Raimundo popote pale ulipo

Raimundo popote pale ulipo

Please please! This is real bad.
aisee mbona watu wanatoleana maneno makali hivi? kwanini watu wamezoeana kupita kiasi namna hii? hii si sawa aisee nawashauri yanini kufahamiana mpaka maisha yenu binafsi ona sasa mnavyosemeana mbovu kiasi hiki.jamani kufahamiana mwisho iwe hapa tu mnatafutana mwishowe ndio haya mambo ya kutukanana na kudhalilishana.sijapendekezwa kabisa na hii tabia.ndo maana mimi sitaki kujuana na yeyote humu.
 
Mara 3!! anabadili ID tu mwisho akaja na thread nimemtukana ndio chanzo cha kuunganishiwa ID na kupewa ban ndefu anayougulia nayo mpaka leo
Bado kafungua mpya katongoza nimemshtukia sasa ndio mambo yamekua hivii
Tajia mimi hizo ID zake nimtongoze. Nataka ajue machungu ya kutongozwa...

Ntamtongoza mpaka anikubalie kunipa kimwaga kinyesi chake. Maniner
 
aisee mbona watu wanatoleana maneno makali hivi? kwanini watu wamezoeana kupita kiasi namna hii? hii si sawa aisee nawashauri yanini kufahamiana mpaka maisha yenu binafsi ona sasa mnavyosemeana mbovu kiasi hiki.jamani kufahamiana mwisho iwe hapa tu mnatafutana mwishowe ndio haya mambo ya kutukanana na kudhalilishana.sijapendekezwa kabisa na hii tabia.ndo maana mimi sitaki kujuana na yeyote humu.
Pole...
 
Nimekusoma sana mkuu, inawezekana unamfahamu rubii and possibly alishakupa hadi papue ukala.
Ila najiuliza amekukosea nini kikubwa mpaka umdhalilishe hivyo?

Au umeona wivu baada ya kujua kuwa Rai nae alipiga? Sio fair mkuu, binadamu hatuko static hiyo midharau yako hiyo kwa huyu mrembo haikusaidii kabisa!!
Sidhani kama atakua kama alivyo milele.

rubii don't get ur self back...hakuna binadamu aliyekamilika.
And u can't Go Back and Change a bad beginning... Start where ur to create ur successful ending....

Hii kula demu humu na ku expose madhaifu yake ni kosa kubwa sana.
na ni uboya full.
Jamaa punguwani sana dume zima kazi ku-expose ishu za watu hopeless kabisa, mara diploma mara kiazi who the hell is he,, very disappointed.
 
aisee mbona watu wanatoleana maneno makali hivi? kwanini watu wamezoeana kupita kiasi namna hii? hii si sawa aisee nawashauri yanini kufahamiana mpaka maisha yenu binafsi ona sasa mnavyosemeana mbovu kiasi hiki.jamani kufahamiana mwisho iwe hapa tu mnatafutana mwishowe ndio haya mambo ya kutukanana na kudhalilishana.sijapendekezwa kabisa na hii tabia.ndo maana mimi sitaki kujuana na yeyote humu.
Kujuana sana ndiyo kuharibiana CV....
 
Back
Top Bottom