Kenya 2022 Rais ajaye wa Kenya ni Raila Amolo Odinga

Kenya 2022 Rais ajaye wa Kenya ni Raila Amolo Odinga

Kenya 2022 General Election
Yaani Raisi wa nchi tena ya Afrika Mash akupigie kampeni kwa nguvu vile na ukose uraisi. Never happen!!
Kumbuka uraisi mwafrika hupewa na raisi aliye madarakani, na si wananchi.
Umeongea point sana, ni kama kilichotokea kwa mzee wetu wa arusha.
 
Ndio utamu wa demokrasia, yaani nchi yote hakuna mwenye uhakika nani atashinda, ila atakayeshinda nitakua wa kwanza kumpongeza humu JF hata kama sikumpigia......tuishi kiuzalendo na kumpa ushirikiano.
Raila ndie rais wako ajae wewe mkenya.
 
Raila hawezi kamwe kushinda nafasi ya urais, ninakuhakikishia!
Ngoma iko peupe kwa Odinga mkuu,anyempigia debe ndo amirijeshi mkuu anatoboje Ruto?Tumia hekima ya Kawaida.
Wakenya mnaenda kushangaza dunia. Uhuru na Ruto ni kitu kimoja, ila wameamua kutofautiana ili kumhadaa Odinga na akishindwa asiweze kulalamika. Huo ni mchezo wa level ya juu sana unachezwa na panapokuwa na upinzani. Hivyo Raila asahau kabisa tena asahau kushinda urais Kenya.
 
Wakenye mnaenda kushangaza dunia. Uhuru na Ruto ni kitu kimoja, ila wameamua kutofautiana ili kumhadaa Odinga na akishindwa asiweze kulalamika. Huo ni mchezo wa level ya juu sana unachezwa na panapokuwa na upinzani. Hivyo Raila asahau kabisa tena asahau kushinda urais Kenya.
Yangu macho.
 
Ndio utamu wa demokrasia, yaani nchi yote hakuna mwenye uhakika nani atashinda, ila atakayeshinda nitakua wa kwanza kumpongeza humu JF hata kama sikumpigia......tuishi kiuzalendo na kumpa ushirikiano.

Ndio utamu wa demokrasia, yaani nchi yote hakuna mwenye uhakika nani atashinda, ila atakayeshinda nitakua wa kwanza kumpongeza humu JF hata kama sikumpigia......tuishi kiuzalendo na kumpa ushirikiano.
ambaye hajui atakaye shinda labda ni wewe tu, na ni unafiki! Raisi atakuwa ni Raila Amolo Odinga (Mjaluo) na hii imekaa kimkakati zaidi; Odinga ameshafikisha na kupitiliza ile miaka 70 ya biblia ya kuishi, na kwa anavyosinzia hata mbele ya hadhara za watu (wapigakura); automatically raisi ajaye kabla ya miaka mitano kwisha atakuwa Martha Karua (Mkikuyu). Baba kwa umri alionao hataweza kuhimili mikikikiki ya ikulu zaidi ya miaka mitatu, atapumzika mwenyewe au kupunzishwa na system. HIVYO HISTORIA YA KITI CHA URAISI KUWA KWA WAKIKUYU ITAENDELEA, MOI ALIKUWA RAISI AKIMSUBIRIA UHURU AKUE.
 
Mshindi wa kiti cha Urais kenya atakua Raila Odinga na Martha Karua......Rutto na ushawishi wake na nguvu yake kamwe hawezi kuwa rais kamwe. Kwa mara ya kwanza Kenya historia inaenda kuandikwa leo tarehe 09 ni siku ya kura

Raila anachukua ushindi mapemaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Ruto hapati urais safari hii ruto hawezi ukwaa urais ana scandals chafu sana
Kwa siku ya kesho utaandika MAMBO mengine, kwa sababu UCHAGUZI WA KENYA huwa hautabiriki.
 
Back
Top Bottom