R-K-O
JF-Expert Member
- Jun 27, 2023
- 482
- 2,178
Rais kuhudhuria shughuli za Simba ni mpaka aalikwe kwenda Simba day, hii inatia mashaka, hivi Raisi wa Tanzania anashindwaji kubalance mzani wa usimba na uyanga ?
Rais aliibembeleza Yanga ikubali mualiko kwenda Ikulu maana wakati huo Yanga ilikuwa na ratiba ngumu ya kwenda kumaliza mechi za ligi kuu Mbeya ila kishingo upande wakakubali mualiko maana hata walikosa muda wa mazoezi kwa mechi iliyokuwa kesho yake.
Punde si punde Rais akapata mualiko kwenda maadhimisho ya siku ya Uhuru Malawi, Rais aliposikia kutakuwa na mechi ya mpira, wakakaa meza moja na Raisi wa Malawi wakakubaliana kwamba Yanga iwepo kwenye msafara, kwa lugha nyepesi Yanga inaalikwa na Rais hata nje ya Tanzania, Tena timu iliyoenda kule ilijaa wachezaji wa under 20 na wachache wa kikosi cha pili.
Hapo hatujazungumzia Rais kuwakodishia ndege Yanga, kuwanunulia mashabiki wa Yanga Tiketi, n.k.
KWANINI RAIS ANAONYESHA UPENDELEO