Rais Abdel Fattah El-Sisi afafanua kwanini hawezi kuruhusu Wapalestina waingie Misri. Asema itakuwa ni ujinga na kuisaidia Israel katika malengo yake

Rais Abdel Fattah El-Sisi afafanua kwanini hawezi kuruhusu Wapalestina waingie Misri. Asema itakuwa ni ujinga na kuisaidia Israel katika malengo yake

Tusipangiane cha kujadili mkuu, hili ni jukwaa huru.

huko kwingine jikite wewe ukitaka.
Sijampangia mtu cha kujadili ni mshangao tuu, nyie waarabu na Wayahudi endeleeni kujadili yanayo wahusu
 
Pindi Israel iliposhambuliwa hatukuona shtuma au matamko kutoka kwa waarabu na waislamu kipindi Ukraine ilipovamiwa na urusi waukraine walikufa wengi wenu mlimuunga mkono urusi sasa Israel inaamua kujilinda yenye tunaona makelele kote duniani ndio mjue dunia imejaa unafiki na upendeleo.

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
kwa hiyo ndio maana nyinyi musiokuwa waisilamu munafurahia ama
 
Back
Top Bottom