zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Anashughulika na nani?? Mbona mahakama imeshaamuru Miguna Miguna aruhusiwe kurudi kenya na wale waliomzuia wapigwe fine au kaonewa kivp?? Mbona odinga ndio alienda airport kujaribu kumuokoa mwenzake??Sema usemavyo, suala la kujiapisha ni aibu nyingine ya afrika. Kenyatta anashughulika na marafiki za Odinga, yeye mwenyewe anamkaribisha ikulu na wanapiga story kama kawaida.
Odinga anafaa kusolve migogoro sababu yeye mwenyewe kasolve migogoro yake ndani ya nchi maana sio rahisi kukubali kuibiwa chaguzi 3 mfululizo alafu bado hufanyi vurugu
Tumpe heshima yake