Ndugu yangu Urusi sio Zimbabwe!
Urusi pale akitoka Putin anaingia mbishi kama Putin! Usije ukadhani au ukaota kuwa US ataweza kuweka pandikizi pale Russia! Ilo ondoa kichwani mwako.
Mwisho nakuambia US na Russia wanatafutana tangia miaka ya 50 huko, usije ukaona ajabu sana haya yanayoendelea kwasasa! Jua kwamba kabla USSR haijasambaratika, USSR ilikuwa inaishia Ujeruman, na kiongozi wa Ujeruman mashariki alikuwa huyohuyo Putin Vladimir na isitoshe miaka 60 USSR alishawah kupeleka Nuclear karibu na mpaka na Marekan huko Inchini CUBA ila USA alikataa na kutishia kuivamia Cuba sababu tu anamkaribisha adui yake mlangano kwake.
Mara baada ya kuvunjika USSR miaka ya 1990, waliingia makubaliano kati ya Russia na huko Wamagharibi kwamba Russia hatakiwi kujitanua kusogelea magharibi na Nato haipaswi kujinua kusogelea mashariki, iki kitu kuanzia miaka ya 1997 kilianza kupuuzwa ila wastaafu wa kijeshi na kiusalama katika inchi za Magharibi waliyaonya mataifa yao kuwa hiki wanachokifanya iko siku eneo la Ulaya litakuwa si salama tena.
Wako washauri wa Magharibi ambao waliiambia Marekani kuwa ili uiweze Russia lazima kwanza uungane na wenzio then fanya kila linalowezekana eidha ununue viongozi wa inchi zinazoizunguka Russia au lah! Ila halikisha US inaifuata Russia, ila ukiacha ikufuate hutoiweza.
View attachment 2222195
Sent using
Jamii Forums mobile app