Kenya 2022 Rais ajaye wa Kenya ni Raila Amolo Odinga

Kenya 2022 General Election
ambaye hajui atakaye shinda labda ni wewe tu, na ni unafiki! Raisi atakuwa ni Raila Amolo Odinga (Mjaluo) na hii imekaa kimkakati zaidi; Odinga ameshafikisha na kupitiliza ile miaka 70 ya biblia ya kuishi, na kwa anavyosinzia hata mbele ya hadhara za watu (wapigakura); automatically raisi ajaye kabla ya miaka mitano kwisha atakuwa Martha Karua (Mkikuyu). Baba kwa umri alionao hataweza kuhimili mikikikiki ya ikulu zaidi ya miaka mitatu, atapumzika mwenyewe au kupunzishwa na system. HIVYO HISTORIA YA KITI CHA URAISI KUWA KWA WAKIKUYU ITAENDELEA, MOI ALIKUWA RAISI AKIMSUBIRIA UHURU AKUE.

Wapiga kura ndio wenye maamuzi ya nani awe rais, hizi nadharia unaandika humu zilipaswa wakati wa kampeni, ila leo tunaingia kila mmoja kwenye kijisehemu cha siri kufanya maamuzi bila shinikizo lolote.
 
Yeyote atakaeshinda Kwa haki ni sawa. Wasijetumia njia ile ile iliyotumiwa na tume ya uchaguzi kumtangaza mshindi huku kwetu Tz.
 
Wapiga kura ndio wenye maamuzi ya nani awe rais, hizi nadharia unaandika humu zilipaswa wakati wa kampeni, ila leo tunaingia kila mmoja kwenye kijisehemu cha siri kufanya maamuzi bila shinikizo lolote.
Endelea kukataa, lakini Raila (Mjaluo) atatangazwa kuwa raisi si kwa sanduku la kura bali ili amshikie Martha Karua (Mkikuyu). Akishinda Dr. Ruto (Mkalenjini), na ifluence yote ya Uhuru aliyoweka, Kenya mtakuwa mwalimu wa demokrasia afrika na duniani. Nitakuja hapa na kuanzisha uzi wa ukubwa wa demokrasia ya kenya.
 
MCHEZO WALIOCHEZA KENYATTA NA RUTO NI BALAAAA.Mutashangazwa na Matokeo
hamna mchezo, kenya hawajafikia level hiyo ya ujasusi wa kisiasa, anachokifanya kenyatta ndiyo anachokiamini, anamwona Ruto ni tishio kwake na masilahi ya kabila lake kwa ujumla.
 
Ruto anaonekana underdog kwenye uchaguzi huu kakini atawashangaza wengi.
 
Endelea kukataa, lakini Raila (Mjaluo) atatangazwa kuwa raisi si kwa sanduku la kura bali ili amshikie Martha Karua (Mkikuyu). Akishinda Dr. Ruto (Mkalenjini), na ifluence yote ya Uhuru aliyoweka, Kenya mtakuwa mwalimu wa demokrasia afrika na duniani. Nitakuja hapa na kuanzisha uzi wa ukubwa wa demokrasia ya kenya.

Hamna sehemu nimekataa au kukubali maana uwezo huo wanao Wakenya nikiwa mmoja tu wa wapiga kura, naelewa ni kitu haujakizoea Tanzania maana huko kwenu kuna wazee hukusanyika pale Dodoma kumchagua atakayegombea kwa tiketi ya CCM, panafanyika figisu za kila aina, ila akishachaguliwa mmoja wa CCM, basi huyo ndiye rais, mengine yanakua maigizo tu, kwamba hata akizunguka nchi yote akifanya maigizo ya push up, ana uhakika wa kuukwa urais.
 
Katika demokrasia ya uchaguzi Tanzania na Kenya ni ndugu hamna wa kumcheka mwingine, Tanzania kuna UCCM na Kenya kuna ukabila, Kabila ni kigezo kikubwa cha mshindi wa Raisi wa kenya na Tanzania Chama ni kigezo kikubwa cha uraisi. Ni mpumbavu ndiye atakayefikiri kenya kuna demokrasia kuliko Tanzania.
 
Ndio utamu wa demokrasia, yaani nchi yote hakuna mwenye uhakika nani atashinda, ila atakayeshinda nitakua wa kwanza kumpongeza humu JF hata kama sikumpigia......tuishi kiuzalendo na kumpa ushirikiano.
Acha ufala ww ina maana hata siasa za kwenu huzijui!!!!?
Hujui kwamba Raila ndio raisi ajae
 
Katika demokrasia ya uchaguzi Tanzania na Kenya ni ndugu hamna wa kumcheka mwingine, Tanzania kuna UCCM na Kenya kuna ukabila, Kabila ni kigezo kikubwa cha mshindi wa Raisi wa kenya na Tanzania Chama ni kigezo kikubwa cha uraisi. Ni mpumbavu ndiye atakayefikiri kenya kuna demokrasia kuliko Tanzania.

Hamna kabila moja linaloweza kumchagua rais, tuna makabila zaidi ya 40, hivyo lazima ushawishi sana, pia katiba imeweka wazi ushindi sio wingi wa kura tu, lazima ushinde kwenye idadi ya gatuzi zinazokidhi na kuonyesha umependwa na asilimia kubwa ya Wakenya kutoka matabaka mbali mbali.
 
Umebugi this time around. Usipende kukariri inaonekana hata siasa za Kenya hujui unadandia dandia tu. Raila is the President
Nina uhakika. Kuna ma spin master wameshamaliza mchezo. Siasa za Tanzania sisi kila mgombe wa CCM lazima ashinde ila Kenya ni ballots 🗳 inaamua hata kwa mtu kufa ila kura zitimie siyo kama Tanzania
 
Hamna kabila moja linaloweza kumchagua rais, tuna makabila zaidi ya 40, hivyo lazima ushawishi sana, pia katiba imeweka wazi ushindi sio wingi wa kura tu, lazima ushinde kwenye idadi ya gatuzi zinazokidhi na kuonyesha umependwa na asilimia kubwa ya Wakenya kutoka matabaka mbali mbali.
katika awamu ya pili ya mwai kibaki mbona alishindwa na akatangazwa kuwa mshindi? yote yanawezekana
 
Yaani Uhuru jinsi alivyo mtoto wa Mjini amuachie Rutto Urais!!!!haitawezekana kamwe maana anajua lazima atakuja kumshtaki na kumfunga kabisa!!!hivyo iwe jua iwe mvua Raila Amollo Odinga lazima atangazwe Rais iwe jua iwe mvua
 
Back
Top Bottom