Rais ajaye baada ya Putin atalazimishwa kulipa hasara iliyosababishwa Ukraine

Putin hajawahi kuwa rais wa iliyokuwa Ujerumani Mashariki, wewe acha kabisa uongo. Usifikiri kuna watoto wa chekechea humu.
 
Hivo vikwazo vyao kama havisaidii View attachment 2222609
Tatizo lenu hamfahamu kabisa mambo ya Finance and Economics. Sasa hivi hakuna mtu anayehitaji hiyo Ruble kwa sababu hakuna dola unayoweza kuuziwa sasa hivi huko Russia.

Kwa mantiki hiyo ina maana hiyo Exchange Rate unayoiona hapo ni "Artificial" na sio kielelezo asilia ya thamani halisi ya Ruble.

Serikali ya Russia ikiacha kuingilia mambo ya Exchange Rate utaona thamani halisi ya Ruble ikiwa zaidi ya 130 kwa dola moja kwa sababu kiukweli hakuna mwenye dola sasa hivi anayehitaji Ruble, hakuna.
 
Naunga mkono hoja yako naongezea pia NATO awajakurupuka walijia nini kitakachotokea angalia sasa washavuna nchi kaza za uraya kama Finland & Sweden wanataka Leo kesho wajiunge NATO sasa NATO inatanuka ni faida kwao na pia NATO hao hao wamemwambia ukrain vita ikiisha watamjengea nchi . Kingine kwa maoni yangu binafsi nahisi inawezekana washauri wake wasiompendea mazuri Putin walimshauri vibaya . Ukrain amekuwa mbuzi wa kafara kwa Putin hataripa na hapo baadae baada ya Putin kuanguka makundi mengi ya kigaidi kupote kwenye uso wa duniani na Putin akishinda hii japo si rahisi basi tu amini kuenderea kwa makundi ya ugaidi duniani
 
Alisika mchambuz mmojai toka Yombo Kwa Limboa
 
Habari ndio hiyo ndio maana hakuna anayetaka kutusha kombora urusi. Nadhani before war urusi angemtafuta German amwambie jinsi vita mbili zadunia zilivyomtesa na kwanini hana hamu na vita tena. Well let us see
 
Hv unajua Russia alijua akianzisha hii operation ali calculate risk ndio maana alisema usalama wa nchi ni bora zaidi kuliko hayo mnayoita maendeleo ndio maana walivyomzimia Swift amewasha systems yake na ndio inayotumiaka sasa hv walimzimia GPS mfumo unaotumika na ndege hili asiweze kushambulia kwa ndege akawasha mfumo wake mbadala wa gps mashambulizi yanaendelea tatizo mnamchukulia puttin km marais wa Africa ambao wao hawana hata plan ya miaka 10 mbele ndio maana hata kuweka akiba ya mafuta ya kutosha wameshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…