mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Odinga ndiyo next president wa kenyaRaila hawezi kamwe kushinda nafasi ya urais, ninakuhakikishia!
Hiyo inajulikana
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Odinga ndiyo next president wa kenyaRaila hawezi kamwe kushinda nafasi ya urais, ninakuhakikishia!
Odinga ni alikuwa mshikaji wake jiwe tokea akiwa waziri mzeeKila aliyemuunga mkono Jiwe ni Adui yangu
Unachekesha mkuu. Hata sababu hujatoa unataka comment yako iwe na mashiko kweli?Ni ngumu kwa Raila Odinga kuwa Rais nchini Kenya
Wait and see, utashangazwa hutaaminRaila hawezi kamwe kushinda nafasi ya urais, ninakuhakikishia!
Umeongea point sana, ni kama kilichotokea kwa mzee wetu wa arusha.Yaani Raisi wa nchi tena ya Afrika Mash akupigie kampeni kwa nguvu vile na ukose uraisi. Never happen!!
Kumbuka uraisi mwafrika hupewa na raisi aliye madarakani, na si wananchi.
Raila ndie rais wako ajae wewe mkenya.Ndio utamu wa demokrasia, yaani nchi yote hakuna mwenye uhakika nani atashinda, ila atakayeshinda nitakua wa kwanza kumpongeza humu JF hata kama sikumpigia......tuishi kiuzalendo na kumpa ushirikiano.
Raila ndie rais wako ajae wewe mkenya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Kila aliyemuunga mkono Jiwe ni Adui yangu
Raila hawezi kamwe kushinda nafasi ya urais, ninakuhakikishia!
Wakenya mnaenda kushangaza dunia. Uhuru na Ruto ni kitu kimoja, ila wameamua kutofautiana ili kumhadaa Odinga na akishindwa asiweze kulalamika. Huo ni mchezo wa level ya juu sana unachezwa na panapokuwa na upinzani. Hivyo Raila asahau kabisa tena asahau kushinda urais Kenya.Ngoma iko peupe kwa Odinga mkuu,anyempigia debe ndo amirijeshi mkuu anatoboje Ruto?Tumia hekima ya Kawaida.
Yangu macho.Wakenye mnaenda kushangaza dunia. Uhuru na Ruto ni kitu kimoja, ila wameamua kutofautiana ili kumhadaa Odinga na akishindwa asiweze kulalamika. Huo ni mchezo wa level ya juu sana unachezwa na panapokuwa na upinzani. Hivyo Raila asahau kabisa tena asahau kushinda urais Kenya.
Ndio utamu wa demokrasia, yaani nchi yote hakuna mwenye uhakika nani atashinda, ila atakayeshinda nitakua wa kwanza kumpongeza humu JF hata kama sikumpigia......tuishi kiuzalendo na kumpa ushirikiano.
ambaye hajui atakaye shinda labda ni wewe tu, na ni unafiki! Raisi atakuwa ni Raila Amolo Odinga (Mjaluo) na hii imekaa kimkakati zaidi; Odinga ameshafikisha na kupitiliza ile miaka 70 ya biblia ya kuishi, na kwa anavyosinzia hata mbele ya hadhara za watu (wapigakura); automatically raisi ajaye kabla ya miaka mitano kwisha atakuwa Martha Karua (Mkikuyu). Baba kwa umri alionao hataweza kuhimili mikikikiki ya ikulu zaidi ya miaka mitatu, atapumzika mwenyewe au kupunzishwa na system. HIVYO HISTORIA YA KITI CHA URAISI KUWA KWA WAKIKUYU ITAENDELEA, MOI ALIKUWA RAISI AKIMSUBIRIA UHURU AKUE.Ndio utamu wa demokrasia, yaani nchi yote hakuna mwenye uhakika nani atashinda, ila atakayeshinda nitakua wa kwanza kumpongeza humu JF hata kama sikumpigia......tuishi kiuzalendo na kumpa ushirikiano.
Kwa siku ya kesho utaandika MAMBO mengine, kwa sababu UCHAGUZI WA KENYA huwa hautabiriki.Mshindi wa kiti cha Urais kenya atakua Raila Odinga na Martha Karua......Rutto na ushawishi wake na nguvu yake kamwe hawezi kuwa rais kamwe. Kwa mara ya kwanza Kenya historia inaenda kuandikwa leo tarehe 09 ni siku ya kura
Raila anachukua ushindi mapemaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ruto hapati urais safari hii ruto hawezi ukwaa urais ana scandals chafu sana
Sisi huwa tunajua wa CCM atashinda tu.Ndio utamu wa demokrasia, yaani nchi yote hakuna mwenye uhakika nani atashinda, ila atakayeshinda nitakua wa kwanza kumpongeza humu JF hata kama sikumpigia......tuishi kiuzalendo na kumpa ushirikiano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi huwa tunajua wa CCM atashinda tu.