Uchaguzi 2020 Rais ajaye ni Lissu Mungu anajua hivyo hata Shetani anajua hivyo

Lissu ameshashinda tayari, zifanyike jitihada za kutosha tu wakati wa kulinda kura na kutangazwa rasmi kwa washindi.
 
Rais ni mmoja tu, Mzalendo kiboko ya beberu JPM. Hiki ni chuma cha Reli, ushindi 89%.Chama cha Mbowe kwisha Habari yake.
 
Ndio Mungu na Shetani walivokunong'oneza?.... Hongera sana
 
mungu yupi huyo unayemsemea kwamba anajua😂😂😂
 


Sijui huwa ni hangover maana mabadiko mengine ni upupu.
Seriously watu wooote wanakuja kushangaa mpigwa Risasi. Kama swala ni idadi ya watu Tumewaona toka enzi hizo.
October 28th is loading counting down ! 1,2,3,4
 
Shetani hajawahi kukubaliana na Mungu, hivyo huyo kibwengo wenu atauota tu urais.
 
Mtaanzisha nyuzi nyiiiingi kujifariji tu, Lissu hawezi kupigiwa hata robo ya kura za watanzania
Hizi nyuzi zitawatesa sana kuanzia 2810
Kuna ID zimepotea zikaja mpya kwa sababu tuu ya hizi nyuzi😁 sasa tusubiri maana zingine zitapotea na kusahaulika
 
Si ushawahi kuona kuku akiongozwa kwenda bandani jioni?

Ila kuku wengine kufahamu kabisa muda wa kuingia bandani ikifika jioni hawahitaji kuongozwa.
 
Huu ndio ukweli Lissu anashinda uchaguzi

Mimi binafsi asiposhinda nahama nchi.
Haina ubishi kua atashinda,kila mtu anajua atashinda ,CCM wanajua atashinda.

Isipokua ataibiwa ushindi wake.
Ccm wako bize kubuni wizi was kura usioacha alama.
 
Raisi wa nchi ipi? Yenye katiba ipi? Yenye tume ipi?
 
Ni Lissu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…