Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hivi ishapita siku bila kumtaja huyo jamaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ishapita siku bila kumtaja huyo jamaa?
Kwa hiyo?Jamaa punguwani sana dume zima kazi ku-expose ishu za watu hopeless kabisa, mara diploma mara kiazi who the hell is he,, very disappointed.
Weka hapa huo ushahidi ukionesha nilivyokutongoza? Au unahamu ya dudu langu?
Hivi ishapita siku bila kumtaja huyo jamaa?
Anadanganyika kwa vitu vidogo tu huyopotelea mbali, achana naye basi.
we si ushakula tulia sasa.
duu aisee ujue imenishtua ndo nini mtu anaandika mpaka mambo binafsi mkuu? hii si sawa.ila nimejifunza kitu kabla madhara labda yangekuja kunitokea.Acha uoga mkuu...by the way sio kila mtu ni wakujuana nae.
Weka hapa.Lipi lile ulilolituma PM juzijuzi mpaka ukapewa ban??
aisee .trueKufahamiana na watu unafikiri ni shida.
Shida unafahamiana na nani. Humu ni mtaani.
Kuna, matajiri na maskini. Kuna wehu na werevu, kuna vifutu na vibopa, kuna malaya na vicheche, kuna wanga wachawi na walokole, kuna wazee, vijana na watoto
Kila nikiingia JF lazima nione umenitaja mahali na unaniunganisha na HRAkijipendekeza huwa sina budi kumtaja kaa mbali namimi uone kama nitakuja kokote
Anadanganyika kwa vitu vidogo tu huyo
Hukumbuki alimuomba Yeezus amnunulie Simu aina ya IPhone 7 ili akampe uchi?
siwezi kusema uongo ,ila huniombagi hela wewe?Kodi ya nyumba na Ada sikukuomba??
Kila nikiingia JF lazima nione umenitaja mahali na unaniunganisha na HR
Sasa sitaki shobo na wewe nishakata uzi chukua 50 na mimi nichukue za kwangu ukiendelea kunifata fata nitazianika siri zako zote.
siwezi kusema uongo ,ila huniombagi hela wewe?
Hukumuomba Yeezus akununulie simu umpe Papa?
cheki hata unachokiongea hukielewiha ha ha a a
Una Siri ipi weweee
Labda siku yangu ya kufa wana jukwaa waijui
Hahahahahah unajua we ni chiziiKukujozwa hakujawahi kumuacha mtu salama
Duuu kuna watu wameliwa halafu wakawa exposed humu?Nimekusoma sana mkuu, inawezekana unamfahamu rubii and possibly alishakupa hadi papue ukala.
Ila najiuliza amekukosea nini kikubwa mpaka umdhalilishe hivyo?
Au umeona wivu baada ya kujua kuwa Rai nae alipiga? Sio fair mkuu, binadamu hatuko static hiyo midharau yako hiyo kwa huyu mrembo haikusaidii kabisa!!
Sidhani kama atakua kama alivyo milele.
rubii don't get ur self back...hakuna binadamu aliyekamilika.
And u can't Go Back and Change a bad beginning... Start where ur to create ur successful ending....
Hii kula demu humu na ku expose madhaifu yake ni kosa kubwa sana.
na ni uboya full.