda kujipendekeza kwake.
Hujakatazwa kujifurahisha.
 
Siasa si uadui na uhasama.Siasa ni haiba na utashi katika kuitumikia nchi.Hoja hujibiwa kwa hoja.Kushindwa kwenye uchaguzi si mwisho wa kufanya siasa
 
Lakini point ni kwamba lissu na mbowe ni wapinzani, sio wadhambi au maadui. Nao wanataka nchi yao ineemeke ila kwa njia tofauti na sasa
Wanataka 'imeemeke' wao wakiwa madarakani, na bahati mbaya HAWATAKUWA madarakani. Sasa waganyacho, ni usnitch.
 
Rais Uhuru Kenyatta amefanya kila linalowezekana kuhakikisha hasimu wake Raila Odinga anateuliwa AU kwenye watu maalum ambao watakuwa wanashiriki kutatua migogoro Barani Afrika.

View attachment 737150

Odinga amepewa cheo cha Statesman - is usually a politician, diplomat or other notable public figure who has had a long and respected career at the national or international level.

Taarifa zinasema Rais Kenyatta amekuwa akimshawishi katibu wa AU bw. Moussa Faki kukubali kumteua Odinga ambapo Moussa Faki amekubali maombi ya Kenyatta.

Kama Odinga atateuliwa kwenye jopo la watu maalum AU {African Union Special Envoy } atapewa ofisi pale Addis huku akisafiri bara nzima la AFRIKA kutatua migogoro ya kisiasa, Vita.

Pia Odinga atatengewa ofisi maalum Nairobi huku ikiwa na washauri mbakimbali ambao watakuwa wanalipwa na serikali ya Kenya.

View attachment 737136
Hili ni gari alilopewa na serikali.

Taarifa zinasema Odinga amepewa magari ya kifahari na serikali ya kutembelea pamoja na kuongezewa ulinzi mkali zaidi [bodyguards,] kila anapokwenda, pia ulinzi nyumbani kwake maeneo ya Karen jijini Naroibi na (Bondo huko Kisumu umeongezwa vya kutosha, Licha ya hivyo mke wake Odinga kapewa gari la kifahari na serikali la kutembelea pamoja na ulinzi.

Ogopa sana uwe na rais aliyezaliwa kwenye familia yenye dhiki na njaa. Atataka wote muwe muskini.

Uhuru Kenyatta amezaliwa kwenye familia yenye neema, hawezi kuwa kama huyu wa kwetu mwenye dhiki na maskini wa kutupwa!
 
wanafanya vurugu na upotevu wa fedha katika siasa za uchaguzi mwisho wa siku mnapeana madeal...huo ni usaliti kwa Raia ambao wengine walipoteza maisha.

Unataka Mbowe asamehewe kwa kuitisha maandamano yaliyopelekea kifo cha Akwilina?
KWELI JINGA LAO
 
Pamoja na hayo yote lakini hajawa raisi wa Jamhuri ya Kenya au vipi?

Kenyatta is smart, muweke adui yako mbali!
 
Rais Uhuru Kenyatta amefanya kila linalowezekana kuhakikisha hasimu wake Raila Odinga anateuliwa AU kwenye watu maalum ambao watakuwa wanashiriki kutatua migogoro Barani Afrika.

View attachment 737150

Odinga amepewa cheo cha Statesman - is usually a politician, diplomat or other notable public figure who has had a long and respected career at the national or international level.

Taarifa zinasema Rais Kenyatta amekuwa akimshawishi katibu wa AU bw. Moussa Faki kukubali kumteua Odinga ambapo Moussa Faki amekubali maombi ya Kenyatta.

Kama Odinga atateuliwa kwenye jopo la watu maalum AU {African Union Special Envoy } atapewa ofisi pale Addis huku akisafiri bara nzima la AFRIKA kutatua migogoro ya kisiasa, Vita.

Pia Odinga atatengewa ofisi maalum Nairobi huku ikiwa na washauri mbakimbali ambao watakuwa wanalipwa na serikali ya Kenya.

View attachment 737136
Hili ni gari alilopewa na serikali.

Taarifa zinasema Odinga amepewa magari ya kifahari na serikali ya kutembelea pamoja na kuongezewa ulinzi mkali zaidi [bodyguards,] kila anapokwenda, pia ulinzi nyumbani kwake maeneo ya Karen jijini Naroibi na (Bondo huko Kisumu umeongezwa vya kutosha, Licha ya hivyo mke wake Odinga kapewa gari la kifahari na serikali la kutembelea pamoja na ulinzi.
Kenya ndio wajifunze kwetu.

Demokrasia gani ya kufukuza watu nchini kwao?
Demokrasia ya kumlaza Miguna Miguna Chooni Dubai?

Ndio mnataka JPM ajifunze hio?

Nothing to learn
 
Mkuu paskali,Lowassa si mpinzani,hajawa na hatakuwa mpinzani,mpinzani ni Lissu,Mbowe na wengine wanye kuhojihoji utawala.Hao ndiyo wa kupewa kazi za kutulizwa,hivi tundu Lissu angepewa kazi atulie angekataa uteuzi ?
 
Mzee wa kujiapisha aende kutatua migogoro ya nchi nyingine za afrika, ni kituko cha mwaka 2018.

Kenyatta hasumbuki na Odinga, yeye anawachapa bakora kina Miguna Miguna.
 
Lkn TZ yetu hakuna politial stalemate kama ili yokuwa Kenya!
Hakuna stalemate??? Hao wapinzani huwa wanalalamikia nini kila cku?? Maalim seif alisusa uchaguzi kwa sababu gani?? Duh ndio maana nchi yetu bado maskini
 
Wanataka 'imeemeke' wao wakiwa madarakani, na bahati mbaya HAWATAKUWA madarakani. Sasa waganyacho, ni usnitch.
Kuneemeka wao wakiwa madarani nayo sio dhambi. Nani amesema kuwa wa sasa wanao uwezo wa kuongoza? Upinzani wote na usnitch si unatoka humo humo kijani? Hapa sivitaji viroba cocobichi wala risasi 38
 
Mzee wa kujiapisha aende kutatua migogoro ya nchi nyingine za afrika, ni kituko cha mwaka 2018.

Kenyatta hasumbuki na Odinga, yeye anawachapa bakora kina Miguna Miguna.
Acha dharau wewe unafkiri angekuwa na uroho wa madaraka angejiapisha aishie hapo?? Si angefanya kama 2007 kwa kuwaingiza vijana barabarani wachinje wakikuyu!!!

Mind you alishakuwa waziri mkuu na ana uzoefu wa uwaziri serikali ya kibaki hivyo ana vigezo vyote vya kuwa msuluhishi hizo chuki zao hazitosaidia kitu
 
Unalinganishaje mazingira ya Kenua na Tanzania kwa mukhtadha huo..hivi umeehuka au umerukwa na akili...unauliza demokrasia mbona huendi uliza ndani ya chama chenu kwanza!! chagadema..umeridhika kabisaaa na mambo yanavyoenda kule....Kweli nyani haoni kundule..
Wachaga wengine hatupo chadema.
 
Hakuna stalemate??? Hao wapinzani huwa wanalalamikia nini kila cku?? Maalim seif alisusa uchaguzi kwa sababu gani?? Duh ndio maana nchi yetu bado maskini

Hiyo hapa kwetu siyo stalemate, bali ni malalamishi tu ambayo yako siku zote, lkn Kenya ni tofauti ni kwamba nchi ilisimama na ilikuwa hakuna jinsi, mpaka walifikia hatua ya kuunda nchi ndani ya nchi ikiwa ni pamoja na Raila Odinga kujiapisha, hivyo huwezi kulinganisha yaliyokuwa yanaendelea Kenya na TZ yetu!
 
Kuneemeka wao wakiwa madarani nayo sio dhambi. Nani amesema kuwa wa sasa wanao uwezo wa kuongoza? Upinzani wote na usnitch si unatoka humo humo kijani? Hapa sivitaji viroba cocobichi wala risasi 38
Sawa, kanywe soda! Utalipa mwenyewe ukimaliza kuinywa.
 
Hiyo hapa kwetu siyo stalemate, bali ni malalamishi tu ambayo yako siku zote, lkn Kenya ni tofauti ni kwamba nchi ilisimama na ilikuwa hakuna jinsi, mpaka walifikia hatua ya kuunda nchi ndani ya nchi ikiwa ni pamoja na Raila Odinga kujiapisha, hivyo huwezi kulinganisha yaliyokuwa yanaendelea Kenya na TZ yetu!
Vipi Maalim mpaka akasusa uchaguzi sio stalemate hiyo au kisa hajajiapisha wala kufanya maandamano???

Huku upinzani wanauawa chaguzi zinavurugwa mpaka wakasusa chaguzi ndogo za january je unaposema hakuna stalemate una maana gani?? Au mpaka waandamane kwanza kama odinga??
 
Acha dharau wewe unafkiri angekuwa na uroho wa madaraka angejiapisha aishie hapo?? Si angefanya kama 2007 kwa kuwaingiza vijana barabarani wachinje wakikuyu!!!

Mind you alishakuwa waziri mkuu na ana uzoefu wa uwaziri serikali ya kibaki hivyo ana vigezo vyote vya kuwa msuluhishi hizo chuki zao hazitosaidia kitu
Sema usemavyo, suala la kujiapisha ni aibu nyingine ya afrika. Kenyatta anashughulika na marafiki za Odinga, yeye mwenyewe anamkaribisha ikulu na wanapiga story kama kawaida.
 
Ogopa sana uwe na rais aliyezaliwa kwenye familia yenye dhiki na njaa. Atataka wote muwe muskini.

Uhuru Kenyatta amezaliwa kwenye familia yenye neema, hawezi kuwa kama huyu wa kwetu mwenye dhiki na maskini wa kutupwa!
Ulikuwa unataka mzee mwenye mvi ndio awe rais wetu?. Ulikuwa unataka wapigaji waendelee kupiga mpaka mwishoni wa maisha yao?.

Utaishi na maumivu ya ndani mpaka 2025, cha kukusaidia hakipo.
 
Vipi Maalim mpaka akasusa uchaguzi sio stalemate hiyo au kisa hajajiapisha wala kufanya maandamano???

Huku upinzani wanauawa chaguzi zinavurugwa mpaka wakasusa chaguzi ndogo za january je unaposema hakuna stalemate una maana gani?? Au mpaka waandamane kwanza kama odinga??

Hiyo siyo stalemate bali ni matatizo madogo madogo ambayo yapo kila mahali isistoshe Zanzibar siyo nchi, lkn Kenya ni tofauti mpaka USA waliingilia na kuwapatamisha!

TZ yetu Upinzani hawana uwezo wa kulazimisha chochote wanategemea utashi wa Serikali lkn Kenya ni tofauti Upinzani (Raila Odinga) anaweza kuifanya nchi isitawalike, na ndiyo maana analazimisha mambo yafanyike atakavyo yeye, na ni lazima asikilizwe, hapa TZ Upinzani hauna huo uwezo na ndiyo maana hakuna wa kuwasikiliza!
 
Back
Top Bottom