Uchaguzi wa Mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) waingia duru ya pili. Odinga atashinda?

Navyoelewa utaratibu...

Huyu Mahmoud anaenda round ya 7 mwenyewe akikosa kura 33 au zaidi basi Raila anarudishwa...Ila akizipata ndiyo bye bye
raundi ya pili raila alipata 22 mjibout 19 so wanaendelea
 
Leo unafanyika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Afrika huko Adidas Ababa
Ethiopia

Duru ya kwa Raila Odinga wa Kenya kapata kura 20, mgombea wa Djibouti kapata
kura 18 na wa Madagascar kura 10.

Je Raila atapita kwenye duru hii ya pili. Ikishinda Kenya imeshinda Afrika Mashariki.
 
Namtakia ushindi nyota njema huonekana asubuhi endelea kutupa update mkuu mi nafatilia osasuna na Madrid hapa
 
Leo unafanyika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Afrika huko Adidas Ababa
Ethiopia

Duru ya kwa Raila Odinga wa Kenya kapata kura 20, mgombea wa Djibouti kapata
kura 18 na wa Madagascar kura 10.

Je Raila atapita kwenye duru hii ya pili. Ikishinda Kenya imeshinda Afrika Mashariki.
Rwanda anavyopigana na DRC, inapigana Africa mashariki.
 
Miaka 80 kama Wassira
Ila wanatofauti kubwa sana kifikra.
Odinga mawazo yake yanaendana na wakati ndio maana hata Gen Z wanamsikiliza. Lakini babu Wassira akizungumza bado ana fikra kama vile sasa ni mwaka 1992. Mpaka anauliza eti wakati wao TANU inapigania uhuru hawa Chadema walikuwa wapi? Sasa huyo si ni totally confused?
 
Leo unafanyika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Afrika huko Adidas Ababa
Ethiopia

Duru ya kwa Raila Odinga wa Kenya kapata kura 20, mgombea wa Djibouti kapata
kura 18 na wa Madagascar kura 10.

Je Raila atapita kwenye duru hii ya pili. Ikishinda Kenya imeshinda Afrika Mashariki.
Bora ashindwe,Kenya ni ndumilakuwili.
 
Daa mzee wetu RAILA mapambanaji hakika utakumbukwa kwenye siasa na mageuzi mbalimbali ya kiuongozi.

Hakika mwendo umeumaliza, naona kabisa hata kwenye siasa za nyumbani ndiyo imetoka hii!.
 
aisee acha tu
 
Back
Top Bottom