Uchaguzi wa Mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) waingia duru ya pili. Odinga atashinda?

Uchaguzi wa Mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) waingia duru ya pili. Odinga atashinda?

Ila ndugu zetu Kenya walizingua. Unapeleka mtu wa miaka 80 kugombea nafasi Nyeti kama hii?

Kenya did a good diplomacy but the candidate was simply unconvincing.
 
Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 1
Ila ndugu zetu Kenya walizingua. Unapeleka mtu wa miaka 80 kugombea nafasi Nyeti kama hii?

Kenya did a good diplomacy but the candidate was simply unconvincing.
Wassira ana mingapi? CCM hovyo kabisa.
 
Finally ameshinda Mahamod wa Djibouti. Ruto ajiandae kwa Maandamano

Kuendelea Kenya.
 
Baada ya kufanya utafiti wa kina,hizi ndio sababu zilizofanya Raila ashindwe:
1.Ruto kuiunga mkono Israeli kwenye na Palestina,nchi za kiislamu zote zikaamua kumpigia mgombea wa djibouti na kumuadhib Ruto
2.Nchi za francophone zilimpigia mwenzao maana djibout wanaongea kifaransa na raila anatoka anglophone
3.Nchi za sadc kumtosa raila na kumuunga mkono mpinzani.
4.wakenya wengi sana walienda ethiopia na walikuwa wanafanya makelele mengi kiasi cha kuudhi watu,ndipo wapiga kura kuamua kuwatosa
 
Raila hata kuongea kwenyewe ni kazi angeyaacha hayo mambo akishindwa huko sijui atakuja bongo kugombea!!!!
 
Back
Top Bottom