Rais ajae baada ya Suluhu atatokea kusini mwa Tanzania Bara, Ni Mwanamke Tena !!

Rais ajae baada ya Suluhu atatokea kusini mwa Tanzania Bara, Ni Mwanamke Tena !!

View attachment 3175483

Binafsi ningependa Rais ajae atokee upinzani lakini kwa hali ilivyo hata uwezekano mdogo haupo, hatuna budi kumsubiri rais ataepitishwa na chama Tawala.

Ni dhahiri Rais Ajae lazima awe mkristo kwa utamaduni wa chama tawala, hii imerahisisha zaidi kumjua Rais ajae ikiwa bado atakuwa hai.

Wengi walitabiri Rais atatokea maeneo ya kati lakini kwa hali ya sasa upepo umebadili direction unapepea kusini, NI MWANAMKE, ni moja kati ya wabunge & viti maalum, Influence yake ndani ya chama inasambaa kwa spidi ya radi, Ndie ataepitishwa na chama kugombea Urais na kuwa rais wa Tanzania.
Hiyo ni ndoto ya mchana. Rais wa Tanzania 2025 ni Mwanaume na atatokea CCM.
 
Back
Top Bottom