Rais ajae baada ya Suluhu atatokea kusini mwa Tanzania Bara, Ni Mwanamke Tena !!

Kumma la mama yako, mlete mama yako Getto kwangu kama hajakuletea mdogo wako halafu ndio utaamini Mimi ni upinde ama ukwinyo falla wewe
Si unaona, nimesema we ni upinde unaye hudumu bottom. Hapa ulichokifanya ni kuthibitisha tu kuwa kweli wewe ni shoga unayefirimbwa vya kutosha kabisaaaaa!!
 
Bila shaka kwa kipindi hicho, huyo Rahisi wako atakuwa anatawala ng'ombe na siyo nyumbu tena kama ilivyo sasa! Hizi dharau sasa ni too much.
 
Kusini? Ni mwanaNke? Basi huyo ni Mama Salma Kikwete! Ahahahahaha!!!
 
Kwa hiyo, kura halali hazihusiki kwenye hili.
 
Hizi ni mindset za kimasikini kabisa, nchi inahitaji Rais mwenye focus regardless anatoka wapi, ni wa dini gani au hana dini, kwasababu hitaji la watanzania siyo dini, kabila, itikadi au vinginevyo, tunahitaji maendeleo, mshikamano na ustawi wetu
 
Ni jambo gumu sana na linalokaribia na kutowezekana kabisa, Tanzania kuja kuwa na Rais tena mwanamke kwa karne za karibuni. Ni ngumu sana pia kuja kuwa na Rais kutoka Zanzibar.

Na kuna uwezekano mkubwa katiba ikabadilishwa kuzuia kabisa makamu wa Rais kuwa Rais endapo Rais atakuwa amefariki akiwa ofisini, na kuna baadhi ya wakongwe ndani ya CCM walishatamka kuwa kipengere hicho ni kibaya, isije ikatokea akapatikana makamu wa Rais mwenye tamaa ya madaraka, akamwondoa boss wake ili yeye automatically ashikilie kiti.
 
Bado tunasubili maneno ya shehe yahaya alisema alitabili hii nnchi itapata msiba wa raisi akiwa madarakani halafu tutapata raisi mwanamke na baadae upinzani utashika nnchi
 
Hizi ni mindset za kimasikini kabisa, nchi inahitaji Rais mwenye focus regardless anatoka wapi, ni wa dini gani au hana dini, kwasababu hitaji la watanzania siyo dini, kabila, itikadi au vinginevyo, tunahitaji maendeleo, mshikamano na ustawi wetu
Uko sahihi mkuu 🤝
 
Una maana wanaume wote nchi hii ni bongolala siyo? Wacha dharau hizo wewe.
 
Kumbe ungependa! Mods ebu rekebisheni title ya thread.
Kingine urais si kete ya jinsia na turufu ya ccm!
 
Rais haupati mtu sababu ni mwanamke, because ana potential. Huyu wa sasa ulimuangukia tu.
Hiyo sector haitabiriki and probably anaekuja ni mwanaume. Ccm hawatorudia tena
 
THREAD CLOSE......GENIUS NISIYE BAHATISHA NINASEMA HATA UKIWA NA AKILI KIFUCHU YA KUCHAMBIA INGETOSHA KUJUA KUWA MWANAMKE KUJA KUWA RAIS TANZANIA BAADA YA SAMIA NI NDOTO LABDA KWA AJALI KAMA ILIVYO KWA SAMIA...Miska 100 itapita ila hakuna mwanamke atakaye kalia hicho kiti ....wekeni hii comment kumbukumbu.
 
Kuna namna Makongoro Nyerere kashika headlines hadi mtu unawaza kinaandaliwa nini. Anaweza asiwe mgombea nafasi hizo ila akawa na ushawishi kuhamasisha mgombea fulani akubalike.

Ila yote kwa yote, Mungu anamkunia nazi kila mtu kwa wakati wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…