Uchaguzi wa Mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) waingia duru ya pili. Odinga atashinda?

Ameshaukosa maana kura zimapigwa kwa round
 
Ila ndugu zetu Kenya walizingua. Unapeleka mtu wa miaka 80 kugombea nafasi Nyeti kama hii?

Kenya did a good diplomacy but the candidate was simply unconvincing.
It was a pleasant gesture of keeping Baba busy and forget the aftermath of election.
 
Ila ndugu zetu Kenya walizingua. Unapeleka mtu wa miaka 80 kugombea nafasi Nyeti kama hii?

Kenya did a good diplomacy but the candidate was simply unconvincing.
akili kichwani, umri ni namba tu mzee wangu. Hiyo picha ya avator yako mzee ni ya mwanao?
 
Ila ndugu zetu Kenya walizingua. Unapeleka mtu wa miaka 80 kugombea nafasi Nyeti kama hii?

Kenya did a good diplomacy but the candidate was simply unconvincing.
bro tulia,raundi ya pili aliongoza raila,bado uchaguzi unaendelea
 
Back
Top Bottom