Uchaguzi 2020 Rais ajaye Zanzibar 2020-2025 lazima awe mkali. Je, wanaotajwa tajwa kuna mkali au anaandaliwa Mtanganyika kuvishwa Uzanzibar?

Mimi naona masuala ya ukali siyo ishu, ishu ni usmart kichwani, sioni mtu tofauti na Hussein Mwinyi, na hii ni kama ile ajenda ya 53H imeisha kwamba ndo rais wa Tanzania mwaka 2025, akiwa bado ajenda hiyo ipo basi kilichobaki ni Mahiga kuwa rais wa Zanzibar
Mahiga hawezi kuwa rais wa Zanzibar. Anaemzungumzia ni mtoto wa Mwinyi. Hussein ndio maana unaona Baba mtu anasifia hata visivyosifika ili Magufuli amsaidie Hussein kugombea. Mwinyi siyo mzanzibari kindakindaki. Ni wazanzibari waliotengenezwa Bara
 
NATABIRI HAYA
-Utafikia wakati na kipindi hakutakuwa na maana ya kuwa raia wa Zanzibar ili uwe rais wa huko
-Rais ajaye wa Zanzibar lazima awe na Nia na udhubutu wa kuirudisha Zanzibar ki mataifa
-Kama ataenda kinyume na matakwa na waliomuweka "Assacination" itahusika
- seif anafaa sanaa kuwa rais lakini misimamo yake ndiyo inamponza.
-Baada ya CCM kukosa mtu sahihi Zanzibar ipo possible kubwa
mgombea toka upinzani "kusukwa" kwa mipango "mikakati"
-kwa mara ya kwanza watajaribu mfumo jike Zanzibar kwa kutaka kumweka mwanamke lakini akidi ya watu itakataa
- itakuwa rahisi sanaa seif kushinda nje ya Cuf kuliko kurud tena kupitia. Cuf
-mpaka sasa siyo CCM wala upinzani ambaye wanaweza mpata walau mgombea ambaye anaweza ifikisha zanzibar "Dubai"
 
Kuna maeneo nimesikia sikia maneno ambayo yanahusu urais wa zanzibar ujao, maana Shein anamaliza mda wake,

Wanatajwa kina Vuai, kina Hussein Mwinyi, hata karume mdogo anataka kujitosa huko, kuna Makamu wa shein,

Lakin kwa aina ya rais wanayetaka awepo kule (Japo rais wa zanzibar hanaga impact) ila kwa sifa ya Ukali kama Magufuli sijamuona, maana wazanzibari ni wapole na wakarimu sana ,

Je kuna mtanganyika atapewa uzanzibari na kupitia CCM? Maana kisichowezekana kwingineko kwa CCM kinawezekana,

Ninauliza hivi watapewa mwingine kama Mwinyi alivyovikwa uzanzibari kwa muda?

Naishia hapa na uzi wetu huu tutaufufua siku ya uchaguzi zanzibar , akiwa amepitishwa Mtanzibari badala ya Mzanzibari
najua wewe upo "Jikoni" ahsante kwa kutupa nyeti
 
Na ingelikuwa viongozi WA Zanzibar si mambumbu basi wangefanya maaamuzi yao wenyewe lakini kwa vile hawawezi kujiongoza mpaka wapate misukumo ya kimifumo kutoka Tanganyika ndio wanabakia hivyohivyo bila ya kujichagulia wenyewe.
 
Hahah
 
undefinedmahega mzanzibari tangu lini tena?undefinedundefinedMi nilijua ni mnyakyusa yule..!!undefinedundefinedHata hivyo mahega amezeeka mno,undefinedmi nadhani mzanzibari Charles kimei anafaa sana kuwa Rais wa zanzibar
Nasikia ni Mzanzibari ndo nikashangaa
 
Kabisa, Mahiga au Mwinyi wanaangaliwa kwa jicho pevu, lakin masuala ya kukariri siyo, unakumbuka wanasema rais mpaka awe membe kisa ni waziri wa mambo ya nje ,nimwache alafu nikasema hihihihi
Wafuatao wanafaaa
Makamu wa Rais mama samia suruhu
Makame mbarawa
Mkuu wa mkoa mjini magharibi
Barozi karume huyu anasirika ya Magufuli
 
Kuna maeneo nimesikia sikia maneno ambayo yanahusu urais wa zanzibar ujao, maana Shein anamaliza mda wake,

Wanatajwa kina Vuai, kina Hussein Mwinyi, hata karume mdogo anataka kujitosa huko, kuna Makamu wa shein,

Lakin kwa aina ya rais wanayetaka awepo kule (Japo rais wa zanzibar hanaga impact) ila kwa sifa ya Ukali kama Magufuli sijamuona, maana wazanzibari ni wapole na wakarimu sana ,

Je kuna mtanganyika atapewa uzanzibari na kupitia CCM? Maana kisichowezekana kwingineko kwa CCM kinawezekana,

Ninauliza hivi watapewa mwingine kama Mwinyi alivyovikwa uzanzibari kwa muda?

Naishia hapa na uzi wetu huu tutaufufua siku ya uchaguzi zanzibar , akiwa amepitishwa Mtanzibari badala ya Mzanzibari
Ndugu Britannica leo umenirudisha mpk mwaka 1972 kosa kubwa wamelifanya kina Marehemu Sheikh Thabit Kombo kkubari kuchaguliwa Rais wao na Mwalim Nyerere mwaka 1972 mara tu baada kifo cha Mzee Karume. Maana wana mapinduzi walikuwa wamemchagua canal Seif Bakari kuwa mrithi wa Mzee karume lkn mwalim Nyerere kwa ila zake na kutaka kuimeza znz alikataa na kuwaeleza sio sahihi kumchagua mwanajeshi kuwa mrithi wa Karume sababu Karume ameuwawa mkichagua mwanajeshi kuwa mrithi wake itakuwa ni sawa na mapinduzi maskini wazee wale wakakubari ushauri ule bila kufikiria janja ya mwalim Nyerere ndio hapo alipo wapa jina Mwalim mwenzie Rafiki yke mwanafunzi mwenzie wa chuo cha makelele Marehemu Sheikh Alhaj Aboud Jumbe toka hapo znz ikawa imemezwa rasmi kwenye tumbo la tanganyika sasa imekuwa km sheria lazima Rais wa Znz achugulie toka Dodoma...
 
Mkuu unajua mengi, mbona msianzishe nyuzi kama hizi tujue historia ya baadhi ya mambo?
 
Shukuran mkuu tatizo tunaogopa matusi na kashfa za watt wadogo unajua Jamiifroum nayo imevamiwa sna siku hizi...
Mkuu ilo halikwepeki kutukanwa, lakin ukweli unakuwa umefika pahala
 
Wafuatao wanafaaa
Makamu wa Rais mama samia suruhu
Makame mbarawa
Mkuu wa mkoa mjini magharibi
Barozi karume huyu anasirika ya Magufuli
Mkuu wa mkoa wa mjini magharibi nami namkubali lkn sidhani km uzoefu wake unafaa kuwa Rais Zanzibar
 
Back
Top Bottom