MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
ambaye hajui atakaye shinda labda ni wewe tu, na ni unafiki! Raisi atakuwa ni Raila Amolo Odinga (Mjaluo) na hii imekaa kimkakati zaidi; Odinga ameshafikisha na kupitiliza ile miaka 70 ya biblia ya kuishi, na kwa anavyosinzia hata mbele ya hadhara za watu (wapigakura); automatically raisi ajaye kabla ya miaka mitano kwisha atakuwa Martha Karua (Mkikuyu). Baba kwa umri alionao hataweza kuhimili mikikikiki ya ikulu zaidi ya miaka mitatu, atapumzika mwenyewe au kupunzishwa na system. HIVYO HISTORIA YA KITI CHA URAISI KUWA KWA WAKIKUYU ITAENDELEA, MOI ALIKUWA RAISI AKIMSUBIRIA UHURU AKUE.
Wapiga kura ndio wenye maamuzi ya nani awe rais, hizi nadharia unaandika humu zilipaswa wakati wa kampeni, ila leo tunaingia kila mmoja kwenye kijisehemu cha siri kufanya maamuzi bila shinikizo lolote.