Uchaguzi 2020 Rais ajaye Zanzibar 2020-2025 lazima awe mkali. Je, wanaotajwa tajwa kuna mkali au anaandaliwa Mtanganyika kuvishwa Uzanzibar?

Lakin Mahiga ni mzanzibari
Mahiga hawezi kuwa rais wa Zanzibar. Anaemzungumzia ni mtoto wa Mwinyi. Hussein ndio maana unaona Baba mtu anasifia hata visivyosifika ili Magufuli amsaidie Hussein kugombea. Mwinyi siyo mzanzibari kindakindaki. Ni wazanzibari waliotengenezwa Bara
undefinedmahega mzanzibari tangu lini tena?undefinedundefinedMi nilijua ni mnyakyusa yule..!!undefinedundefinedHata hivyo mahega amezeeka mno,undefinedmi nadhani mzanzibari Charles kimei anafaa sana kuwa Rais wa zanzibar
Binafsi nilijua Mahiga ni MTU wa Iringa ?

Ila kwa Zanzibar
Hussein Mwinyi ,Prof Mbalawa na Mama Samia mmoja wapo anafaa kuwa Rais wa Zanzibar
 
Samia for 2020 znz presidency
Mwinyi for 2020 vice presidency of the URT

Later; Mwinyi for 2025 Presidency of the URT
Mzanzibar wa kuwa Rais wa JMT sijamuona labda wampitishe na waibe kura, hata ndani ya CCM za maoni hawezi kupata labda wapitishwe wote 3 kutoka Zenji
 
Binafsi nilijua Mahiga ni MTU wa Iringa ?

Ila kwa Zanzibar
Hussein Mwinyi ,Prof Mbalawa na Mama Samia mmoja wapo anafaa kuwa Rais wa Zanzibar
Wanafaa ila watapisha kwanza yule kijana mkimya asiye na doa
 
Poyoyo wewe.lete na wewe hiyo mada.usipende kuharibu mada wenzio.
Huyu vipi! Matatizo ya nyumbani kwako usiyalete Jamii Forums. Unadhani kuwakasirikia watu wengine wasiohusika na matatizo yako itakusaidia kuondokana na stress za vyuma kukaza? Pumbavu...
 
Wazanzibar ni watumwa kutoka Tanganyika. Tangu yalipofanyika mapinduzi ya 1964, serikali ya Zanzibar imekua chini ya wazanzibar asili ( watanganyika wa pwani ) zamani walikua wanaitwa waungwana kwasababu ya kukana imani zao na kuukubali uislamu. Mzanzibari ni mtanganyika, Zanzibar ni sehemu ya Tanzania. Raisi ajae wa Zanzibar atakua Mtanzania.
 
Mkuu mwinyi asili yake ni wapi maana umesema sio mzanzibari
 
Kama hawatamind wazanzibar mtoto wa karume yule balozi anafaa sana ana sirika kama rais wa Tanzania Bara. Na ni mtu ambae yupo so focused. I think viatu vitamwelea vema
 
wewe lazima utakua unajua hebu tuambie nani atafata... Tujulishe tu hata watu wachache kwenye PM hatutatoa Siri/utabiri wako hadharani
 
 

Piga kura
 
Tusishangae Kangi Lugola akapelekwa Kuwa Rais Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…