Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
eti kipenzi cha watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eti kipenzi cha watanzania
Kiboko ya madiktetaRobert ye anapiga spanner tu.
Acha dharau kamanda, unajua moyoni huna nchi ya kwenda ila mama Tanzania, hata huko Ubelgiji kwa beberu zenu huwezi enda kama waenda msalani. Lissu hawezi shinda, acha kupoteza muda.Huu ndio ukweli Lissu anashinda uchaguzi
Mimi binafsi asiposhinda nahama nchi.
mungu yupi huyo unayemsemea kwamba anajua😂😂😂Mwl. J. K. K. Nyerere ktk hotuba zake aliwahi kusema kuwa "Mtu akijua kuwa una Akili akakwambia jambo la kipumbavu ukakubali kufanya atakudharau" Pia Nyerere alisema Watanzania Mkiwa waoga mtatawaliwa na Rais Dikteta.
Tundu Lissu alikataa wito wa Polisi kumtaka aende Moshi mwingene akaagiza aripoti Daresalaam pia akakataa wito wa Tume huru ya uchaguzi ya ccm kwa kuwa alijua miito hiyo yote ni ya kipumbavu yenye lengo la kutisha watu na kubaka Demokrasia. Tundu Lissu aligoma pia msafara wake kuzuiwa na Mapolisi wenye Mabunduki akielekea Kibaha na hatimaye Mapolisi wakafyata mkia na kutimkia kusiko julikana.
Kimsingi Tundu Lissu amesha Limeng'enyua jiwe meng'enyuu!! Yaani ametumia wiki nne tuu, bwana Sugu anayo hiari kulisugua au kulikanyaga hilo jiwe.
Rais ajaye ni Lissu Mungu anajua hivyo hata Shetani anajua hivyo ndio maana shetani anahangaika kuzuia mpango wa Mungu lakini hataweza.
Lissu atosha.
Maendeleo hayana vyamaa.
Mwl. J. K. K. Nyerere ktk hotuba zake aliwahi kusema kuwa "Mtu akijua kuwa una Akili akakwambia jambo la kipumbavu ukakubali kufanya atakudharau" Pia Nyerere alisema Watanzania Mkiwa waoga mtatawaliwa na Rais Dikteta.
Tundu Lissu alikataa wito wa Polisi kumtaka aende Moshi mwingene akaagiza aripoti Daresalaam pia akakataa wito wa Tume huru ya uchaguzi ya ccm kwa kuwa alijua miito hiyo yote ni ya kipumbavu yenye lengo la kutisha watu na kubaka Demokrasia. Tundu Lissu aligoma pia msafara wake kuzuiwa na Mapolisi wenye Mabunduki akielekea Kibaha na hatimaye Mapolisi wakafyata mkia na kutimkia kusiko julikana.
Kimsingi Tundu Lissu amesha Limeng'enyua jiwe meng'enyuu!! Yaani ametumia wiki nne tuu, bwana Sugu anayo hiari kulisugua au kulikanyaga hilo jiwe.
Rais ajaye ni Lissu Mungu anajua hivyo hata Shetani anajua hivyo ndio maana shetani anahangaika kuzuia mpango wa Mungu lakini hataweza.
Lissu atosha.
Maendeleo hayana vyamaa.
Shetani hajawahi kukubaliana na Mungu, hivyo huyo kibwengo wenu atauota tu urais.Mwl. J. K. K. Nyerere ktk hotuba zake aliwahi kusema kuwa "Mtu akijua kuwa una Akili akakwambia jambo la kipumbavu ukakubali kufanya atakudharau" Pia Nyerere alisema Watanzania Mkiwa waoga mtatawaliwa na Rais Dikteta.
Tundu Lissu alikataa wito wa Polisi kumtaka aende Moshi mwingene akaagiza aripoti Daresalaam pia akakataa wito wa Tume huru ya uchaguzi ya ccm kwa kuwa alijua miito hiyo yote ni ya kipumbavu yenye lengo la kutisha watu na kubaka Demokrasia. Tundu Lissu aligoma pia msafara wake kuzuiwa na Mapolisi wenye Mabunduki akielekea Kibaha na hatimaye Mapolisi wakafyata mkia na kutimkia kusiko julikana.
Kimsingi Tundu Lissu amesha Limeng'enyua jiwe meng'enyuu!! Yaani ametumia wiki nne tuu, bwana Sugu anayo hiari kulisugua au kulikanyaga hilo jiwe.
Rais ajaye ni Lissu Mungu anajua hivyo hata Shetani anajua hivyo ndio maana shetani anahangaika kuzuia mpango wa Mungu lakini hataweza.
Lissu atosha.
Maendeleo hayana vyamaa.
Aisee eti Mungu wanamshirikisha hapo pumbavu sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Rais wa chumbani kwa beberu wake Amsterdam
Tuliza mshono dada mkubwa mambo ya kiumeni hayaUlikaa wapi kikao na Mungu na shetani wakakuhakikishia kuwa wanajua Lissu atakuwa rais?
Hizi nyuzi zitawatesa sana kuanzia 2810Mtaanzisha nyuzi nyiiiingi kujifariji tu, Lissu hawezi kupigiwa hata robo ya kura za watanzania
CC : Nabii MwingiraJiwe hana historia ya kushinda chochote duniani bila kubebwa.atamshindaje mshindi.
Si ushawahi kuona kuku akiongozwa kwenda bandani jioni?Mwl. J. K. K. Nyerere ktk hotuba zake aliwahi kusema kuwa "Mtu akijua kuwa una Akili akakwambia jambo la kipumbavu ukakubali kufanya atakudharau" Pia Nyerere alisema Watanzania Mkiwa waoga mtatawaliwa na Rais Dikteta.
Tundu Lissu alikataa wito wa Polisi kumtaka aende Moshi mwingene akaagiza aripoti Daresalaam pia akakataa wito wa Tume huru ya uchaguzi ya ccm kwa kuwa alijua miito hiyo yote ni ya kipumbavu yenye lengo la kutisha watu na kubaka Demokrasia. Tundu Lissu aligoma pia msafara wake kuzuiwa na Mapolisi wenye Mabunduki akielekea Kibaha na hatimaye Mapolisi wakafyata mkia na kutimkia kusiko julikana.
Kimsingi Tundu Lissu amesha Limeng'enyua jiwe meng'enyuu!! Yaani ametumia wiki nne tuu, bwana Sugu anayo hiari kulisugua au kulikanyaga hilo jiwe.
Rais ajaye ni Lissu Mungu anajua hivyo hata Shetani anajua hivyo ndio maana shetani anahangaika kuzuia mpango wa Mungu lakini hataweza.
Lissu atosha.
Maendeleo hayana vyamaa.
Hotuba ya leo Iguguno amenifurahisha kusema, Jiwe ameanza kupiga magoti lakini haitoshi anataka atambae chini kabisa akiomba kura
Haina ubishi kua atashinda,kila mtu anajua atashinda ,CCM wanajua atashinda.Huu ndio ukweli Lissu anashinda uchaguzi
Mimi binafsi asiposhinda nahama nchi.
Raisi wa nchi ipi? Yenye katiba ipi? Yenye tume ipi?Mwl. J. K. K. Nyerere ktk hotuba zake aliwahi kusema kuwa "Mtu akijua kuwa una Akili akakwambia jambo la kipumbavu ukakubali kufanya atakudharau" Pia Nyerere alisema Watanzania Mkiwa waoga mtatawaliwa na Rais Dikteta.
Tundu Lissu alikataa wito wa Polisi kumtaka aende Moshi mwingene akaagiza aripoti Daresalaam pia akakataa wito wa Tume huru ya uchaguzi ya ccm kwa kuwa alijua miito hiyo yote ni ya kipumbavu yenye lengo la kutisha watu na kubaka Demokrasia. Tundu Lissu aligoma pia msafara wake kuzuiwa na Mapolisi wenye Mabunduki akielekea Kibaha na hatimaye Mapolisi wakafyata mkia na kutimkia kusiko julikana.
Kimsingi Tundu Lissu amesha Limeng'enyua jiwe meng'enyuu!! Yaani ametumia wiki nne tuu, bwana Sugu anayo hiari kulisugua au kulikanyaga hilo jiwe.
Rais ajaye ni Lissu Mungu anajua hivyo hata Shetani anajua hivyo ndio maana shetani anahangaika kuzuia mpango wa Mungu lakini hataweza.
Lissu atosha.
Maendeleo hayana vyamaa.
Nadhani aliyewaloga hawa wafuasi wa chadema alishakufaHaki ya nani kuna nyuzi ! Unasoma unaishia kucheka tu! Huu uzo baada ya 28 oct uurudie tena!
Ni Lissu!Mwl. J. K. K. Nyerere ktk hotuba zake aliwahi kusema kuwa "Mtu akijua kuwa una Akili akakwambia jambo la kipumbavu ukakubali kufanya atakudharau" Pia Nyerere alisema Watanzania Mkiwa waoga mtatawaliwa na Rais Dikteta.