Raimundo popote pale ulipo

Tapeli mdogo anamtafuta tapeli mkuu!!!
 
Kufahamiana na watu unafikiri ni shida.

Shida unafahamiana na nani. Humu ni mtaani.

Kuna, matajiri na maskini. Kuna wehu na werevu, kuna vifutu na vibopa, kuna malaya na vicheche, kuna wanga wachawi na walokole, kuna wazee, vijana na watoto
aisee .true
 
Akijipendekeza huwa sina budi kumtaja kaa mbali namimi uone kama nitakuja kokote
Kila nikiingia JF lazima nione umenitaja mahali na unaniunganisha na HR

Sasa sitaki shobo na wewe nishakata uzi chukua 50 na mimi nichukue 50 za kwangu ukiendelea kunifata fata nitazianika siri zako zote.
 
Kila nikiingia JF lazima nione umenitaja mahali na unaniunganisha na HR

Sasa sitaki shobo na wewe nishakata uzi chukua 50 na mimi nichukue za kwangu ukiendelea kunifata fata nitazianika siri zako zote.


ha ha ha a a
Una Siri ipi weweee
Labda siku yangu ya kufa wana jukwaa waijui
 
ha ha ha a a
Una Siri ipi weweee
Labda siku yangu ya kufa wana jukwaa waijui
cheki hata unachokiongea hukielewi


Usinishobokee sikushobokei

Pita kushoto nipite kulia .

Sitaki mazoea na cheap girls wanuka mikojo kama wewe.
 
Duuu kuna watu wameliwa halafu wakawa exposed humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…