zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Anashughulika na nani?? Mbona mahakama imeshaamuru Miguna Miguna aruhusiwe kurudi kenya na wale waliomzuia wapigwe fine au kaonewa kivp?? Mbona odinga ndio alienda airport kujaribu kumuokoa mwenzake??Sema usemavyo, suala la kujiapisha ni aibu nyingine ya afrika. Kenyatta anashughulika na marafiki za Odinga, yeye mwenyewe anamkaribisha ikulu na wanapiga story kama kawaida.
Odinga ni mjaluo, asitegemee kuwa rais wa Kenya, halafu huyu ni mtu yupo kwenye miaka ya 70 mwanzoni.Anashughulika na nani?? Mbona mahakama imeshaamuru Miguna Miguna aruhusiwe kurudi kenya na wale waliomzuia wapigwe fine au kaonewa kivp?? Mbona odinga ndio alienda airport kujaribu kumuokoa mwenzake??
Odinga anafaa kusolve migogoro sababu yeye mwenyewe kasolve migogoro yake ndani ya nchi maana sio rahisi kukubali kuibiwa chaguzi 3 mfululizo alafu bado hufanyi vurugu
Tumpe heshima yake
Na hii ndio shida ya CCM mnachukua upole wa upinzani kma strength yenu..... Mnasema upinzani hawana ubavu wa kufanya nchi isitawalike je maalim mlienda kusuluhisha hadi kuweka katiba mpya kwa misingi gani?? Si mngempuuzaHiyo siyo stalemate bali ni matatizo madogo madogo ambayo yapo kila mahali isistoshe Zanzibar siyo nchi, lkn Kenya ni tofauti mpaka USA waliingilia na kuwapatamisha!
TZ yetu Upinzani hawana uwezo wa kulazimisha chochote wanategemea utashi wa Serikali lkn Kenya ni tofauti Upinzani (Raila Odinga) anaweza kuifanya nchi isitawalike, na ndiyo maana analazimisha mambo yafanyike atakavyo yeye, na ni lazima asikilizwe, hapa TZ Upinzani hauna huo uwezo na ndiyo maana hakuna wa kuwasikiliza!
Trump ana miaka mingapi?? Ameshindaji urais?? Mwai kibaki alishinda urais akiwa na Miaka mingapi??Odinga ni mjaluo, asitegemee kuwa rais wa Kenya, halafu huyu ni mtu yupo kwenye miaka ya 70 mwanzoni.
Aliekwambia upigaji umeisha nani?.Ulikuwa unataka mzee mwenye mvi ndio awe rais wetu?. Ulikuwa unataka wapigaji waendelee kupiga mpaka mwishoni wa maisha yao?.
Utaishi na maumivu ya ndani mpaka 2025, cha kukusaidia hakipo.
Na hii ndio shida ya CCM mnachukua upole wa upinzani kma strength yenu..... Mnasema upinzani hawana ubavu wa kufanya nchi isitawalike je maalim mlienda kusuluhisha hadi kuweka katiba mpya kwa misingi gani?? Si mngempuuza
Kama CHADEMA hawana ubavu wa kufanya nchi isitawalike kwanni mnauzia maandamano yao?? Kwanni msiruhusu waandamane alafu uone turnout kama haiwezi kumkimbiza magufuli ikulu..... Why mnakejeli alafu wakitaka kuprove wrong mnawabana??
Bahati yenu kina mbowe na mashinji wapole sana ila wangekuwa type ya lissu hizi kejeli zingeishaga kitambo
Wapi aliyefyatua risasi iliyomuua Aquilina? Labda tuanzie hapo manake inadaiwa bunduki iliyofyatua haijulikani(sick), untraceable ndivyo wanavyojaribu kutuaminisha. Hata mbubu wa mwisho hawezi kukubali kulishwa uozo huo.wanafanya vurugu na upotevu wa fedha katika siasa za uchaguzi mwisho wa siku mnapeana madeal...huo ni usaliti kwa Raia ambao wengine walipoteza maisha.
Unataka Mbowe asamehewe kwa kuitisha maandamano yaliyopelekea kifo cha Akwilina?
Lowassa haja give in... na hawezi give up!! JK alisema ndani ya CCM lowassa si wakupuuzwa!! Lowassa hana siasa za harakati kama Odinga!! Lowassa ana siasa za chini ya fukuto au chini ya kapeti na ndio mbaya sana!!Wenye busara wote hutumia kanuni ya keep your friends close, your enemies closer!, ukiwa na mpinzani desing ya Odinga, ili Uhuru atawale Kenya kwa uhuru na amani, Odinga mwenye followers wengi, must be handled with care, by either being kept busy or contained!, Uhuru ameamua kumkeep busy!.
Kwa upande wa Magufuli, kura Zaidi ya milioni 6 alizopata Lowassa is nothing!, alimua kutumia njia ya kuwa contain wapinzani kwanza kwa kuzuia maandamano na mikutano!, na akasema hata teua wapinzani kwenye serikali yake!.
Lakini baadae amebadilika, ameteua wapinzani ila kwa mtindo wa convention, lakini ameteua!. Amemuita Lowassa kuzungumza nae, na naamini soon, ataruhusu mikutano na maandamano.
Kwa upande wa Lowassa kama mpinzani Mkuu, i tofauti na Odinga, Odinga ni persistent. Lowassa ameisha give in, naamini soon atatangaza kustaafu siasa!.
P.
P.
Kama hawana huo uwezo kwanini mnazuia maandamano na mikutano yao ili tupime kma kweli wanaweza au lah ??Hakuna kitu kama upole wa Upinzani Dunia hii haza TZ, ukweli ni kwamba hawana uwezo wowote wa kushinikiza chochote vinginevyo wangeshautumia!
Usifikiri Raila Odinga anasikilizwa kwa sababu ya ,,roho nzuri" ya Uhuru Kenya, hapana, Raila Odinga analazimisha kusikilizwa, na hiyo ndiyo tofauti, labda nikuulize kwa nini wenzake Raila Odinga wao hawajepewa nafasi yoyote na wala Raisi hajakutana nao ingawaje walikuwa pamoja? Ni kwa sababu kama vile chadema hawana power yoyote ya kushinikiza chochote, ni rahisi kihivyo tu!
Kama hawana huo uwezo kwanini mnazuia maandamano na mikutano yao ili tupime kma kweli wanaweza au lah ??
Unakumbuka maandamano ya kupinga umeya wa arusha mjini mwaka 2011?? Mbona mlishinikizwa na mkatimiza matakwa ya upinzani??
Unakumbuka maandamano ya kupinga umeya wa CCM kule ilemela?? Je hamkushinikizwa mkaitika??
Unakumbuka uchaguzi wa mwaka 2005 hamkushinikizwa hadi mkaleta katiba mpya na mfumo mpya wa serikali zanzibar?? Je bado unaweza sema upinzani hawana uwezo wa kushinikiza???
Mkuu kubali tu CHADEMA inaongozwa na watu wapole wa diplomasia ila ingekuwa na mwenyekiti gaidi kma Odinga au besigye tungekuwa tuna serikali ya mpito sahivi tunavyoongea!!!
don panick plz leave him as he isTafadhali tuheshimiane sana.
Si nmeshakupa mfano walifanya zanzibar,arusha na mwanza na CCM mkapiga magoti ili yaishe!!!Ndiyo kukosa uwezo kwenyewe huko, kama wangekuwa na uwezo wa kulazimisha wangeshautumia, ni rahisi kihivyo tu!
Si nmeshakupa mfano walifanya zanzibar,arusha na mwanza na CCM mkapiga magoti ili yaishe!!!
Unamlinganisha Trump na Odinga!!, dunia mbili tofauti.Trump ana miaka mingapi?? Ameshindaji urais?? Mwai kibaki alishinda urais akiwa na Miaka mingapi??
Si wapinzani wakapata mameya waoHalafu chadema wakapata nini CCM ,,walipopiga magoti” ?
Sasa si umri ndio hoja yako...... Unajua bukhari aliposhinda alikuwa na umri gani??? Umri sio dili maana haendi kubeba vyuma ikuluUnamlinganisha Trump na Odinga!!, dunia mbili tofauti.