Jopaki
Senior Member
- Jan 22, 2015
- 131
- 180
Hoja zako za mwanzo nakubaliana nazo kabisa 100% ila kwenye hili hapana, tunaijua kenya kama ilivyo bongo tuu, suala la ukabila ni ukweli na sio coincidence kati ya marais wanne(4) watatu watoke kabila moja, wakikuyu wana influence kubwa mno na ndio maana wote Odinga na Ruto running mate ni wakikuyu sio kwa bahati mbaya