Binafsi ningependa Rais ajae atokee upinzani lakini kwa hali ilivyo hata uwezekano mdogo haupo, hatuna budi kumsubiri rais ataepitishwa na chama Tawala.
Ni dhahiri Rais Ajae lazima awe mkristo kwa utamaduni wa chama tawala, hii imerahisisha zaidi kumjua Rais ajae ikiwa bado atakuwa hai.
Wengi walitabiri Rais atatokea maeneo ya kati lakini kwa hali ya sasa upepo umebadili direction unapepea kusini, NI MWANAMKE, ni moja kati ya wabunge & viti maalum, Influence yake ndani ya chama inasambaa kwa spidi ya radi, Ndie ataepitishwa na chama kugombea Urais na kuwa rais wa Tanzania.