Mahiga hawezi kuwa rais wa Zanzibar. Anaemzungumzia ni mtoto wa Mwinyi. Hussein ndio maana unaona Baba mtu anasifia hata visivyosifika ili Magufuli amsaidie Hussein kugombea. Mwinyi siyo mzanzibari kindakindaki. Ni wazanzibari waliotengenezwa BaraMimi naona masuala ya ukali siyo ishu, ishu ni usmart kichwani, sioni mtu tofauti na Hussein Mwinyi, na hii ni kama ile ajenda ya 53H imeisha kwamba ndo rais wa Tanzania mwaka 2025, akiwa bado ajenda hiyo ipo basi kilichobaki ni Mahiga kuwa rais wa Zanzibar
najua wewe upo "Jikoni" ahsante kwa kutupa nyetiKuna maeneo nimesikia sikia maneno ambayo yanahusu urais wa zanzibar ujao, maana Shein anamaliza mda wake,
Wanatajwa kina Vuai, kina Hussein Mwinyi, hata karume mdogo anataka kujitosa huko, kuna Makamu wa shein,
Lakin kwa aina ya rais wanayetaka awepo kule (Japo rais wa zanzibar hanaga impact) ila kwa sifa ya Ukali kama Magufuli sijamuona, maana wazanzibari ni wapole na wakarimu sana ,
Je kuna mtanganyika atapewa uzanzibari na kupitia CCM? Maana kisichowezekana kwingineko kwa CCM kinawezekana,
Ninauliza hivi watapewa mwingine kama Mwinyi alivyovikwa uzanzibari kwa muda?
Naishia hapa na uzi wetu huu tutaufufua siku ya uchaguzi zanzibar , akiwa amepitishwa Mtanzibari badala ya Mzanzibari
undefinedmahega mzanzibari tangu lini tena?undefinedundefinedMi nilijua ni mnyakyusa yule..!!undefinedundefinedHata hivyo mahega amezeeka mno,undefinedmi nadhani mzanzibari Charles kimei anafaa sana kuwa Rais wa zanzibarLakin Mahiga ni mzanzibari
HahahNa ingelikuwa viongozi WA Zanzibar si mambumbu basi wangefanya maaamuzi yao wenyewe lakini kwa vile hawawezi kujiongoza mpaka wapate misukumo ya kimifumo kutoka Tanganyika ndio wanabakia hivyohivyo bila ya kujichagulia wenyewe.
Nasikia ni Mzanzibari ndo nikashangaaundefinedmahega mzanzibari tangu lini tena?undefinedundefinedMi nilijua ni mnyakyusa yule..!!undefinedundefinedHata hivyo mahega amezeeka mno,undefinedmi nadhani mzanzibari Charles kimei anafaa sana kuwa Rais wa zanzibar
Seif kashindwa kuwa rahisi kipindi cha dhaifu ,hawezi kwa kipindi hiki cha UchwaraMaalim Seif ndiye rais ajaye Zanzibar
Kweli ndugu ni jambo gani wanalolijiongoza wenyewe bila ya kutokuwepo kwa msukumo kutoka bara?Hahah
Si ndo maana ya Muungano?Kweli ndugu ni jambo gani wanalolijiongoza wenyewe bila ya kutokuwepo kwa msukumo kutoka bara?
Huu ni upuuuzi mkubwa
Maalim Seif ndiye rais ajaye Zanzibar
Si ndo maana ya Muungano?
Wafuatao wanafaaaKabisa, Mahiga au Mwinyi wanaangaliwa kwa jicho pevu, lakin masuala ya kukariri siyo, unakumbuka wanasema rais mpaka awe membe kisa ni waziri wa mambo ya nje ,nimwache alafu nikasema hihihihi
Ndugu Britannica leo umenirudisha mpk mwaka 1972 kosa kubwa wamelifanya kina Marehemu Sheikh Thabit Kombo kkubari kuchaguliwa Rais wao na Mwalim Nyerere mwaka 1972 mara tu baada kifo cha Mzee Karume. Maana wana mapinduzi walikuwa wamemchagua canal Seif Bakari kuwa mrithi wa Mzee karume lkn mwalim Nyerere kwa ila zake na kutaka kuimeza znz alikataa na kuwaeleza sio sahihi kumchagua mwanajeshi kuwa mrithi wa Karume sababu Karume ameuwawa mkichagua mwanajeshi kuwa mrithi wake itakuwa ni sawa na mapinduzi maskini wazee wale wakakubari ushauri ule bila kufikiria janja ya mwalim Nyerere ndio hapo alipo wapa jina Mwalim mwenzie Rafiki yke mwanafunzi mwenzie wa chuo cha makelele Marehemu Sheikh Alhaj Aboud Jumbe toka hapo znz ikawa imemezwa rasmi kwenye tumbo la tanganyika sasa imekuwa km sheria lazima Rais wa Znz achugulie toka Dodoma...Kuna maeneo nimesikia sikia maneno ambayo yanahusu urais wa zanzibar ujao, maana Shein anamaliza mda wake,
Wanatajwa kina Vuai, kina Hussein Mwinyi, hata karume mdogo anataka kujitosa huko, kuna Makamu wa shein,
Lakin kwa aina ya rais wanayetaka awepo kule (Japo rais wa zanzibar hanaga impact) ila kwa sifa ya Ukali kama Magufuli sijamuona, maana wazanzibari ni wapole na wakarimu sana ,
Je kuna mtanganyika atapewa uzanzibari na kupitia CCM? Maana kisichowezekana kwingineko kwa CCM kinawezekana,
Ninauliza hivi watapewa mwingine kama Mwinyi alivyovikwa uzanzibari kwa muda?
Naishia hapa na uzi wetu huu tutaufufua siku ya uchaguzi zanzibar , akiwa amepitishwa Mtanzibari badala ya Mzanzibari
Mkuu unajua mengi, mbona msianzishe nyuzi kama hizi tujue historia ya baadhi ya mambo?Ndugu Britannica leo umenirudisha mpk mwaka 1972 kosa kubwa wamelifanya kina Marehemu Sheikh Thabit Kombo kkubari kuchaguliwa Rais wao na Mwalim Nyerere mwaka 1972 mara tu baada kifo cha Mzee Karume. Maana wana mapinduzi walikuwa wamemchagua canal Seif Bakari kuwa mrithi wa Mzee karume lkn mwalim Nyerere kwa ila zake na kutaka kuimeza znz alikataa na kuwaeleza sio sahihi kumchagua mwanajeshi kuwa mrithi wa Karume sababu Karume ameuwawa mkichagua mwanajeshi kuwa mrithi wake itakuwa ni sawa na mapinduzi maskini wazee wale wakakubari ushauri ule bila kufikiria janja ya mwalim Nyerere ndio hapo alipo wapa jina Mwalim mwenzie Rafiki yke mwanafunzi mwenzie wa chuo cha makelele Marehemu Sheikh Alhaj Aboud Jumbe toka hapo znz ikawa imemezwa rasmi kwenye tumbo la tanganyika sasa imekuwa km sheria lazima Rais wa Znz achugulie toka Dodoma...
Shukuran mkuu tatizo tunaogopa matusi na kashfa za watt wadogo unajua Jamiifroum nayo imevamiwa sna siku hizi...Mkuu unajua mengi, mbona msianzishe nyuzi kama hizi tujue historia ya baadhi ya mambo?
Mkuu ilo halikwepeki kutukanwa, lakin ukweli unakuwa umefika pahalaShukuran mkuu tatizo tunaogopa matusi na kashfa za watt wadogo unajua Jamiifroum nayo imevamiwa sna siku hizi...
Mkuu wa mkoa wa mjini magharibi nami namkubali lkn sidhani km uzoefu wake unafaa kuwa Rais ZanzibarWafuatao wanafaaa
Makamu wa Rais mama samia suruhu
Makame mbarawa
Mkuu wa mkoa mjini magharibi
Barozi karume huyu anasirika ya Magufuli